Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
Yaan jamani mkumbukeni @Deadboy mlimsema sanaaNi kinachonitisha ni hapo jp market kusema pesa zilikuwa haziwafikii...yaani hapo wameshawakana clients wao...mzigo wote wamewatupia TMT...na Cre kashakimbia bongo...Kilichobaki ni kumtafuta Ontario popote alipo hapa Tanzania na kumshughulikia mpaka atoe pesa zetu huyu tutamchoma moto
Nakojooooooaaaaaaaaaaaaaa ahahahahahahahhWe jamaa unavyoisifiaga CCM huwa ninadhani ni mtu fulani mkubwa...
Kumbe ni mzee wa Forex.
AhahahahahahahahahahahahahahahahahThe future is exciting! [emoji6]
Yanayokuja yananitia hamu mie[emoji23] [emoji23]The future is exciting! [emoji6]
Labda mumlete na gredaKwani Ontario hawezi kupatikana akatolea haya mambo ufafanuzi?
Tujipange vizuri mamaAhahahahahahahahahahahahahahahahah
Wit mnaniuaaaYanayokuja yananitia hamu mie[emoji23] [emoji23]
Hamu gani tena?? [emoji23] [emoji23]Yanayokuja yananitia hamu mie[emoji23] [emoji23]
Mi naandaa mbavu tu nikikumbuka Forex is not for everyone nilikuwa najiona sina akili kabisa watu wanaojiunga forex wana akili kubwaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tujipange vizuri mama
Employee vingine upo sawaKumhusisha niffah katika hili plus na kumuita malaya sidhani kama ni ustaarabu mkuu... Be civilized... Mimi mwenyewe nimejitoa TMT mapema december 2017 na sikuwa nakubaliana nao katika mambo yao na niliondolewa kabisa mpaka kwenye group lakini siwezi kukaa hapa na kumtukana mtu kama niffah, and the reason behind ni kwamba, niffah hakuwa na influence yoyote ambayo imepelekea labda watu kupoteza hela zao. She was just an employer pale kama walivokuwa employers wengine. Tuwewastaarabu basi
But remember " FOREX IS NOT FOR EVERYONE ONLY FOR CHOSEN ONE"Wit mnaniuaaa
unantamani sana eeeeh.
Kwa yanayokuja...Hamu gani tena?? [emoji23] [emoji23]
kwani watu wakubwa hawafanyi Forex...?
@mzigua90 akikuacha we mwanaume hatopata kama wewe wallah ,una busara sana DonNitakwambia kwa nini unatajwa.
Toka zilipokuwa zinaletwa thread za malalamiko ya jinsi ambavyo watu wanakuwa mistreated na TMT, wewe umekuwa upande wa TMT, tena kwa kutumia lugha za dharau kama "mbwa", "mpumbavu" etc, kwa kitu ambacho watu wameomba ufafanuzi.
Unakumbuka wewe na mimi jana, baada ya Habibu B. Anga alias The Bold kuja na kauli za dharau, nikashauri kwamba ingekuwa busara kwake kuwapa ufafanuzi wahanga (waupokee au wasiupokee, ila yeye awe amefafanua), yeye kaja na kauli za kejeli; unakumbuka ulivyonijibu kwa kunitukana, tena zaidi ya mara moja.
Sijawahi kutukana member yeyote humu, wala kutumia kauli za kejeli kwa member yeyote kwa kuamini we are all equal (though some might be equal than others, but respect should cut across).
Ninakushauri tu ujaribu kubadilika, tumia lugha rahisi kumwelewesha mtu mnapotofautiana mtizamo.
Nothing Personal.
Take it or leave it.
Wakati wenzake yajayo yanahuzunishaHamu gani tena?? [emoji23] [emoji23]
@mzigua90 akikuacha we mwanaume hatopata kama wewe wallah ,una busara sana Don
Slogan imekuwa hivi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]But remember " FOREX IS NOT FOR EVERYONE ONLY CHOSEN ONE"
Haaaaaahaaaaaaaa
Jamaniiii Don we mwanaumeYou are so beautiful to me to do what you are doing.
You don't deserve these backlashes, so am trying to defend you by advising you to stay away.
You are my girl.