Ontario adaiwa kusepa na Mamilioni ya Wana-Forex

kwan hakuna maisha baada ya tmt nyie ndio mkifukuzwa kazi mnkufa
Nimeuliza coz fao la kujitoa kwenye mifuko ya jamii ni ngumu kwa ssa angeweza ata kufungua ka biashara kidogo.
 
Wabongo ndo maana kuibiwa hakutaisha, nimekwambia ninawafahamu personally, unakomaa na eti ni mtu mmoja.

Nimeonana nao wote si mara moja wala mbili.
Sawa mkuu.

Kumbuka jf mwendo wa majina FAKE account nyingi mwisho anamiliki mtu mmoja
 
mkuu Bold anauhusikaje tena, nifumbue majicho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…