Ontario adaiwa kusepa na Mamilioni ya Wana-Forex

Anakula maisha na ana kile kitoto kizuri balaa. Hela za forex tamuu.
Ni yule ambaye picha yake ilizagaa humu waliichukia baada ya kulana vikojoleo kwenye Hotel....

Ngoja aendelee kuponda maisha na pesa za forex trader bhana....
 
Hahahaha jamaa alianzia mbali sana zile picha sijui yupo USA anatoa mada za ujasiriamali vijana wakahadaika wakamwona jiwe haswa Hahahaha Forex for real
 
Ndege mjanja hunaswa na tundu bovu. Baada ya hili watakuja matapeli wengine watawapiga tuu. Hahahaha poleni wahanga wote
Na waendelee kupigwa. Kila ntu anatafuta pesa duniani. Ukiwa fursa usipanic na wewe tafuta mwingine umfanye fursa. Ila Ontario kanikosha jamani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Watu na ujuaji wao na ukubwa wao wamekalishwa na mtoto mdogo sasa hiv wanalia lia tu
 
Ni yule ambaye picha yake ilizagaa humu waliichukia baada ya kulana vikojoleo kwenye Hotel....

Ngoja aendelee kuponda maisha na pesa za forex trader bhana....
Ile wako washroom sijui? Aliipost mwenyewe insta. Mtoto mzuri kama yule watu wazima kibao wanaishia kumuona kwa dogo mjanja Ontario [emoji23][emoji23][emoji23]. Wamegeuzwa fursa dogo akaenda jikamatia mtoto mzuri
 
Usichukulie udogo wake inategemea kajifunza kuanzia lini.
 
Mi mwl wng wa la 6 B alinambiaga NJIA RAHISI SANA YA KUPATA PESA NDIO NJIA RAHISI SANA YA KUFILISIKA!
Tatizo kudhani kila anachokifanya mwingine na wewe utakifanya kitakutoa.
Kilicho cha matikitiki ufugaji wa kuku kilimo cha nyanya cjui takataka gani. Watu tamaa na kutokujua cha kufanya. Hata mimi siku nikipata pa kuwapiga watu nipate hela sitaangalia mara mbili ntawapiga tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…