Only Science is a true messenger of God

Only Science is a true messenger of God

Status
Not open for further replies.
Maskini ya mungu!

Yaani mpaka 21st century you still following conspiracy theories!
And that is the BEST YOU COULD FIND!!?

God help us all!

Haujitambui wewe. Nenda Bagamoyo ukapige ramli.
 


1. Sura Al-Baqara 2:109


Many of the People of the Book wish, through envy, to lead you back to unbelief, now that you have embraced the faith and the truth has been made plain to them. Forgive them and bear with them until Allah makes known His will. He has power over all things.

Hapa quran inaongelea watu wa kitabu (yaani Wakristo), na kusema:

Wengi wa watu wa kitabu, kutokana na wivu wao, wanatamani kuwarudisheni kwenye kutoamini baada ya kuwa mmeamini, pamoja na kwamba ukweli umeshadhihirishwa wazi mbele yao. Kwa hiyo wasameheni na kuwavumilia hadi Allah atakapowafunulia mapenzi yake. Yeye ana nguvu juu ya kila kitu.

Quran pia inawaagiza Waislamu katika sura Al Imran 3:20 kwamba:

... if they give no heed, then your only duty is to warn them.

Yaani:

... kama wasipowasikiliza, basi ninyi kazi yenu pekee ni kuwaonya tu.

Kwa hiyo, kutokana na aya hizi mbili, yaani Al-Baqara 2:109 na Al Imran 3:20, tunaona mambo yafuatayo:

1.Ni wajibu wa Waislamu kuhubiri dini yao lakini si wajibu wao kuwalazimisha watu kuamini dini yao.
2.Allah kwa wakati wake atawafunulia wale wasioamini ukweli wa mambo.
3.Ni wajibu wa Waislamu kutoa maonyo tu kwa wale wanaowahubiria.


LAKINI, HEBU TAZAMA AYA ZIFUATAZO:

Al-Nisa 4:101

The unbelievers are your sworn enemies.

Yaani,

Wale wasioamini ni maadui zenu wakubwa.

Vilevile inasema katika sura Al-Tawba 9:3


Proclaim a woeful punishment to the unbelievers.

Yaani:

Tangazeni mapigo makuu (ya ole) kwa wasioamini.

Pia quran inasema katika sura Al-Anfal 8:39

Make war on them until persecution is no more and Allah’s religion reigns supreme.

Yaani:

Fanyeni vita juu yao hadi kusiwepo na mateso tena na hadi pale dini ya Allah itakapokuwa imetawala.

Maswali:

1. Je, aliyempa Muhammad maneno ya 2:109, 3:20 na yale ya 4:101, 9:3, 8:39 ni huyo huyo au ni wawili tofauti?
2. Iweje aseme kuwa usiwalazimishe watu kuamini bali waonyeni na kuwavumilia tu, kisha anageuka sehemu nyingine na kusema walazimisheni, tena kwa vita?
3. Je, hii si ishara ya tabia ya usahaulifu ambayo si tabia ya Mungu bali ni ya mwanadamu?
4. Kama ni huyo huyo, je, aya hizi zinafanana au zinapingana?
5. Kama zinafanana, ni kwa vipi?
6. Kama zinapingana, huu si ushahidi tayari kuwa quran haitoki kwa Mungu wa kweli kama ambavyo quran yenyewe imeweka kigezo cha kujua hilo? Maana Mungu wa kweli hawezi hata kidogo kusahau jambo alilolisema kabla halafu aje aseme kitu tofauti. Ni viumbe tu ndio wanaweza kusahau na kukosea.

Very good argument.

Thanks
 
2. Sura Al-Ankabut 29:6

Quran inasema:

Allah does not need his creatures’ help.

Yaani,

Allah hahitaji kusaidiwa na viumbe wake. (bila shaka ni katika kutekeleza makusudi na mipango yake).

LAKINI QURAN HIYO HIYO INAWAAMBIA WAISLAMU:

Sura Muhammad 47:7

If you help Allah, He will help you and make you strong.

Yaani,

Kama mkimsaidia Allah, yeye naye atawasaidia na kuwafanya kuwa imara.

Maswali:

1. Umesema huhitaji msaada, kisha unasema tena unahitaji msaada! Je, Mungu anaweza kufanya jambo kama hilo?
2. Aya hizi zinafanana au zinapingana?
3. Je, hii si ishara kuwa aya hizi zilisemwa tu ili kukidhi mahitaji ya wakati fulani, lakini msemaji alipoona anahitaji kuwafanya watu watende kinyume chake, akajikuta amesema tofauti na alivyosema siku za nyuma?

Na tena quran inasema katika sura Al-Baqara 2:244


Fight for the cause of Allah and bear in mind that He hears all and knows all.

Yaani:

Fanyeni vita kwa ajili ya Allah na mkumbuke kwamba anaona yote na anajua yote.

Maswali:

1. Kama kweli Allah hahitaji msaada wa viumbe wake; na kama kweli aliumba ulimwengu wote kwa NENO TU, iweje NENO hilo hilo lisiweze kuwabadilisha wanadamu hadi alazimike kuliingiza ndani yao kwa nguvu, kwa vitisho na kwa ukali namna hiyo?

(Ukristo unashinda na kufanikiwa kwa NENO tu. Maana sisi tumeumbwa kwa mfano wa Mungu wetu. Yeye aliumba kwa Neno; na sisi watoto wake, tunaumba kwa Neno hilo hilo. Tunahubiri tu na watu wanaokolewa, wanaponywa, wanalindwa na kusimama na Mungu wa kweli. Huoni kwamba hii hasa ndiyo maana ya nguvu ya Mungu? Hatuhitaji kuchinja au kupiga watu ili wampende Mungu!! Unawezaje, hata tu wewe mwenyewe, kumfanya mwanao au mkeo akupende kwa njia ya vipigo na kulazimisha? yaani, ukitaka mwanao au mkeo akupende utamshikia rungu au panga au bunduki? Je, hiyo si ishara kwamba wewe huna nguvu ndiyo maana unalazimisha? je, huko si kujikanganya maana umetuambia kuwa wewe ni Mungu unayeweza yote?)
2. Je, Allah anapotaka wanadamu wanaomwamini wafanye vita ili kuwalazimisha wasioamini wamwamini, huko si kutaka msaada kwa viumbe wake?

