Ontario adaiwa kusepa na Mamilioni ya Wana-Forex

Inamaana hata hawa templer, CIFX na Tickmill inawezekana siku moja wakakomba vihela vyetu kama Ontario?
 
Maskini broker kawakimbia clients wake kiaina 😀😀😀
 
Inamaana hata hawa templer, CIFX na Tickmill inawezekana siku moja wakakomba vihela vyetu kama Ontario?
Hamna kitu kama hicho, hizo body zipo regulated , Jp Market walikosea sana kupitishia pesa za client wao through TMT
 
Cha kuwashauri wote ambao pesa zenu zipo Jp Markets Kupitia TMT fanyeni hivi, Tumeni Complaints nyingi kwenda Financial Services Board wa SA hata kama pesa yako haijaibiwa ila ulikuwa client wa Jp Markets kutokea Tanzania tuma complaint ili kutilia mkazo hili swala kupitia hapa
Complaints-Compliments-Feedback

Mawasiliano mengine ya FSB haya hapa



Kutokana na malezo haya hapa chini ilihali ni regulated broker by FSB huko kwa madiba Jp Markets wanatia upofu sehemu yenu ya kulalamika ipo na dawati lipo wazi. Na hii ndiyo mojawapo ya sababu ya kutumia regulated broker pale matatizo kama haya yanapotokea funzo kwa wengine, mbuzi wa kafara kapatikana.

- however we cannot guarantee its resolution.
Our agreements and arrangements hold TMT liable, rest assured will do our very best to assist.

Wamebadilisha jina toka FSB to FSCA tangu April 1 2018 Link and contact updated
Ramadhan Kareem
 
The bold anahusikaje tena na Tmt as far as i know hata share tmt hana Jeff alimualika tu kwenye group na baadae alijitoa hakuwahi kuwa member wa Tmt.
 
Did u know kuwa Jp market wamezuia clients wao kutoa pesa zao kwenye trading account zao mpaka Jeff arudishe pesa alizochukua bank na wamemfungulia case so how come pesa za clients zipo salama? They say no withdrawal until mgogoro wa tmt n jp uwe solved.
 
Makubwaaaa hayaa ndio maana bold kapita humu anawacheka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wanawachekaa waliojiunga nadhani
 
Bora umesemaa wanajuta kuwafaham
 
Sasa hapo inakuwaje mfano ukideposit pesa kupitia TMT account yako iliyoko JP Market inakuwa credited na pesa uliyodeposited inaonekana imeingia halafu unasema inaxungukia hapo TMT hebu fafanua vixuri mnatuchanganya
 
"Withdrawal and deposits have been put on hold until TMT has advised how they plan to proceed "

Haka kakipengele kamekaa kihuni na kipigaji sana...na kanamaanisha mkwanja wa clients wa TMT JP market wamehuhold until further notice.

Simply means kama ulideposit mkwanja wako haupewi access ya kuutoa tena hadi Jeff arudishe hela ya watu.

Tafsiri yake clients ambao hadi sasa hawajatoa masese yao wamekula wa uso.

Hakyamungu! Ahahaha!
 
Sasa hapo inakuwaje mfano ukideposit pesa kupitia TMT account yako iliyoko JP Market inakuwa credited na pesa uliyodeposited inaonekana imeingia halafu unasema inaxungukia hapo TMT hebu fafanua vixuri mnatuchanganya
Laki si pesa umekuwa mpoleeee nakumbukaa forex is not for everyone [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…