Before Anna nilishanunua sana utelezi siku za disco sio CLUB ... Ijumaa niliku nazoa bushstreker mkonge hotel, jummosi MERIDIAN au fourways Jumapili splendidKumbe Anna ndie aliekuharibu baada ya kukupa Utelezi kwa Mara ya kwanza...Ndio Umalaya ndipo ulipoanzia[emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]
Utelezi wa kununua bhna nao kero tu sa Bao Moja 10000 kweli?๐ค๐๐Before Anna nilishanunua sana utelezi siku za disco sio CLUB ... Ijumaa niliku nazoa bushstreker mkonge hotel, jummosi MERIDIAN au fourways Jumapili splendid
Enzi zetu tulikua hatulipi cash/tulikua tunalipa in kind.... dada utakaemnunulia bia disco ndo unaondoka naeUtelezi wa kununua bhna nao kero tu sa Bao Moja 10000 kweli?[emoji848][emoji23][emoji23]
Aisee just because you were a basketballer ndiyo uje Pm mkuu? MmhSema haina noma ngoja PM, hapa wachawi wengi coz lolote linaweza kutokea
Samahani nimesoma komenti zote naona neno "HB" limezagaa sana.
Lina maana gani msaada hapo
Mimi simo kati hayo uliyoyataja.Jf noma, wote humu ni Ma T.O , handsome , basketballers,hamna hata mmoja aliyekua kichwa panzi kama siye[emoji23][emoji23]. Heshima kwenu Basketballers wote maana nilikua nawazimikia sana. R.I.P Kobe Bryant.
SoonAisee just because you were a basketballer ndiyo uje Pm mkuu? Mmh
Daaaa!! Sema Urefu kwenye Mapenzi nao Dili sanaNilianza mapenzi nikiwa darasa la 6,
sikuwa na hela wala sura ya kuvutia,
nilipendwa tu na wasichana watatu (wawili mapacha) kwa sababu nilikuwa nafaulu masomo ya English na Maarifa ya Jamii.
For the first time naonja joto ya mwanamke ndio hapo, na umalaya ukaanza rasmi๐ ๐
mmoja kwao walikuwa na hela sana, mtoto wa kike kuja na elfu 2 ya kula shule ilikuwa kawaida.
Baadae naenda Advance shule ya wavulana tupu, nikawa naenda nje mida ya jioni kununua Ndizi kuna dada mmoja alitokea tu kunipenda.
anadai eti kapenda nilivyo mrefu๐ ๐ ๐
nilimkimbia huyo mwanamke aisee dah niliogopa maana kulikuwa na stori za kulishana madawa ya mapenzi mpk mtu unaacha shule, nikaona yatanikuta
Waseminari na kupiga Nyeto๐๐Waseminari toka primary tunakoment wap
Mtoro charmingWakuu Poleni na Majukumu ya kutwa Nzima!
Leo nimekumbuka Life la school lilivyokua na hasa Inshu ya Mapenzi, nilivyokua natesa watoto wa watu because nilikua kichwa class halafu Handsome, then mtu flani mkimya Pisi ikija naila kiwepesi halafu sitangazi hata kwa wahuni wenzangu.
Nikawaza sana nikacheka nikaone niulize na wadau humu,nyie watoto mlikua munawavutia na kipi?
Au Tabia ya kuhonga Mmeanza kitambo?[emoji23][emoji23]