Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
Baki na maono yako sisi tuendelee kufaidi.
Katupunguzia competition huyo.
Nilitaka kumjibu hivyo hivyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baki na maono yako sisi tuendelee kufaidi.
BETTING IS NOT FOR EVERYONEPoleni wote mliolizwa.
Sasa kama mna hela nipeni mtaji tutie mikeka tu safari hii.
Upepo upo mikeka inatiki daily sema tatizo pesa ya madafu. Mtu anipe millioni 5 mwisho wa mwezi nimrudishie million 15.
Kama unabisha leta hela uone maajabu. Achana na forex sijui forest.. Njoo tubet
Nishakuita mnoo forex is not for everyone only for chosen one[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Forex is not for everyone....Rudi chit chat!
Pesa ingekuwa rahisi hivyo kila mtu angekuwa milionea.Poleni wote mliolizwa.
Sasa kama mna hela nipeni mtaji tutie mikeka tu safari hii.
Upepo upo mikeka inatiki daily sema tatizo pesa ya madafu. Mtu anipe millioni 5 mwisho wa mwezi nimrudishie million 15.
Kama unabisha leta hela uone maajabu. Achana na forex sijui forest.. Njoo tubet
Nilikuwa napita kimya ila nilivyokuona kichwa maji mwenzangu imebidi nikusalimie.Nishakuita mnoo forex is not for everyone only for chosen one[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ahahhahaahahahahahha forex is not for usNilikuwa napita kimya ila nilivyokuona kichwa maji mwenzangu imebidi nikusalimie.
Wacha niendelee kuuza mkaa huku uswazi nitatoka tuAhahhahaahahahahahha forex is not for us
Watu wenye miili midogo kama Ontario wana akili sanaHivi Ontario hafugi tena kuku siku hizi?na ile formula yake cha chakula cha kuku anakwambia ni secret kama ilivyo formula ya kutengeneza coca-cola.
Nikikumbuka dogo alivyokua anaweka link za majarida ya kimataifa yakimuonyesha dogo kama THE NEXT BIG THING nacheka tu nikisema hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Halafu nyie watu hebu acheni ujinga wenu..jambazi mnamuita akili kubwa... siku ukibakwa utamuita akili kubwa sababu umebakwa na mtu mwenye mwili mdogo...watu wameibiwa pesa zao mnaleta utan8 wenu wa kijinga ...Shwain!Watu wenye miili midogo kama Ontario wana akili sana
Laki si pesa Lowassa hajakugawia mipesa bado unahangaika na forex jamaniHalafu nyie watu hebu acheni ujinga wenu..jambazi mnamuita akili kubwa... siku ukibakwa utamuita akili kubwa sababu umebakwa na mtu mwenye mwili mdogo...watu wameibiwa pesa zao mnaleta utan8 wenu wa kijinga ...Shwain!
umeongea point ya maana sana huyu Ontario ni wakukamata na kuweka ndani mpaka atoe pesa zote alizoiba..Hakuna kucheka nao account zetu wazichome..,bado na viela vilivyobaki kwenye account watuibie ...huyu bora ajisalimishe tutamtafuta popote labda asikanyage tena bongo atajua kuna watu hawaibiwi kijinga jinga...tapeli huyuNashangaa watu wanalalamika accounts zao zipo Freezed na Cre,Hivi huyo Tapeli Ontario hamjui anakaa wapi? Hamjui Bold na Nifah wanakaa wapi? Kama Nifa alikuwa mfanyakazi wa TMT ni Obvious The Bold ndio aliyemuunganisha kwa Tapeli Jeff Ontario,Cha Msingi mliopigwa pesa zenu kama Jeff hapatikani mshitakiwa namba mbili ni The Bold.
Mie angenitapeli huyo Dogo angeisoma namba,nishawahi kuwa tapeli enzi za ujima na nikaacha ndio maana si rahisi kunitapeli kwa michezo ya kimbwiga na ndio maana hizo FX nilikuwa nikiona tu thread hata siifungui kwakuwa nilikuwa najua ni utapeli tu.
Nawashauri nyie mliolizwa na Tapeli Ontario kafungueni kesi ya "WIZI WA KUAMINIKA" na watuhumiwa ni JEFF kama Mtuhumiwa wa kwanza na Mtuhumiwa wa PILI ni The Bold,Najua kati ya members wa TMT lazima kuna mmoja wapo atakuwa anapajua anapokaa,nendeni kwake wekeni kambi hata siku mbili kama hapatikani,kamateni The Bold Wekeni ndani na kesi itaunguruma mpaka Jeff apatikane.
