Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
Leo tena dola 30 madogooo hayaNakumbuka vyema madame "" na miongoni ya hao clients nihuyu hapa... CCNP Engineer ...kuna Uzi aliufungua akawa anasema kuwa kwa siku moja alikuwa anaingiza Ml.1""" hahaa majuzi kati kaja nauzi anaomba ushauri Anataka akope million 5 " kisha aache kazi akafanye biashara "" hahaa...yaani mtu anayeingiza..ml.1 per day kumbe hata ml.5 bado inamtoa jasho la makalio
Ngoja nisome,,mi nataka alete ya kufundisha waru waprint nyumba jamanihahaaa Mama Sabrina pitia hiyo link hapo juu"
ha haaa...nilivyokuwa na usongo wa kumiliki" ""x6 ..daahh naisubir kwa hamu hiyo printing machineNgoja nisome,,mi nataka alete ya kufundisha waru waprint nyumba jamani
Jamaniii tunasubiria kuonyeshewaa hiyo x6ha haaa...nilivyokuwa na usongo wa kumiliki" ""x6 ..daahh naisubir kwa hamu hiyo printing machine
Iliyofungiwa ni FBME BANK LTD na sio FNBFNB hii benki si ilishafungwa hapa nchini??? au zilikuwa siasa? maana hiyo na kenzake hivi vilifungiwa kwa kutakatisha pesa za waarabu
Madolaree na Mapaundii hatuombei vishillingi waambie kabisa!.hahaa...hiyo hiyo "" mwendo wa kuprint pesa tu""
Ahahahahahahah wakulipeeeyaaani wanilipe maana zile zilikua sio za nchi hii
Kwani pale ofisi haipo tena au imekuwaje?kwa hiyo TMT imekufawote wamezingua kuivunja tmt
Kumbe basi Ontario hana shida kachukua halali yakeIssue ilianza aliambiwa Cre ajiuzulu ili watafute mentor mwingine, jamaa akagoma.
Wale wawili walitaka UA kampuni ili kila mtu aondoke na chake, Cre akagoma
Dogo akaandika Barua ataachia ngazi kuanzia 15th
12th akabeba kilicho chake
Basi kheriofisi ipo
Na ujanja wako wote nasikia umetapeliwa ndugu yangu hahahahah... hivi ka-the bold nako si kamehusika??Mbuzi wewe hakuna alieliwa ela pole ela zangu zipo salama na leo ni mwendo bluu pair za last wiki kama gbpusd uscad aaaaaaaaa pole sana ndugu
Mkuu naomba namba ya niffahNa ujanja wako wote nasikia umetapeliwa ndugu yangu hahahahah... hivi ka-the bold nako si kamehusika??
Alafu haka kathe bold natamani nikajue aisee. Yani hata ningekajua tu jina lake halisi nikavizie mtaani nikapige mawe. Ka-zebold sikapendi sana aisee...
Haukajui haka kajamaa??
Hahaha,dah mkuu mbona unahasira hivyo??amekufanyaje??Na ujanja wako wote nasikia umetapeliwa ndugu yangu hahahahah... hivi ka-the bold nako si kamehusika??
Alafu haka kathe bold natamani nikajue aisee. Yani hata ningekajua tu jina lake halisi nikavizie mtaani nikapige mawe. Ka-zebold sikapendi sana aisee...
Haukajui haka kajamaa??
Asante.hyo ni code ebu tulia
Yani nina hasira sana aisee na haka kathe bold... kalikuwa kanatusimulia vistori vyake humu vya uongo na kweli kumbe daaaahhh...ahhhhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa wewe alaf ka ze bold na ka ontario kamekula vijisent vya watz shenz kabisa et kuibiwa khaaaa mnachomfanya cre na rea Mungu anawaona.
Uliipigia debe nini mkuu, mbona wana hasira na wewe?Yani nina hasira sana aisee na haka kathe bold... kalikuwa kanatusimulia vistori vyake humu vya uongo na kweli kumbe daaaahhh...
Nasikia bhana kamejichotea milioni 50 na ka ontario nako kamechota 50 na awilo 50 alafu vimejifanya kutengeneza mgogoro wa uongo na kweli kutuzuga.
Yani haka kathe bold siamini kama kweli kamefanya hivi?? Hivi kamepatwa na nini haka kathe bold??