Another proof that you are a thinker. Good argument
 

Let us examine the credibility of these words of your God Mr Kahtaan:

Al Baqarah Ayah 190. And fight in the way of Allah with those who fight with you, and do not exceed the limits, surely Allah does not love those who exceed the limits. 191. And kill them wherever you find them, and drive them out from whence they drove you out, and persecution is severer than slaughter, and do not fight with them at the Sacred Mosque until they fight with you in it, but if they do fight you, then slay them; such is the recompense of the unbelievers.

The Qur'an says that man was created from a clot of blood.

Qur'an 96:1. Proclaim (or Read) In the Name Of thy Lord and Cherisher, Who created- 2. Created man out of A (mere) clot Of congealed blood;

The Qur'an says that man was created from was created from clay.

Qur'an 6:2 (Also 7:12) 2. He it is Who created You from clay, and then Decreed a stated term (For you). And there is In His Presence another Determined term; yet Ye doubt within yourselves!

The Qur'an says that man was created from was created from water.

Qur'an 25:54. It is He Who has Created man from water: Then has He established Relationships of lineage And marriage: for thy Lord Has power (over all things).

These are internal contradictions that indicate the origin of the Qur'an was not the mind of Almighty God, but the mind of man, Muhammad. I urge you to seek the truth instead of foooling yourself with these empty promises such as these ones:

Qur'an 37: 40. But the sincere (and devoted) Servants of Allah, 41. For them is a Sustenance Determined, 42. Fruits (Delights) and they (Shall enjoy) honor and dignity, 43. In Gardens of Felicity, 44. Facing each other On Thrones (of dignity): 45. Round will be passed To them a Cup From a clear flowing fountain, 46. Crystal white, of a taste Delicious to those Who drink (thereof), 47. Free from headiness; Nor will they suffer Intoxication there from. 48. And beside them will be Chaste women, restraining Their glances, with big eyes (Of wonder and beauty) 49. As if they were (Delicate) eggs closely guarded.​
Qur'an 4:57. But those who believe And do deeds of righteousness, We shall soon admit to Gardens, With rivers flowing beneath, - Their eternal home; Therein shall they have Companions [wives, NR] pure and holy; We shall admit them To shades, cool and ever deepening.​
Qur'an 44:51. As to the Righteous (They will be) in A position of Security, 52. Among Gardens and Springs; 53. Dressed in fine silk And in rich brocade, They will face each other; 54. So; and We shall Join them to Companions With beautiful big And lustrous eyes. 55. There can they call For every kind of fruit In peace and security; 56. Nor will they there Taste Death, except the first Death: and He will preserve Them from the Penalty Of the Blazing Fire.​

Before you wrote something for people to see!
You need to read it first!
The ayas you quoted here! Non of them is contradict to one another!!
1.Yes the first human being (ADAM) was created from CLAY!

2.In Human reproduction, we learned that! when male sperm met with a female egg! and before the embryo is formed, the first thing is "CLOT OF BLOOD!"

3.And to finalised" BLOOD IS IN WATER FORM!" and not solid!!!

So you see! MBWA WA MANZESE or MaxShimba

You do not poses the knowledge of understanding how your parents produced you!

You MaxShimba was only a water (ur dads sperm)

Then a clot of blood (ur dads sperm and ur mothers egg)!!

Then they gave birth to a child who is got learning difficulties!


Allah has already described people like you!

Quraan says!

Summun Bukmun ‘Umyun fahum laa yarji’oon’

They are deaf, dumb and blind. They will not return (to the path)
“God hath set a seal on their hearts and on their hearing, and on their eyes is a veil; great is the penalty they (incur).”

NOW I HAVE REPLY TO YOUR QUESTIONS,

CAN YOU EXPLAIN THOSE BIBLICAL CONTRADICTIONS I ASK EARLIER! !
IF YOU DARE!!!
 
Last edited by a moderator:
5. Sura Al-Baqara 2:177


Righteousness is not that you turn your faces toward the east or the west, but [true] righteousness is [in] one who believes in Allah ...


Yaani:


Haki (mbele za Mungu) haitokani na mtu kugeukia mashariki au magharibi. Mtu mwenye haki ni yule anayemwamini Allah ...


JIBU!
HAPA KWANZA KAMA KAWAIDA YAKO UMESEMA UONGO!!

TAFSIRI HALISI NI:-

"...SIO UONGOFU PEKE YAKE !KUELEKEZA USO WAKO MASHARIKI AU MAGAHARIBI ! BALI UONGOFU ULIO KAMILI NI ULE WA KUMUABUDU MOLA MLEZI..(ALLAH.") KIKAMILIFU"



LAKINI QURAN HIYO HIYO INASEMA:


Sura Al-Baqara 2:144


Indeed, we see you look repetedly towards heaven. We will make you turn towards a qiblah that will please you. So turn your face towards the sacred Mosque (qiblah). Wherever you are, turn your faces to it.


Yaani:


Tumekuona unavyoelekeza macho yako mbinguni tena na tena. Tutawafanya muigeukie qiblah itakayowafurahisha. Hivyo, geuzeni nyuso zenu kuelekea msikiti mtakatifu

JIBU!

HAPA QURAAN INAELEZEA KUWA KABLA YA WAISLAMU KUAMRISHWA KUELEKEA MAKKAH WAKATI WA SALA ZAO (QIBLA)
KWANZA WATU WOTE WALIKUWA WAKIELEKE PALESTINE (Al aqsa mosque)

Na Mtume muhammad (s.a.w) Alikuwa anatamani waislamu wanapo fanya ibada basi waelekee MASJID AL HARAM! (MAKKAH) !

