Sikiliza, tuliaminishwa kuzaa watoto wachache ndiyo tutakua kiuchumi, hivyo basi hatuna watu ktk bara hili wa kutisha, pia desturi za kiafrika zimekua zikiamini siku inakwisha saa kumi na mbili jioni, kitu ambacho siyo kweli, uhalifu kuongezeka na kusababisha uoga wa maofisi kufanya kazi usiku, lakini uchache wa watu unafanya usiwaone hiyo usiku wakitaka huduma maana wote watakua wamelala karibu 85% ya wakaazi.
1. Lazima tukubali kuzaliana na kuongeza nguvu ya watu kiutendaji, na uhitaji
2. Kukataa elimu iliyojaa misingi ya kigeni
3. Kuifanya Afrika kua moja
4. Yenye lugha moja
5. Pesa moja ya Afrika mzima
6. Hari ya kila mmoja kujituma na kukataa misaada toka nje
Je itawezekana?