Only genius can answer this : Ni muda gani ambao "Moderators wa JF huwa wamelala?"

Only genius can answer this : Ni muda gani ambao "Moderators wa JF huwa wamelala?"

Atakayejibu
Atakuwa ni genious[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji38] [emoji38]
Ukitaka kujua ni muda gani wanalala wewe poromosha matusi kwa Invisible, Mheshimiwa mtukufu Rais...Tukana serikali ya Magu...Ukiona post yako imekaa hata lisaa limoja na hujawekwa sero ya JF basi huo ndio muda hawa mapopo wanalala..
 
Duuh kuwa genius rahisi hivi kumbe kwa hiyo kila aliyejibu hapa ni genius..... au mleta mada ulimaanisha aliye jibu jibu sahihi?
 
mods woote humu wanaongozwa na roboti;Wao wanaalala na hilo roboti ni mkuu wao ....uliona wapi robot linasinzia??
INVISIBLE IS JUST A ROBOT NOT HUMAN BEING!
 
Wanalala unapokuwa off-line,
Watukutu lakni ndo wanajua zaid binafsi hawajawahi kunipea hata onyo na sijui wanafananaje ije kuwa mda wa kulala!!
 
Back
Top Bottom