Nilianza mapenzi nikiwa darasa la 6,
sikuwa na hela wala sura ya kuvutia,
nilipendwa tu na wasichana watatu (wawili mapacha) kwa sababu nilikuwa nafaulu masomo ya English na Maarifa ya Jamii.
For the first time naonja joto ya mwanamke ndio hapo, na umalaya ukaanza rasmi😅😅
mmoja kwao walikuwa na hela sana, mtoto wa kike kuja na elfu 2 ya kula shule ilikuwa kawaida.
Baadae naenda Advance shule ya wavulana tupu, nikawa naenda nje mida ya jioni kununua Ndizi kuna dada mmoja alitokea tu kunipenda.
anadai eti kapenda nilivyo mrefu😅😅😅
nilimkimbia huyo mwanamke aisee dah niliogopa maana kulikuwa na stori za kulishana madawa ya mapenzi mpk mtu unaacha shule, nikaona yatanikuta