Ndipo akawa anatizama Juu akimuomba mungu alifanikishe hilo!
Ndipo andiko likateremshwa kuwa:-

".. Tumekuona unavyoelekeza macho yako mbinguni tena na tena. Tutawafanya muigeukie qiblah itakayowafurahisha. Hivyo, geuzeni nyuso zenu kuelekea msikiti mtakatifu


[japo quran zingine zinasema ‘towards al-Masjid al-Haram' – najiuliza 'Haram' maana yake nini!!]

Jibu!

HAPA INABIDI UJIFUNZE KIARABU!

NA HII NI MTIHANI MKUBWA SANA KWAKO!

teh teh teh teh !



Maswali:
1. Kama aliyesema aya hizi mbili ni yuleyule; na ni Mungu wa mbinguni, inakuwaje zinapingana?
2. Kama zimetoka kwa Mungu wa mbinguni, si jambo la ajabu kuona kwamba hapendi watu waelekeze macho yake kule aliko badala yake waelekeze kwingineko?

JIBU!

MUNGU HAYUKO SEHEMU MOJA!.


3. Kama wewe tunayekuabudu uko juu, kwa nini hautaki tuelekeza macho yetu huko? Huu si mkanganyiko?

JIBU! AMUNGU HAYUKO JUU TU !?

4. Na kama wewe ni Mungu uliye mahali KOTE, kwa nini nielekeze macho yangu sehemu moja?

JIBU!
KAMA VILE WEWE ULIVYO AMRISHWA KUPIGA GOTI HALAFU UKANYWESHWA DAMU !

NA MIMI HII NI AMRI YA MUNGU AMBAYO MIMI SINA HAKI YA KUMUULIZA MUNGU ALIYE NIUMBA!
ETI KWANINI NIGEUKIE MAKKAH!


Nyongeza:-

NI TABIA NA DESTURI YA MSOMI ANAPO ULIZWA SWALI! KWANZA AJIBU!
HALAFU ANAULIZA LA KWAKE! AU SIO?!?

SASA NIMEKUULIZA MASWALI NA WEWE UNANIULIZA MASWALI!
HII NI TABIA YA WALEVI NA WAHUNI!
HATA HIVYO NIMEKUJIBU!

SASA NA WEWE JIBU YA KWANGU NILIO KUULIZA HAPO NYUMA!!

NI HILI NAWAHAKIKISHIA JF! HUWEZI KUJIBU HATA WAKUUWE!
teh teh teh !

Summun bukmun ummyun! Fahumm laa yarjiuuun!
"Swadakallahu l-adhiiiim!


cc Ritz Izz
 
Na hii tabia ya kusema mimi na wenzangu tuna zi crash dini zingine!
Sidhani kama kuna ukweli ndani yake!
Mwenye kutumia matusi na kashfa sio mimi na muislamu yyt ila ni huyu anaejiita nabii wa Yesu ambae ana majina mengi saana! Na moja ya hayo ni SCHMIDT au MaxShimba na cha kusikitisha ni kuwa huyu anadai ni mkiristo! Na anacho kifanya humu SI KUHUBIRI INJILI ni kutukana na kutoa kashfa kuhusu imani ya kiislamu, NA MTU KAMA WEWE HATA SIKU MOJA HUJATOKEA NA KUMKEMEA KUWA HUO SIO UJUMBE ALIYO FUNDISHA YESU!
Mkuu mimi naamini kila mmoja angekaa kimya ktk Imani yake,akaacha ikahubiriwa ktk nyumba zetu za Ibada tu haya leo yasingetokea,kwanini nilisema unazcrash Imani za wengine,nikwasababu post yako yakwanza tu iliegemea kama unachokoza mada tata ndani ya mada mama,but lait ungechangia mada husika wala huyo max sijui nani usingemuona humu akikujibu,ndo nasema Imani tuziache zihubiriwe ktk Nyumba za Ibada tu mimi nikisikia nikaelewa nitaenda kwa wahusika kwamba jamanieh,nimependezewa na mahubiri yenu naomba nami niingie kundini,yule nae vivyo hivyo but humu hivi sio ww wala Max mtaoweza'mbadilisha mtu..naamini anayoya post Max yanatokana zaidi na asivyopenda baadhi yetu humu kuchokozana na kuchimbana ktk Imani zetu,mara huyu karuhusu mashoga,huku nako Mungu wao alidanganya,nakwambia mkuu Khataan tukibaki na Dini zetu vifuani mbona malalamiko humu hayatokuwepo!!

Wewe umeniona mimi tu!!?

Sijakuona ww pekeako tu mkuu,siku ntayoona mtu anaanzisha mada tata ktk mada kuu inayotaka kuingilia mambo ya ki-Imani sitaacha kumshauri,iwe Max au Eiyer au....nilianza na ww coz yote yaliyotokea yalisababishwa na post yako ya kwanza uliyopost ktk uzi huu.

Naomba uniwie radhi kama nimekukwaza lkn nia yangu ni Kusema yaliyo Haki tu juu ya MUNGU WANGU MKUU,[/QUOTE]

wala hujanikwaza,muhimu kuelimishana&kuelekezana.kila la kheri
 
Last edited by a moderator:
Na hii tabia ya kusema mimi na wenzangu tuna zi crash dini zingine!
Sidhani kama kuna ukweli ndani yake!
Mwenye kutumia matusi na kashfa sio mimi na muislamu yyt ila ni huyu anaejiita nabii wa Yesu ambae ana majina mengi saana! Na moja ya hayo ni SCHMIDT au MaxShimba na cha kusikitisha ni kuwa huyu anadai ni mkiristo! Na anacho kifanya humu SI KUHUBIRI INJILI ni kutukana na kutoa kashfa kuhusu imani ya kiislamu, NA MTU KAMA WEWE HATA SIKU MOJA HUJATOKEA NA KUMKEMEA KUWA HUO SIO UJUMBE ALIYO FUNDISHA YESU!
6. Sura Al-Nisa 4:135

Believers, conduct yourselves with justice.

Yaani,

Enyi mlioamini, enendeni kwa njia ya haki.

Hapa Allah anazungumzia juu ya haki.

LAKINI ALLAH HUYO HUYO ANASEMA:

Sura Al-Nisa 4:129

In no way you can treat your wives in a just manner even though you may wish to do that...

