Ontario adaiwa kusepa na Mamilioni ya Wana-Forex

jamani forex pigeni hao mazwazwa na mimi napiga wangu huku ushirombo. Shwain zenu wabongo mpk akili zimikae sawa na mpunguze vya dezo, nyie mnasubilia grisi sisi tunatia kamasi.

call me :moneyman
 
Kwa wale Trader ambao wangependa kumtumia broker Templerfx.

Broker huyu anakuwezesha kuweka PESA na kutoa kwa njia ya M-PESA.

Kujisajili ni rahisi sana kwa kutumia kitambulisho chako cha kupigia kura na namba yako ya simu utakayotumia kuweka na kutoa pesa kwa broker.

JISAJILI SASA
Usisite kuomba msaada

TemplerFX | Promo
 
ila forex hainaa utapeli yataka akili kubwa kufanya shida yaa watz kujifanya wanajua kumbe hawajui hapo tmt hakuna alietapeliwa
By fact umeongea ukweli Jestkilla

Kwanza mimi binafsi sio muhanga wa TMT ila nilikua nikiafatilia nyuzi mbalimbali from Ontario and his company TMT.

Pia nikiri kupitia Ontario nimeweza kuifaham biashara ya forex kwa undani kidogo,bado najifunza ili kuijua zaidi lakini kitu cha kwanza nilijiridhisha kwamba forex sio utapeli ni biashara kama biashara zingine na inahitaji Elimu na uzingatiaji mkubwa kuifanya biashara hii.

-Inshort nimesoma nyuzi nyingi sana juu ya biashara ya forex hapa jamii forum lakini huu ndio uzi wangu wakwanza kuweka comment yangu.Na haya ni mawazo yangu naomba twende sawa ukiona yanakukera rukwa kunywa OMO+pakaa JAMAA,GEISHA,KUKU ili utoke POVU vizuriii

Moja:Watanzania ni wavivu wa kutumia akili.hili jambo linanikera sana mtanzania ukimwambia kitu ambacho hakitumii nguvu kubwa kupata hela bhasi directly ataamini huo ni utapeli,yaani wao fedha halali ni ile inayoapatikana kwa kupiga hustlering usiku kucha au ufanye kazi toka ujana wako mpaka unazeeka kwao ndio pesa halali.Pia kwa ambae ataamini hicho utakachomwambia bhasi yeye anaona haitaji tena kuumiza akili yake kukijua hicho kitu kwa undani ila anataka umfanyie kila kitu,kupitia hii loop tumezalisha matapeli wanajifanya wao wanatrade forex.mfn
Kuna jamaa waliamua kutapeli kwa kujifanya wanatrade forex na kuandaa vitangazo vyao na kusambaza whatsapp group walipiga sana hela na kupotea.huu n mmoja wa mfano wa watz

Mbili:Watanzania tunapenda hela za haraka.Hili sio tuu janga kwa vijana wa forex Nooo ni tatizo kubwa hata kwa viongozi wetu serikalini wanatamani sana hela ya haraka ndio maana kuna muda wanafanya mambo yakipumbavu just to get money.nirudi kwenye maada,naamini wote waliopitia TMT walienda pale kwaajili ya kuijifunza jinsi ya kutrade forex na nijuavyo mimi kazi ya kujifunza ni ya mwanafunzi mwalimu yupo tuu hana ulazima sana.kama ww ulifundishwa kutake risk so y u blame spread kubwa wakati uliambiwa kuna njia ya kuzuia kuunguza acc,means hata kama spread zikiwa kubwa kama utatumia risk management huwez kublow acc.Fact ya kupenda hela za haraka ndio zimewafanya mchome acc zenu na kublame brokers and Ontario.Biblia yenyewe imesema ukikutwa na mabaya kaa chini ufikiri sasa nashangaa ndugu zangu watanzania wanapokutwa na mabaya they always find someone or something to blame

Tatu:Watanzania ni watu wa wivu na chuki.Kwahili huitaji kupiga ramli au kufanya maombi just go back and read comment.Ukiona mtu anafurahia jambo baya linapotokea ujue huyo mtu chuki ni tabia yake na chuki yake hainaga sababu,by time nimesoma uzi wa Ontario alioandika kuhusu KUTENGENEZA MIL19 hapa ndio niliprove watanzania hawapend kuona mtu anapata maendeleo na yote ni sababu ya chuki,mtu badala ajifunze kupitia kilichoandikwa anakaa anapambana aprove kama kweli alipata hiyo hela by fact katika uzi ule kulikua na mengi yakujifunza lakini comment nyingi zilijawa chuki more than kujifunza.Hapa nimetolea mfno Ontario kwasababu ndio kijana alieonesha kujitutumua na kuonyesha kuwa kuna kitu vijana tunaweza kufanya out of sitting in social media doing stupid things lakini ndio ameongoza kwa kupigwa vita sana hapa jamii forums na nahisi ameshajiondoa kama sio kapigwa ban

Mwisho nitoe ushauri kwa watanzania wenzangu kupenda kujifunza na kufikiria mambo kwa msingi wa positive and negative before they conclude pia wapende kujifunza zaidi kuliko kupiga soga za kujua au kutokujua kusimuliwa au ulisikia kwa fulani.
 
Hahaaa! Bado mnawavuta wajinga wachache
 
jamani forex pigeni hao mazwazwa na mimi napiga wangu huku ushirombo. Shwain zenu wabongo mpk akili zimikae sawa na mpunguze vya dezo, nyie mnasubilia grisi sisi tunatia kamasi.

call me :moneyman
Mkuu nahitaji kupata shamba Ushirombo
 
Ahahaha!! Usinchekeshe na hili baadae akatafuta ushauri amroge mtu kisa katokomea na kilo kadhaa.. Eti engineer? Injinia achukue mkopo wa milion 5 akimbie kazi?

Labda injinia wa kushona viatu posta mpya?
not only engineer huyu jamaa kuna post alibishana na mtu akaweka vyeti full one za tatu ma gpa makubwa makubwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji3] ila ontario kala kichwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…