Ontario adaiwa kusepa na Mamilioni ya Wana-Forex

Mbona hamueleweki sasa,hyo hela imepigwa au haijapigwa?
 

Mkuu nimejaribu kukuandikia PM naona kunashida please unaweza kunitumia wewe kunammabo nataka tuyajenge Kidogo
 
watu wengi utumia sana vivuli kufanyia utapeli kwenye forex.forex si kama desi watu wanavo zani na hakuna sehemu unaweza kumuamini broker kukupa tips.pole zao walio tumiwa kama fursa[emoji23][emoji23].
forex sio nguvu ya biko wala tatu mzuka
huku ni kubet kwa pesa kwenye forex kesho ukisikia trump kazuia china basi mabadilisho yamekula kwako kama uli nunua au umeuza kwa thamani gani ukitusua [emoji241][emoji241] kwa sana
 
Mgirik

Kumhusisha niffah katika hili plus na kumuita malaya sidhani kama ni ustaarabu mkuu... Be civilized... Mimi mwenyewe nimejitoa TMT mapema december 2017 na sikuwa nakubaliana nao katika mambo yao na niliondolewa kabisa mpaka kwenye group lakini siwezi kukaa hapa na kumtukana mtu kama niffah, and the reason behind ni kwamba, niffah hakuwa na influence yoyote ambayo imepelekea labda watu kupoteza hela zao. She was just an employee pale kama walivokuwa employers wengine. Tuwewastaarabu basi
 
Umesema vyema sana mkuu!

Mbali na niffah kutohusika na chochote juu ya ubabaishaji na upigaji wa TMT pia she is humble,charming, kind, supportive and humane.. Huyu Dada sidhani kama kuna aliepita pale TMT anaweza kuwa na experience mbaya juu yake. She always strive to offer quality and classic service.

Ukiachana na yule msouth Rea, huyu Dada pia namkubali sana kwa uungwana..bold kapata mke makini sana. Tukumbuke tabia njema ni silaha.

Matter of fact, alikuwa na yeye anatrade kwenye computer yake ya ofisini casually then baada ya kula za uso hakaacha..so technically she is victim of the system too.

I always don't sugarcoat...I call a spade a spade..the same as I regards Jeff and Cre to be predators and heartless.

We love you niffah!
 
Nae alikua anamtumia jpMarket au
 
Dear clients of Tanzania,

This mesage serves as due diligence on our behalf to inform you that we are currently investigating some unsolicited activity by specific TMT team member, namely Sirjeff Dennis.

As you know, TMT has a local bank account in Tanzania receiving JP Markets clients’ funds, created with the objective of offering the convenience of speedy withdraws and deposits. We have recently discovered that Sirjeff has misappropriated an initial estimate of TSH50 million of these client funds for his personal use. This investigation is ongoing and the figures may change.

We have confronted Sirjeff and explained to him the consequences of this criminal action which he has not denied and has shown no remorse for.
We therefore have no choice but to pursue legal action against him and strongly recommend that you do the same. Your assistance in opening a criminal case against him will help us recoup your funds quicker. We are deeply disappointed in Sirjeff’s actions of abusing the trust of our Tanzanian clients to further his own unlawful deeds.

It's important to understand that client funds were never deposited to JPMarkets - in terms of our contractual agreement with them, TMT is the the responsible party and therefore legally liable to repay these funds to all clients. Our clients’ interests is of superior priority and we will persevere to ensure this is rectified - however we cannot guarantee its resolution.
Our agreements and arrangements hold TMT liable, rest assured will do our very best to assist.

Due to these unforseen circumstances, we need to bring to your attention that all deposits and withdraws have been put on hold until the TMT has advised how they plan to proceed. We sincerely regret the inconvenience this will cause, but would like to reiterate our commitment to assist.

We plead for your assistance in ensuring Sirjeff is dealt with to the full extent of the law.

Thanking you
JP MARKETS


Nimeikuta mahali hii
 
Wana Forex wenye pesa JP Market ni wakati wa kumshtaki Ontario sasa
Jp markets kawaachia huo mzigo clients wao hahahahahaa.....!

Sasa sijui wataanzia wapi na wenye ushahidi na uwezo wa kumshtaki ni Jp na cre sasa hao clients wataanzia wapi na ushahidi watatoa wapi?
 
Information gap ndiyo iliyosababishia haya yote mnaopenda kutafuniwa

Kwenye forex kuna chain hii CLIENTS>>>>BROKER>>>>LIQUIDITY PROVIDER>>>>INTER-BANK MARKET

Na niliwahi kuandika kwenye uzi huu kwa waliobahatika kuusoma kabla ya kuubadilisha kukwepa lawama za kukimbiza wateja Kutokuwa na uelewa wa Forex ilivyogeuzwa kuwa Fursa adhimu
Na ukiangalia kabisa unaona chain ya TMT ilivyokuwa CLIENTS>>>TMT BANK A/c>>>BROKER ova
Broker wakubwa au broker waaminifu wanafanya hivi ukijiunga nao, ukijiregister unapata access kwenye dashbord yao hapo hapo Bank account yako inakuwa inajifungua kwa liquidity provider wao mfano JP Morgan, Baclays, Dukascopy, Standard Chattered, HSBC n.k ambapo ukideposit pesa inaenda direct kwa liquidity provider au withdrawals inakuwa the same sio kwenye ac ya broker au watu wengine waliofranchise au kuwa na special contract kama TMT walivyofanya.
kwa wanaokumbuka uzi wangu niliweka hii screenshot


Pesa zilikuwa haziendi kwa liquidity provider wala nini zilikuwa zinazunguka tu kwenye ac ya TMT na hii inadhihirisha JP Market hawana liquidity provider kama wanaweza wakakubali hii michezo kwa traders wazoefu wanajua SWAP charges muda mwingine huwa zinakuja positive na unaongezewa kiasi fulani kwenye position yako i bet kama kulikuwa na hii michezo JP Markets hawana positice swap.
Hii habari iwafikie pia nyie mnaodanganywa kudeposit kwa mpesa tigopesa na airtel money pesa zenu haziendi kwa liquidity provider kaeni chonjo. Mwisho wa connection ni kwenye server zao basi kwa hiyo pesa wanatunisha mifuko yao na watafanya kila mbinu kuhakikisha wanakuwinda kama kutokutoa positive swap, spread kubwa, late execution na late exit requesting na kufreeze mt4 na mengine mengi stay alerted my people.

Ramadhan Kareem
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…