Yaani:

Haiwezekani kamwe kwa ninyi kuwatendea haki wake zenu hata kama mngependa kufanya hivyo ...

Maswali:
1. Aya hizi zinafanana au zinapingana?
2. Kama hazipingani ni kwa vipi?



 
JIBU!
KAMA VILE WEWE ULIVYO AMRISHWA KUPIGA GOTI HALAFU UKANYWESHWA DAMU !

NA MIMI HII NI AMRI YA MUNGU AMBAYO MIMI SINA HAKI YA KUMUULIZA MUNGU ALIYE NIUMBA!
ETI KWANINI NIGEUKIE MAKKAH!


Nyongeza:-

NI TABIA NA DESTURI YA MSOMI ANAPO ULIZWA SWALI! KWANZA AJIBU!
HALAFU ANAULIZA LA KWAKE! AU SIO?!?

SASA NIMEKUULIZA MASWALI NA WEWE UNANIULIZA MASWALI!
HII NI TABIA YA WALEVI NA WAHUNI!
HATA HIVYO NIMEKUJIBU!

SASA NA WEWE JIBU YA KWANGU NILIO KUULIZA HAPO NYUMA!!

NI HILI NAWAHAKIKISHIA JF! HUWEZI KUJIBU HATA WAKUUWE!
teh teh teh !

Summun bukmun ummyun! Fahumm laa yarjiuuun!
"Swadakallahu l-adhiiiim!


cc Ritz Izz


Umekimbia swali la Kwanza. Ukakimbia la pili. Majibu yako mawili yote umelamba Galasa.

Kwanini Mkiswali huwa wote mnaangali mahali pamoja? "Mungu si yupo kila mahali?"
 
Before you wrote something for people to see!
You need to read it first!


CAN YOU EXPLAIN THOSE BIBLICAL CONTRADICTIONS I ASK EARLIER! !
IF YOU DARE!!!

The very first revelation starts out with providing an ingredient for contradiction:
Proclaim!
In the name of thy Lord and Cherisher, who created -
created man, out of a mere clot of congealed blood.
-- Sura 96:1-2
Apart from the fact that "a mere blood clot" is scientifically wrong, let us see what further ideas the Qur'an presents on how God creates human beings.
It is he who has created man from water
-- Sura 25:54
And God has created every living creature from water.
-- Sura 24:45

We created man from sounding clay,
from mud moulded into shape.
-- Sura 15:26

Amongst his signs is this,
that he created you from dust.
-- Sura 30:20

Blood clot? water? clay? dust? The Qur'an doesn't really seem all that sure what God used and seems to imply that He took just anything he could get his hands on. But this is still not all in this confusion:
God createth what He willeth:
When he hath decreed a plan,
He but saith to it, "Be," and it is!
-- Sura 3:47
He just says the word "be" and it is, there is no making a mess with water, clay, blood clots or dust, just a clean "there it is". Right?
Sura 4:82 claims that there is no discrepancy in this Qur'an!
 


Umekimbia swali la Kwanza. Ukakimbia la pili. Majibu yako mawili yote umelamba Galasa.

Kwanini Mkiswali huwa wote mnaangali mahali pamoja? "Mungu si yupo kila mahali?"


Kwanza nataka nikupongeze max kwa kuonyesha kwa mara ya kwanza!
Kuwa kumbe na wewe unaweA kuongea kama mwenye akili timamu!

Sio ule uhuni na kujifanya mwehu wakati we si mwehu!


Nadhani tukienda na mwendo huu,
Hoja juu ya hoja! Hapo ndipo utafahamu kiwango cha mtu cha elimu! Sio matusi kama walevi!
Hapo nakupa a big HALELUYAH!

Nikirudi kwenye swali! Ni kuwa :-
Kama nilivyosema mwanzo,
Uislamu ni kanuni na sheria pamoja na muongozo ambao kwa imani ya waislamu umetoka kwa MUNGU MUUMBA!.
Na inapokuja AMRI yoyote ile kutoka kwa ALLAH (s.w) BASI KAMA WEWE NI MUISLAMU UNAKUWA HUNA HIYARI ISPOKUWA NI KUFUATA!

HUU NDIO MSIMAMO WA UISLAMU!
Mfano mwingine ni kuwa! Sisi tumeambiwa kwa muislamu yyt mwenye uwezo basi ni lazima kwenda MAKKAH kuhiji!

Sasa kama Mie najiita muislamu siwezi kumuuliza MUNGU!
ETI KWANINI NATAKIWA NIENDE MAKKAH!
KWANI NIKIHIJI TOKYO AU BANGLADESHI KUNA UBAYA GANI! MUNGU SI YUKO KILA MAHALI!

Kwanini tunasali mara 5 kwa siku!?
kwani tukisali mara 2 au 3 MUNGU HATOFURAHI!?!

SISI TUNACHOFANYA NI KUTII AMRI YA MUNGU TU! KAMA ILIVYO!
BILA KUPUNGUZA WALA KUONGEZA!
WALA KUCHAKACHUA!

Na nadhani hii si kwa waislamu tu!
Mfuasi wa dini yyt sudhani kwamba ana haki ya kummuliza mungu wake! Eti ! Kwanini umesema hivi na usiseme vile!

Na viumbe wanaojaribu kuchakachua MAAMRISHO YA MUNGU! TUNAWAONA BALAA ZINAZO WAKUTA KILA LEO!

Sasa naomba unijibu na mimi!!
Kuhusu hizi contradictions ndani ya biblia!

War or Peace?

EXO 15:3 The LORD is a man of war: the LORD is his name.ROM 15:33 Now the God of peace be with you all. Amen.

Who is the father of Joseph?

MAT 1:16 And Jacob begat Joseph the husband of Mary, of whom was born Jesus, who is called Christ.LUK 3:23 And Jesus himself began to be about thirty years of age, being (as was supposed) the son of Joseph, which was the son of Heli.

Who was at the Empty Tomb? Is it:

MAT 28:1 In the end of the sabbath, as it began to dawn toward the first day of the week, came Mary Magdalene and the other Mary to see the sepulchre.

