Zeus1
JF-Expert Member
- Aug 24, 2017
- 7,152
- 9,206
Sasa na yeye amehusika kwenye huo upigaji??The bold uyo na hilo ndio jina lake halisi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa na yeye amehusika kwenye huo upigaji??The bold uyo na hilo ndio jina lake halisi.
Nimeuliza coz fao la kujitoa kwenye mifuko ya jamii ni ngumu kwa ssa angeweza ata kufungua ka biashara kidogo.kwan hakuna maisha baada ya tmt nyie ndio mkifukuzwa kazi mnkufa
Uko vizuri sana na hongera mkuu.more than $20,000 na naendelea
mtajijua na ccm yako
Uko vizuri sana na hongera mkuu.
Mwenye macho aambiwi tazama mkuu.Sasa na yeye amehusika kwenye huo upigaji??
Kama atotegemea salary tu kutoka tmt basi ni vizuriacha upumbaaavu ulidhan nifa anategemea salary tu na tmt utanzania ni mzigo na we n mzgo wa miiba
Ukiona wahusika wanalia ni ushahidi tosha.mie nitajuaje hio message ni original na sio imetungwa kumchafua mtu wa watu?
ile kaz bado nafanya na mama ako
Mbona anawaka ulivyokuwa unampa facts the bold?Siyo kweli, I know them personally.
They are two different people.
Mbona anawaka ulivyokuwa unampa facts the bold?
Sawa mkuu.Wabongo ndo maana kuibiwa hakutaisha, nimekwambia ninawafahamu personally, unakomaa na eti ni mtu mmoja.
Nimeonana nao wote si mara moja wala mbili.
Sawa mkuu.
Kumbuka jf mwendo wa majina FAKE account nyingi mwisho anamiliki mtu mmoja
Hahah ok sawaWote ni madalali wa kupigia chapuo TMT.
Kuwaka kwake ni kwa sababu she also has interests.
Nyie ndo mnaliwa mpk ukuchaamie nitajuaje hio message ni original na sio imetungwa kumchafua mtu wa watu?
Mkuu fufua ule uziNdio kashesepa ivyo
Mkuu fufua ule uzi
mkuu Bold anauhusikaje tena, nifumbue majicho.The bold na ontorio wataendelea kulaaniwa na utapeli waliufanya wa kinyama kwa vijana wa kitanzania kwa nia ovu ya kuchoma acc. Indirect ili wanufaike wao na wengine wapate hasara hichi kitu kitawatafutana miaka yote
Nabariki laana hizi kwao..
Bora mtu usiijue forex kuliko kujua kwanjia za kitapeli kama hizi