Ontario adaiwa kusepa na Mamilioni ya Wana-Forex

BETTING IS NOT FOR EVERYONE
 
Pesa ingekuwa rahisi hivyo kila mtu angekuwa milionea.
 
Nashangaa watu wanalalamika accounts zao zipo Freezed na Cre,Hivi huyo Tapeli Ontario hamjui anakaa wapi? Hamjui Bold na Nifah wanakaa wapi? Kama Nifa alikuwa mfanyakazi wa TMT ni Obvious The Bold ndio aliyemuunganisha kwa Tapeli Jeff Ontario,Cha Msingi mliopigwa pesa zenu kama Jeff hapatikani mshitakiwa namba mbili ni The Bold.

Mie angenitapeli huyo Dogo angeisoma namba,nishawahi kuwa tapeli enzi za ujima na nikaacha ndio maana si rahisi kunitapeli kwa michezo ya kimbwiga na ndio maana hizo FX nilikuwa nikiona tu thread hata siifungui kwakuwa nilikuwa najua ni utapeli tu.

Nawashauri nyie mliolizwa na Tapeli Ontario kafungueni kesi ya "WIZI WA KUAMINIKA" na watuhumiwa ni JEFF kama Mtuhumiwa wa kwanza na Mtuhumiwa wa PILI ni The Bold,Najua kati ya members wa TMT lazima kuna mmoja wapo atakuwa anapajua anapokaa,nendeni kwake wekeni kambi hata siku mbili kama hapatikani,kamateni The Bold Wekeni ndani na kesi itaunguruma mpaka Jeff apatikane.

Wakati the Bold yupo nyuma ya nondo Interpol wawe wanamtafuta hata kama kakimbilia SA kwa Tapeli mwenzake,Huyo tapeli mwenzake wa SA naye anajulikana abanwe mpaka aseme Jeff kajificha wapi,kama mnajua baadhi ya mali za Jeff mnazipiga pinchi kimahakama kama "BOMBADIA YETU ilivyopigwa Pinchi Canada",Mkifanya hivyo na uhakika hela zenu zitarudi,mkiendeleea kupiga soga humu atazidi kuwaona MAMBWEHA ndio maana The Bold kaja Kuwakashifu humu kwa kuwaona MAZWAZWA.

Msicheke na TAPELI kamwe,mkimuacha atazidi kuwaliza waTZ wenzetu ,ashukuru sana hajanitapeli mbona angeisoma namba,huwa sicheki na matapeli kwamwe,ningeuza ng'ombe kwa kesi ya kuku ila at the end,angerudisha kuku+ng'ombe na faida ya gari,Haina Dawa ya Kuchoma moto huyo tapeli ni kumsaka mtaa kwa mtaa nonstop.
 
Hivi Ontario hafugi tena kuku siku hizi?na ile formula yake cha chakula cha kuku anakwambia ni secret kama ilivyo formula ya kutengeneza coca-cola.

Nikikumbuka dogo alivyokua anaweka link za majarida ya kimataifa yakimuonyesha dogo kama THE NEXT BIG THING nacheka tu nikisema hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Watu wenye miili midogo kama Ontario wana akili sana
 
Halafu nyie watu hebu acheni ujinga wenu..jambazi mnamuita akili kubwa... siku ukibakwa utamuita akili kubwa sababu umebakwa na mtu mwenye mwili mdogo...watu wameibiwa pesa zao mnaleta utan8 wenu wa kijinga ...Shwain!
Laki si pesa Lowassa hajakugawia mipesa bado unahangaika na forex jamani
Ontario mshweeeeet
 
umeongea point ya maana sana huyu Ontario ni wakukamata na kuweka ndani mpaka atoe pesa zote alizoiba..Hakuna kucheka nao account zetu wazichome..,bado na viela vilivyobaki kwenye account watuibie ...huyu bora ajisalimishe tutamtafuta popote labda asikanyage tena bongo atajua kuna watu hawaibiwi kijinga jinga...tapeli huyu
 
hivi hakuna watu waaminifu wa kufanya hizi shughuli yan watu kuwekeza pesa? huyo jeff return yake kwa wawekezaji ilikuaje?
 

Naunga mkono hoja... tukikamate kibold tukiweke ndani. Yani nashangaa mpaka muda huu tunakaachaje kawe huru... nashangaa sana.
Alafu nasikia siku hizi kako verified humu kabisa, kameturahisishia kazi ya kumjua.
Alafu mimi navijua hivi vijamaa vinapoishi, hicho kiontario kinakaa pale mbezi beach kwa Mwamunyange na hako kabold na kademu kake kanifah wanakakaa pale mbezi beach masana (sijui vimetoa wapi hela ya kuishi huko wakati juzi juzi tu vilikuwa vinaishi uswekeni). Kesho asubuhi fasta twende oysterbay tuwachukulie arabii.

Nasikia kesho hako kathe bold saa tisa katakuwa pale Mak Books mlimani city, kanataka vitabu vyake viwe vinauzwa pale (vitabu vyenyewe sivipendiiiii hata kama bado havijatoka). Sasa tunakaambush pale pale tunakakamata, tunakapiga makwenzi, tunakaweka selo.

Na hili swala lisiishie hapa jamani... taarifa itumwe interpol, FBI, CIA mpaka MOSSAD. Alafu haka kabold kakikamatwa tuombe kawe extradited kakafungwe Guatanamo Bay kaozee huko huko.

Yani siku nyingi sana sikapendi haka kathe bold... chenyewe kimeingia kwenye kumi na nane zetu. Tutakomeshe aisee
 
Hahaha, Msalimie Nifah mkuu
 
Daahh!! Mkuu hizi kejeli hazifai kwa watu ambao pesa zao zipo at stake. Ni bora mara 100 ungekaa kimya. Samahani sana mkuu kama nimekosea au nimeingilia mambo yasiyonihusu.
Habibu B. Anga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…