MAR 16:1 And when the sabbath was past, Mary Magdalene, and Mary the mother of James, and Salome, had bought sweet spices, that they might come and anoint him.

JOH 20:1 The first day of the week cometh Mary Magdalene early, when it was yet dark, unto the sepulchre, and seeth the stone taken away from the sepulchre.

Is Jesus equal to or lesser than?

JOH 10:30 I and my Father are one.

JOH 14:28 Ye have heard how I said unto you, I go away, and come again unto you.

If ye loved me, ye would rejoice, because I said, I go unto the Father: for my Father is greater than I.

Which first--beasts or man?

GEN 1:25 And God made the beast of the earth after his kind, and cattle after their kind, and every thing that creepeth upon the earth after his kind: and God saw that it was good.GEN 1:26 And God said, Let us make man in our image, after our likeness: and let them have dominion over the fish of the sea, and over the fowl of the air, and over the cattle, and over all the earth, and over every creeping thing that creepeth upon the earth.GEN 2:18 And the LORD God said, It is not good that the man should be alone; I will make him an help meet for him.GEN 2:19 And out of the ground the LORD God formed every beast of the field, and every fowl of the air; and brought them unto Adam to see what he would call them: and whatsoever Adam called every living creature, that was the name thereof.

How many stalls and horsemen?

1KI 4:26 And Solomon had forty thousand stalls of horses for his chariots, and twelve thousand horsemen.2CH 9:25 And Solomon had four thousand stalls for horses and chariots, and twelve thousand horsemen; whom he bestowed in the chariot cities, and with the king at Jerusalem.

Is it folly to be wise or not?

PRO 4:7 Wisdom is the principal thing; therefore get wisdom: and with all thy getting get understanding.ECC 1:18 For in much wisdom is much grief: and he that increaseth knowledge increaseth sorrow.1CO 1:19: "For it is written, I will destroy the wisdom of the wise, and will bring to nothing the understanding of the prudent."

Human vs. ghostly impregnation

ACT 2:30 Therefore being a prophet, and knowing that God had sworn with an oath to him, that of the fruit of his loins, according to the flesh, he would raise up Christ to sit on his throne;MAT 1:18 Now the birth of Jesus Christ was on this wise: When as his mother Mary was espoused to Joseph, before they came together, she was found with child of the Holy Ghost.

The sins of the father

ISA 14:21 Prepare slaughter for his children for the iniquity of their fathers; that they do not rise, nor possess the land, nor fill the face of the world with cities.

DEU 24:16 The fathers shall not be put to death for the children, neither shall the children be put to death for the fathers: every man shall be put to death for his own sin.

Rabbits do not chew their cud

LEV 11:6 And the hare, because he cheweth the cud, but divideth not the hoof; he is unclean unto you."Gerah," the term which appears in the MT means (chewed) cud, and also perhaps grain, or berry (also a 20th of a sheckel, but I think that we can agree that that is irrelevant here). It does *not* mean dung, and there is a perfectly adequate Hebrew word for that, which could have been used. Furthermore, the phrase translated "chew the cud" in the KJV is more exactly "bring up the cud." Rabbits do not bring up anything; they let it go all the way through, then eat it again. The description given in Leviticus is inaccurate, and that's that. Rabbits do eat their own dung; they do not bring anything up and chew on it.

Fowl from waters or ground?

GEN 1:20 And God said, Let the waters bring forth abundantly the moving creature that hath life, and fowl that may fly above the earth in the open firmament of heaven.

GEN 1:21 And God created great whales, and every living creature that moveth, which the waters brought forth abundantly, after their kind, and every winged fowl after his kind: and God saw that it was good.

GEN 2:19 And out of the ground the LORD God formed every beast of the field, and every fowl of the air; and brought them unto Adam to see what he would call them: and whatsoever Adam called every living creature, that was the name thereof.

Odd genetics

GEN 30:39 And the flocks conceived before the rods, and brought forth cattle ringstraked, speckled, and spotted.

The shape of the earth

ISA 40:22 It is he that sitteth upon the circle of the earth, and the inhabitants thereof are as grasshoppers; that stretcheth out the heavens as a curtain, and spreadeth them out as a tent to dwell in:

MAT 4:8 Again, the devil taketh him up into an exceeding high mountain, and sheweth him all the kingdoms of the world, and the glory of them

;Astronomical bodies are spherical, and you cannot see the entire exterior surface from anyplace. The kingdoms of Egypt, China, Greece, Crete, sections of Asia Minor, India, Maya (in Mexico), Carthage (North Africa), Rome (Italy), Korea, and other settlements from these kingdoms of the world were widely distributed.

Snakes, while built low, do not eat dirt

GEN 3:14 And the LORD God said unto the serpent, Because thou hast done this, thou art cursed above all cattle, and above every beast of the field; upon thy belly shalt thou go, and dust shalt thou eat all the days of thy life:

Earth supported?

JOB 26:7 He stretcheth out the north over the empty place, and hangeth the earth upon nothing.JOB 38:4 Where wast thou when I laid the foundations of the earth? declare, if thou hast understanding.

Heaven supported too

JOB 26:11 The pillars of heaven tremble and are astonished at his reproof.

The hydrological cycle

ECC 1:7 All the rivers run into the sea; yet the sea is not full; unto the place from whence the rivers come, thither they return again.

JOB 38:22 Hast thou entered into the treasures of the snow? or hast thou seen the treasures of the hail,Storehouses are not part of the cycle

Order of creation

Here is the order in the first

(Genesis 1), the Priestly tradition:
Day 1: Sky, Earth, light
Day 2: Water, both in ocean basins and above the sky(!)
Day 3: PlantsDay
4: Sun, Moon, stars (as calendrical and navigational aids)
Day 5: Sea monsters (whales), fish, birds, land animals, creepy-crawlies (reptiles, insects, etc.)
Day 6: Humans (apparently both sexes at the same time)
Day 7: Nothing (the Gods took the first day off anyone ever did)

Note that there are "days," "evenings," and "mornings" before the Sun was created. Here, the Deity is referred to as "Elohim," which is a plural, thus the literal translation, "the Gods." In this tale, the Gods seem satisfied with what they have done, saying after each step that "it was good."