Wakati the Bold yupo nyuma ya nondo Interpol wawe wanamtafuta hata kama kakimbilia SA kwa Tapeli mwenzake,Huyo tapeli mwenzake wa SA naye anajulikana abanwe mpaka aseme Jeff kajificha wapi,kama mnajua baadhi ya mali za Jeff mnazipiga pinchi kimahakama kama "BOMBADIA YETU ilivyopigwa Pinchi Canada",Mkifanya hivyo na uhakika hela zenu zitarudi,mkiendeleea kupiga soga humu atazidi kuwaona MAMBWEHA ndio maana The Bold kaja Kuwakashifu humu kwa kuwaona MAZWAZWA.
Msicheke na TAPELI kamwe,mkimuacha atazidi kuwaliza waTZ wenzetu ,ashukuru sana hajanitapeli mbona angeisoma namba,huwa sicheki na matapeli kwamwe,ningeuza ng'ombe kwa kesi ya kuku ila at the end,angerudisha kuku+ng'ombe na faida ya gari,Haina Dawa ya Kuchoma moto huyo tapeli ni kumsaka mtaa kwa mtaa nonstop.
Nawashauri nyie mliolizwa na Tapeli Ontario kafungueni kesi ya "WIZI WA KUAMINIKA" na watuhumiwa ni JEFF kama Mtuhumiwa wa kwanza na Mtuhumiwa wa PILI ni The Bold,Najua kati ya members wa TMT lazima kuna mmoja wapo atakuwa anapajua anapokaa,nendeni kwake wekeni kambi hata siku mbili kama hapatikani,kamateni The Bold Wekeni ndani na kesi itaunguruma mpaka Jeff apatikane.
Hahaha, Msalimie Nifah mkuuNaunga mkono hoja... tukikamate kibold tukiweke ndani. Yani nashangaa mpaka muda huu tunakaachaje kawe huru... nashangaa sana.
Alafu nasikia siku hizi kako verified humu kabisa, kameturahisishia kazi ya kumjua.
Alafu mimi navijua hivi vijamaa vinapoishi, hicho kiontario kinakaa pale mbezi beach kwa Mwamunyange na hako kabold na kademu kake kanifah wanakakaa pale mbezi beach masana. Kesho asubuhi fasta twende oysterbay tuwachukulie arabii.
Nasikia kesho hako kathe bold saa tisa katakuwa pale Mak Books mlimani city, kanataka vitabu vyake viwe vinauzwa pale (vitabu vyenyewe sivipendiiiii hata kama bado havijatoka). Sasa tunakaambush pale pale tunakakamata, tunakapiga makwenzi, tunakaweka selo.
Na hili swala lisiishie hapa jamani... taarifa itumwe interpol, FBI, CIA mpaka MOSSAD. Alafu haka kabold kakikamatwa tuombe kawe extradited kakafungwe Guatanamo Bay kaozee huko huko.
Yani siku nyingi sana sikapendi haka kathe bold... chenyewe kimeingia kwenye kumi na nane zetu. Tutakomeshe aisee
Daahh!! Mkuu hizi kejeli hazifai kwa watu ambao pesa zao zipo at stake. Ni bora mara 100 ungekaa kimya. Samahani sana mkuu kama nimekosea au nimeingilia mambo yasiyonihusu.Naunga mkono hoja... tukikamate kibold tukiweke ndani. Yani nashangaa mpaka muda huu tunakaachaje kawe huru... nashangaa sana.
Alafu nasikia siku hizi kako verified humu kabisa, kameturahisishia kazi ya kumjua.
Alafu mimi navijua hivi vijamaa vinapoishi, hicho kiontario kinakaa pale mbezi beach kwa Mwamunyange na hako kabold na kademu kake kanifah wanakakaa pale mbezi beach masana. Kesho asubuhi fasta twende oysterbay tuwachukulie arabii.
Nasikia kesho hako kathe bold saa tisa katakuwa pale Mak Books mlimani city, kanataka vitabu vyake viwe vinauzwa pale (vitabu vyenyewe sivipendiiiii hata kama bado havijatoka). Sasa tunakaambush pale pale tunakakamata, tunakapiga makwenzi, tunakaweka selo.
Na hili swala lisiishie hapa jamani... taarifa itumwe interpol, FBI, CIA mpaka MOSSAD. Alafu haka kabold kakikamatwa tuombe kawe extradited kakafungwe Guatanamo Bay kaozee huko huko.
Yani siku nyingi sana sikapendi haka kathe bold... chenyewe kimeingia kwenye kumi na nane zetu. Tutakomeshe aisee
KumbeMmmmh, huyu ni mrembo grade one
Mzigua90
Acha tu niuze chenji vituoni nayo si forex au?Laki si pesa Lowassa hajakugawia mipesa bado unahangaika na forex jamani
Ontario mshweeeeet