Ontario adaiwa kusepa na Mamilioni ya Wana-Forex

Ontario adaiwa kusepa na Mamilioni ya Wana-Forex

Ni kinachonitisha ni hapo jp market kusema pesa zilikuwa haziwafikii...yaani hapo wameshawakana clients wao...mzigo wote wamewatupia TMT...na Cre kashakimbia bongo...Kilichobaki ni kumtafuta Ontario popote alipo hapa Tanzania na kumshughulikia mpaka atoe pesa zetu huyu tutamchoma moto
Yaan jamani mkumbukeni @Deadboy mlimsema sanaa
 
Kumhusisha niffah katika hili plus na kumuita malaya sidhani kama ni ustaarabu mkuu... Be civilized... Mimi mwenyewe nimejitoa TMT mapema december 2017 na sikuwa nakubaliana nao katika mambo yao na niliondolewa kabisa mpaka kwenye group lakini siwezi kukaa hapa na kumtukana mtu kama niffah, and the reason behind ni kwamba, niffah hakuwa na influence yoyote ambayo imepelekea labda watu kupoteza hela zao. She was just an employer pale kama walivokuwa employers wengine. Tuwewastaarabu basi
Employee vingine upo sawa
 
Nitakwambia kwa nini unatajwa.

Toka zilipokuwa zinaletwa thread za malalamiko ya jinsi ambavyo watu wanakuwa mistreated na TMT, wewe umekuwa upande wa TMT, tena kwa kutumia lugha za dharau kama "mbwa", "mpumbavu" etc, kwa kitu ambacho watu wameomba ufafanuzi.

Unakumbuka wewe na mimi jana, baada ya Habibu B. Anga alias The Bold kuja na kauli za dharau, nikashauri kwamba ingekuwa busara kwake kuwapa ufafanuzi wahanga (waupokee au wasiupokee, ila yeye awe amefafanua), yeye kaja na kauli za kejeli; unakumbuka ulivyonijibu kwa kunitukana, tena zaidi ya mara moja.

Sijawahi kutukana member yeyote humu, wala kutumia kauli za kejeli kwa member yeyote kwa kuamini we are all equal (though some might be equal than others, but respect should cut across).

Ninakushauri tu ujaribu kubadilika, tumia lugha rahisi kumwelewesha mtu mnapotofautiana mtizamo.

Nothing Personal.

Take it or leave it.
@mzigua90 akikuacha we mwanaume hatopata kama wewe wallah ,una busara sana Don
 
Back
Top Bottom