The second one (Genesis 2), the Yahwist tradition, goes:
Earth and heavens (misty)Adam, the first man (on a desolate Earth)
PlantsAnimalsEve, the first woman (from Adam's rib)
How orderly were things created?#1 : Step-by-step.
The only discrepancy is that there is no Sun or Moon or stars on the first three "days."#
2: God fixes things up as he goes. The first man is lonely, and is not satisfied with animals.
God finally creates a woman for him. (funny thing that an omniscient god would forget things)
How satisfied with creation was he?
#1 : God says "it was good" after each of his labors, and rests on the seventh day, evidently very satisfied.
#2 : God has to fix up his creation as he goes, and he would certainly not be very satisfied with the disobedience of that primordial couple. (funny thing that an omniscient god would forget things)

NOW!

HAPA NIMEKUORODHESHEA AYA 20 TU!
NDANI YA BIBLIA AMBAZO ZINAGONGANA ZENYEWE WAZIWAZI!

KUNA ZINGINE ZAIDI YA 250!! Ambazo nikizitaja zote! Huu uzi utafungwa kabla hujamaliza kuzijibu!

SASA BASI

KAMA UTAONA KUJIBU ZOOTE NI VIGUMU!

BASI NIJIBU HATA 10 TU ! ZA MWANZO!

CC Izz Ritz Kikwajuni one Eiyer
 
Last edited by a moderator:


1. Sura Al-Baqara 2:109


Many of the People of the Book wish, through envy, to lead you back to unbelief, now that you have embraced the faith and the truth has been made plain to them. Forgive them and bear with them until Allah makes known His will. He has power over all things.

Hapa quran inaongelea watu wa kitabu (yaani Wakristo), na kusema:

Wengi wa watu wa kitabu, kutokana na wivu wao, wanatamani kuwarudisheni kwenye kutoamini baada ya kuwa mmeamini, pamoja na kwamba ukweli umeshadhihirishwa wazi mbele yao. Kwa hiyo wasameheni na kuwavumilia hadi Allah atakapowafunulia mapenzi yake. Yeye ana nguvu juu ya kila kitu.

Quran pia inawaagiza Waislamu katika sura Al Imran 3:20 kwamba:

... if they give no heed, then your only duty is to warn them.

Yaani:

... kama wasipowasikiliza, basi ninyi kazi yenu pekee ni kuwaonya tu.

Kwa hiyo, kutokana na aya hizi mbili, yaani Al-Baqara 2:109 na Al Imran 3:20, tunaona mambo yafuatayo:

1.Ni wajibu wa Waislamu kuhubiri dini yao lakini si wajibu wao kuwalazimisha watu kuamini dini yao.
2.Allah kwa wakati wake atawafunulia wale wasioamini ukweli wa mambo.
3.Ni wajibu wa Waislamu kutoa maonyo tu kwa wale wanaowahubiria.


LAKINI, HEBU TAZAMA AYA ZIFUATAZO:

Al-Nisa 4:101

The unbelievers are your sworn enemies.

Yaani,

Wale wasioamini ni maadui zenu wakubwa.

Vilevile inasema katika sura Al-Tawba 9:3


Proclaim a woeful punishment to the unbelievers.

Yaani:

Tangazeni mapigo makuu (ya ole) kwa wasioamini.

Pia quran inasema katika sura Al-Anfal 8:39

Make war on them until persecution is no more and Allah’s religion reigns supreme.

Yaani:

Fanyeni vita juu yao hadi kusiwepo na mateso tena na hadi pale dini ya Allah itakapokuwa imetawala.

Maswali:

1. Je, aliyempa Muhammad maneno ya 2:109, 3:20 na yale ya 4:101, 9:3, 8:39 ni huyo huyo au ni wawili tofauti?
2. Iweje aseme kuwa usiwalazimishe watu kuamini bali waonyeni na kuwavumilia tu, kisha anageuka sehemu nyingine na kusema walazimisheni, tena kwa vita?
3. Je, hii si ishara ya tabia ya usahaulifu ambayo si tabia ya Mungu bali ni ya mwanadamu?
4. Kama ni huyo huyo, je, aya hizi zinafanana au zinapingana?
5. Kama zinafanana, ni kwa vipi?
6. Kama zinapingana, huu si ushahidi tayari kuwa quran haitoki kwa Mungu wa kweli kama ambavyo quran yenyewe imeweka kigezo cha kujua hilo? Maana Mungu wa kweli hawezi hata kidogo kusahau jambo alilolisema kabla halafu aje aseme kitu tofauti. Ni viumbe tu ndio wanaweza kusahau na kukosea.

Hii ndio yenyewe
 
Max ninauhakika kuwa ww unalipwa kupotosha ukweli maana unacheza na maneno aidha kwa kubadil maana na umesomeshwa kuujua uisilamu vizuri
kwa sababu ni kibarua chako ww endelea tu

Majibu mazuri unapewa khatan ilaa unajifanya chizi
 
MaxShimba !
Umetoa maswali na nimekupa majibu!
Nimekuuliza yangu kama kawaida yako unakimbia! Na kuuliza maswali yaleyale!
Halafu unabadili "iD" Na kujishangilia mwenyewe!
Halafu cha kusikitisha zaidi ni kuwa!
HUMU JF HAKUNA ASIYEJUA IDS ZAKO!!
teh teh teh teh!
Waswahili wanasema "asiye na aibu , hajui vibaya!"
Sasa wewe hata kaa aibu kidogo huna!!!!!?
Japo ungejibu hata swali 1 tu! Wana JF wangeweza kusahau kidogo ka mchezo kako ka kubadilibadili majina na avatars!
Teh teh teh!
Haki ya Mungu huwa unanichekesha wewe mpaka nahisi kama watu wakiniona watadhani nimevuta ka joint!

