Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanalala kila mmoja kwa wakati wake. Muda wa kulala ni pale anapomaliza zamu yake.Atakayejibu
Atakuwa ni genious[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji38] [emoji38]
Sidhani kama wanakua macho time hiyo. Ila nadhani post za late night ukizipublish zinakua suspended/pending mpk asubuhi wakiresume majukumu yao na kuicheki post kama ina vigezo au laah.Saa ngapi kk?
Maana ukiandika utumbo humu hata saa tisa ya usiku ni lazima waudhibiti
Sasa hawa jamaa huwa wanalala saa ngapiii