Nitakwambia kwa nini unatajwa.
Toka zilipokuwa zinaletwa thread za malalamiko ya jinsi ambavyo watu wanakuwa mistreated na TMT, wewe umekuwa upande wa TMT, tena kwa kutumia lugha za dharau kama "mbwa", "mpumbavu" etc, kwa kitu ambacho watu wameomba ufafanuzi.
Unakumbuka wewe na mimi jana, baada ya
Habibu B. Anga alias The Bold kuja na kauli za dharau, nikashauri kwamba ingekuwa busara kwake kuwapa ufafanuzi wahanga (waupokee au wasiupokee, ila yeye awe amefafanua), yeye kaja na kauli za kejeli; unakumbuka ulivyonijibu kwa kunitukana, tena zaidi ya mara moja.
Sijawahi kutukana member yeyote humu, wala kutumia kauli za kejeli kwa member yeyote kwa kuamini we are all equal (though some might be equal than others, but respect should cut across).
Ninakushauri tu ujaribu kubadilika, tumia lugha rahisi kumwelewesha mtu mnapotofautiana mtizamo.
Nothing Personal.
Take it or leave it.