Last chance now!
UTAYAJIBU MASWALI YANGU?? AU NITOE HITIMISHO KUWA BIBLIA NI KITABU KILICHOTUNGWA KAMA CHA WILLY GAMBA AU ALIBABA NA WIZI 40!?!
KINAGONGANA CHENYEWE KWA CHENYEWE LKN HAKUNA HATA MGALATIA 1 ANKUJA NA JIBU!!?

Nasubiri!.....!
 
Last edited by a moderator:
Max ninauhakika kuwa ww unalipwa kupotosha ukweli maana unacheza na maneno aidha kwa kubadil maana na umesomeshwa kuujua uisilamu vizuri
kwa sababu ni kibarua chako ww endelea tu

Majibu mazuri unapewa khatan ilaa unajifanya chizi

Mkuu tansoma huyu jamaa asikupe tabu hata kidogo!
Na toka nimemfahamu basi ananisaidia sana kuutangaza uislamu!
Kwa fikra zake yeye! Ni kuwa anaukashifu na kuonyesha udhaifu wa uislamu! Lkn wallahi matokeo ni kinyume kabisa!
We tazama thread zake zoote! 99% zimejaa aya za quraan na hadithi za mtume (swallallahu alaihi wasallam)

Huoni john wala matayo kwenye thread zake!
Na si kanuni ya JF kuonyesha PM za watu hadharani! Lkn watu wengi sana wamekuwa na hamu ya kuujua uislamu kutoka na maswali ya huyu max!
Na kipindi cha nyuma hapa alipo pigwa BAN! Tulikosa mtu wa kumpiga daawa!
Manake kama unavyoona wagalatia wengi humu hawapendi kujadili kuhusu biblia wala imani yao!

Sababu zao kufanya hivyo ni kama ya huyu max! HAWANA LA KUJIBU!

Sasa ili wabaki salama! Na wasijiabishe!

Ni bora wasitoe jibu! Au wakwepe kwa ujanja wa kupindisha maneno!

Sasa huyu MaxShimba we niachie niende nae hivo hivo! Huenda inshallah nae akasilimu kama wanavyo silimu wale viongozi wake wakubwa wa makanisa!

Kwani umesahau kile kisa cha maswahaba walikwenda kwa Mfalme wa abisinia!!? Ambae alikuwa mkiristo!?

Juu ya maneno yake! Je! Mwisho si alisilimu?!?!

Allah yuko na wenye subira!

Ramadhani njema tansoma
 
Last edited by a moderator:
Sir Mimi maneno yako mazuri saana!
Na mimi nakubaliana na wewe 100% !!

Lkn Tatizo ni moja!

Imani yangu mimi ina kanuni nyingi tu!

Na moja ya kanuni muhimu ni KUPINGA VIKALI MTU ANAPOMZULIA MUNGU MKUU UONGO!

Nadhani utashangaa nikisema hivi!

Ninaposema MUNGU MKUU! nina maana Mungu muumbaji wa mbingu na dunia na waliomo humo, na ni muumba wa kila kitu!

Angalia mfano HINDUS! au BUDDIST au SIKH!
Hawa wote pia wanaabudu mungu lkn hawasemi kuwa mungu wao ndio muumba! NA si MUNGU MKUU!
Kwa hiyo mimi silazimiki kusema chochote watakacho sema kuhusu hao miungu wao!

Lkn Unaposema uongo juu ya MUNGU MKUU na wale walio amrishwa na imani yao kusema haki juu ya huyo MUNGU MKUU!
Basi hawana budi kukuambia ukweli! Japo kuwa huo ukweli unauma!

Kitu kingine kibaya zaidi juu ya hao wanaosema uongo juu ya mungu, sio tu wanakaa nao huo uongo peke yako! La hasha!
Wana uhubiri kila kona ya ulimwengu!

Na kwa sababu tulikaa kimya miaka yote na tukawaacha mpaka wakawa wana tugongea milango na kutugawia vitabu vyenye picha za wazungu!

Leo hii tunaubeba huo msalaba wote!

Leo hizo nyumba za ibada zimekuwa ni gumzo la vyombo vya habari!

ULIBERALI UMEVAMIA NDANI YA NYUMBA HIZO ZINAZOITWA ZA IBADA!

Na tukiendelea kukaa kimya! Kesho itatungwa sheria na serikali zetu ya kuwalazimisha watoto wetu kujifunza uliberali!!

Tunayaona hayo leo huku Ulaya!
Ukimsema vibaya Mliberali unafungwa jela!

Sasa kama KANISA limeshindwa kusema ukweli ambao YESU AMEUFUNDISHA !
Basi sisi tunao muheshi MUNGU na MANABII WAKE Tutasema ukweli!

Na hii tabia ya kusema mimi na wenzangu tuna zi crash dini zingine!
Sidhani kama kuna ukweli ndani yake!
Mwenye kutumia matusi na kashfa sio mimi na muislamu yyt ila ni huyu anaejiita nabii wa Yesu ambae ana majina mengi saana! Na moja ya hayo ni SCHMIDT au MaxShimba na cha kusikitisha ni kuwa huyu anadai ni mkiristo! Na anacho kifanya humu SI KUHUBIRI INJILI ni kutukana na kutoa kashfa kuhusu imani ya kiislamu, NA MTU KAMA WEWE HATA SIKU MOJA HUJATOKEA NA KUMKEMEA KUWA HUO SIO UJUMBE ALIYO FUNDISHA YESU!

Wewe umeniona mimi tu!!?

Mbona mengi tu mi sisemi!!

We tizama pale ninaposema mimi, utakuta mtu kaisha anza kusema uongo kuhusu Aidha
MUNGU MKUU au YESU MWANA WA MARIA (ambae pia ni mmoja ktk manabii wa dini yangu!)

Ndugu Sir Mimi lzm tukubali kuwa kama wewe unajiita mdini basi huna budi kufuata msingi na maamrisho ya dini yako!
Na mimi ninacho fanya ni kufuata maamrisho tu ya dini yangu!
Na mimi sina ubaya na watu wenye imani tofauti na yangu hata kidogo! Na naomba MUNGU SAANA! kwamba itokee siku watu waache kusema uongo juu ya MUNGU ALIYE TUUMBA!

