Mimi shuleni nilikuwa navaa suruali kubwa sana, mpaka nikawa naitwa suruali kaptura. Mademu walikuwa wakiniona wanacheka tu. Nilikuwa nikimwita manzi, nikitongoza yeye anacheka tu. Sikuwahi kuchukuliwa serious na suruali langu. Ukija chini ni buti namba 45 navaa na soksi pair tano, shati navaa XXL, technically nilikuwa bendera inayotembea maana upepo ukipiga shati langu na suruali bwanga vinapepea tu.
Lakini si haba nilipata bahati ya kudate na watoto warembo sana.