Only in Tanzania, tuko tayari kupiga kelele Bar zikeshe ila sio huduma nyingine.....

wengine hawafwati Sheria za barabaranii,
Hao huwa ni STL na PT ndio wacheza rafu wakubwa wanaweka na vimulimuli ili muwaogope.

Hawafuati sheria hata moja ya Barabarani hata taa zao hawabadilishi wanakupiga full mpaka unapaki.
 
Crap
 
Baadhi ya madereva wanakunywa vileo wakiwa wanaendesha magari Yao, wengine hawafwati Sheria za barabaranii,imekuwa changamoto kuruhusu gari za abiria kusafiri usiku.
 
Nimepita pale Mwidu mara mbili sasa siwaoni wale Mapolisi kero imeondolewa asanteni wahusika.
 
Hiyo kuwa na pesa yenu lazima vita vitaanzia hapo kama ilivyo kwa wengine Rothschild vectors hawawezi kubali hata iweje.
 
Itabidi damu nyingi imwagike ile hayo yatimie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…