Halafu kila mtu aabudu anachotaka na tuisubiri hiyo siku ya malipo!

Naomba uniwie radhi kama nimekukwaza lkn nia yangu ni Kusema yaliyo Haki tu juu ya MUNGU WANGU MKUU,

Hapa ndipo ninaoojiuliza mawsali mengi sana kuhusu umani hii na watu wanaoifuata

Inakuwaje mtu afikiri anamamlaka ya kuwachagulia watu wengine namna ya kuabudu na namna ya kumuita huyo wanaemuabudu?

HII NI LAZIMA ITAKUWA NI NJAA YA KUTAMBULIKA

Hakuna mwenye haki ya umiliki wa jina Mungu na anweza kumuita huyo mungu anaemuabudu vyovyote anavyotaka,hii tabia ya kuwalazimisha watu wengine namna ya kumuita Mungu wao na kuwawekea mipaka ni ya kishetani,laiti watu hawa wangekuwa na mamlaka wangeweza kuwaua wote wanaomuabudu Mungu tofauti na wao

Hii tunaiona kwa ishara nanmna wanavyowafokea na kujipa mamlaka ya kuwachagulia namna watu wengine namna ya kumuita Mungu wao

Madinna na Makkah palikuwa na amani sana kabla Mohammad hajaota ndoto yake ya ajabu na kwenda kuwaharibia watu utaratibu wa kuishi huko

Waqurraish,Wakristo na Wayahudi walikuwa wakiishi kama ndugu kabla ya huyu mtu kwenda kuwavurugia utaratibu

Nawashangaa sana watu wanaodanganywa na kulaghaiwa na hila za hovyo za dini hii,wanashindwa kujiuliza maswali ya msingi

Ni kitu gani kinawawasha hawa watu mahali popote wanapoona katajwa Mungu wanakuja na kuanza kuporomosha maneno ya hovyo?

Huyo mungu wao ana njaa kiasi gani cha kutambuliwa na wengine hadi anawafanya wafuasi wake wafanye mambo ya hovyo kiasi hiki?

Hawa watu lazima watakuwa na matatizo ya akili,namuomba Mungu aiepushe familia yangu na hili balaa

Hakuna dini ya ajabu kama hii chini ya jua,khaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Kwanini sio wastaarabu nyie?

Ni kwanini kila anapotamkwa Mungu muumbaji mnadhani ni mungu wenu ndo anatajwa?

MNAKERA SANA NYIE
 
6. Sura Al-Nisa 4:135

Believers, conduct yourselves with justice.

Yaani,

Enyi mlioamini, enendeni kwa njia ya haki.

Hapa Allah anazungumzia juu ya haki.

LAKINI ALLAH HUYO HUYO ANASEMA:

Sura Al-Nisa 4:129

In no way you can treat your wives in a just manner even though you may wish to do that...

Yaani:

Haiwezekani kamwe kwa ninyi kuwatendea haki wake zenu hata kama mngependa kufanya hivyo ...

Maswali:
1. Aya hizi zinafanana au zinapingana?
2. Kama hazipingani ni kwa vipi?




Mh!! Kama ilivyo katika sheria, endapo kama kunasheria inaleta mkanganyiko wa kuitafsri basi uunda kwa sheria nyingine mbadala! Ngoja nikuambie kitu ww kijana!! Wakati mwnyz mungu anashusha Qur'aan, wakati mwingne alikuwa anashusha enadpo kuna jambo linaloleta utata, katika ayah hizo ulizo sema hapo juu katk. Suraat Mwnyez AL-nisa, hiyo Ayah ya 4:129, ni ya kwanza, na ilileta mkanganyiko hivyo ili kutatua suala hili ALLAH SUBUHAN WATALLAH akamteremshia mtume MUHAMAD ayah nyingine 4:135 ili kuueleza umma wake!! Kwan ni dhair wanadamu, wanaume hutaman kutenda mambo mema kwa wake zetu na pia wanawake hutaman kutenda mambo mema ila tatzo ni Mitihan kutoka kwa mwenyezi mungu kwan huwezi kuingia peponi hivhiv kiurahis kama unaingia chumban kwako, ni lazima upitiwe na mitihan ndo ufaulu kwa mwnyz mungu!!

NAFIKIR UTAKUW UMEELEWA
 
Mh!! Kama ilivyo katika sheria, endapo kama kunasheria inaleta mkanganyiko wa kuitafsri basi uunda kwa sheria nyingine mbadala! Ngoja nikuambie kitu ww kijana!! Wakati mwnyz mungu anashusha Qur'aan, wakati mwingne alikuwa anashusha enadpo kuna jambo linaloleta utata, katika ayah hizo ulizo sema hapo juu katk. Suraat Mwnyez AL-nisa, hiyo Ayah ya 4:129, ni ya kwanza, na ilileta mkanganyiko hivyo ili kutatua suala hili ALLAH SUBUHAN WATALLAH akamteremshia mtume MUHAMAD ayah nyingine 4:135 ili kuueleza umma wake!! Kwan ni dhair wanadamu, wanaume hutaman kutenda mambo mema kwa wake zetu na pia wanawake hutaman kutenda mambo mema ila tatzo ni Mitihan kutoka kwa mwenyezi mungu kwan huwezi kuingia peponi hivhiv kiurahis kama unaingia chumban kwako, ni lazima upitiwe na mitihan ndo ufaulu kwa mwnyz mungu!!

NAFIKIR UTAKUW UMEELEWA

Thank you for proving to me that "ALLAH IS NOT ALL KNOWING".

SWALI:
Now if Allah is truly all knowing and doesn't change his mind wouldn't he have known beforehand that the Muslims were not up to the task of facing so many disbelievers?
 
Jaman nipo hapa nasikilaz darasa la quran "kwakweli hiki ni kitabu cha M/mungu na ndio muongozo pekee kwa wanaomcha M/mungu i am realy enjoying ,natamani kila mtu angejua ukweli jamani njooni kwenye uongofu,njooni kwenye uislamu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom