Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Kuna mambo yanafikirisha sana. Watanzania (baadhi) wako tayari hata kuandamana kugomea Bar zisifungwe ila sio huduma nyingine za msingi.
Leo hii eti mabenki yote yanafungwa jioni kuanzia saa Tisa na nusu, only NMB na CRDB pengine na NBC kwa pale Mlimani City na baadhi ya maeneo. Kwahio kama unataka kufanya transaction yoyote inayokuhitaji kufika bank ujue imekula kwako, Kuna Sababu Gani bank zisiwe wazi 24/7?
Hivi Kuna umuhimu Gani wa makampuni kuacha kufanya kazi usiku na mchana? Tuna uhaba wa cement ila jioni tunafunga tunaondoka Hadi kesho, sukari, Mafuta n.k ni Yale Yale tu ....
Kuna umuhimu Gani wa kuzuia magari ya abiria yasisafiri usiku? Tunaogopa Majambazi! Kwahio mvua ikinyesha hatuendi kazini? Eti ajali zitaongezeka....ujinga mtupu.
Hivi Kuna sababu Gani za msingi za kuweka limit ya mobile transaction kuwa 5m kwa Siku?
Mambo haya na mengine yanatufanya tupende Kulala zaidi bila kufanya kazi, ndio maana vijana wetu wanakimbilia betting