Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
The bold nae yuko hapo TMT na demu wake niffah .....Ndio wanashirikiana na tapeli mwenzake Ontario kuandika mabandiko ya kuwashawishi watu kujiunga na TMT ili wawatapeli pesa zao kwa kuwachomea accountsmkuu Bold anauhusikaje tena, nifumbue majicho.
Kutoka kwa cre. Dakika 20 zilizopita
By fact umeongea ukweli Jestkillaila forex hainaa utapeli yataka akili kubwa kufanya shida yaa watz kujifanya wanajua kumbe hawajui hapo tmt hakuna alietapeliwa
Hahaaa! Bado mnawavuta wajinga wachacheHellow traders! Forex sio ya Ontario ,, so tunaoamini katika Forex tuendelee kuamini na asiyeamini ktk forex aendelee kutoamini.
Kwa wale wanaoumizwa na makato ya benk pale unapoweka hela na kutoa kutoka kwa broker , nawashauri wamtumie huyu broker Templer FX Trader , yeye anakubali transactions kwa njia ya M-PESA means unadeposit na kuwithdraw kwa M-pesa bila kupitia Bank, hafu no makato ... Ukiwa na $50 kwa broker unahitaji kuzitoa utapokea kwa kila dola 1 thamani ya Tsh 2,230/= so piga hesabu $50 zidisha kwa 2230 utapokea Tsh 111,500/= .. Tofauti na ukipitia bank , ,, mfano bank ya FNB Ukihitaji uweke kwa broker isome $100 inabidi udeposit maxmum $125 , hapo kwa mt4 yako itaonekana $100,,, hyo inayobaki ni makato pamoja na exchange rate yao kwa siku hyo,,
Bank ya equity wanakata km Tsh 18,000/= ($8.1) kwa transaction yoyote utakayoifanya kwenda na kutoka kwa broker,,
Haya makato unaweza kuyakwepa kwa kumtumia huyu broker Templer FX Trader ambapo transactions zote utazifanya kwa njia ya M-pesa bila makato yoyote na kwa muda mfupi.
Pia minimum deposit ni $1 pia minimum withdraw ni $1 kwa M-pesa.
Hasumbui kuverify documents zako inachukua around 24hours utakuwa verified . unachohitaji kuwa nacho ni kitambulisho kimojawapo kati ya hivi (cha kura,uraia,passport, au lessen)
Unaweza kumcheck kupitia website yake hii Templer FX Trader then unaingia open account , .. Huyu ni broker mzur kwa wale wanasumbuka na mitaji , pia hata km huna akaunt bank you can trade forex bila matatizo........ nipM kwa msaada na ushauri zaidi
Na forex uliiacha kabisa au ulitafuta alternative nyingine?
Mkuu nahitaji kupata shamba Ushirombojamani forex pigeni hao mazwazwa na mimi napiga wangu huku ushirombo. Shwain zenu wabongo mpk akili zimikae sawa na mpunguze vya dezo, nyie mnasubilia grisi sisi tunatia kamasi.
call me :moneyman
Jamaa kala vichwaView attachment 776894
Maskini, nasikitika kusema hakuna unachokijuaTatizo Watz cjui tuna akili gani tunapendaa sanaa Kitonga hatujifunzi tuu. Deci, D9 ... and so more lakini watu bado wanajipeleka tuu
Kwelii sijui kitu ndo mana sipigwii kizembee sometimes much know nayo ni tatizooMaskini, nasikitika kusema hakuna unachokijua
Kwelii sijui kitu ndo mana sipigwii kizembee sometimes much know nayo ni tatizoo
Mkuu ina maana wotee waliopigwa walikua wajinga kama mm.
not only engineer huyu jamaa kuna post alibishana na mtu akaweka vyeti full one za tatu ma gpa makubwa makubwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji3] ila ontario kala kichwaAhahaha!! Usinchekeshe na hili baadae akatafuta ushauri amroge mtu kisa katokomea na kilo kadhaa.. Eti engineer? Injinia achukue mkopo wa milion 5 akimbie kazi?
Labda injinia wa kushona viatu posta mpya?