CCNP Engineer
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 463
- 1,286
Tutajenga bungallow sasa!.
Yajayo yanafurahisha?amaFicha upumbavu wako...
Huu Uzi unahusu Forex and related issues.
Habari za madela, kuumwa sijui kujichokonoa nini anzisheni Uzi wenu.
Acheni upumbavu. People discuss serious matters here!!
AsanteeNgoma ni nini ? Pole sana
AmenTutajenga bungallow sasa!.
Ni vya ke hivi. Me nendeni mkabet na forexMe anaruhusiwa kucheza vicoba nije unifundishe. [emoji23] [emoji23]
Imfact dogo kakupiga gap na hizo mvi zako .Hivi Ontario hafugi tena kuku siku hizi?na ile formula yake cha chakula cha kuku anakwambia ni secret kama ilivyo formula ya kutengeneza coca-cola.
Nikikumbuka dogo alivyokua anaweka link za majarida ya kimataifa yakimuonyesha dogo kama THE NEXT BIG THING nacheka tu nikisema hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Bahati mbaya leo nina furaha, i won't mind you!.. Pole kwa kuibiwaWe nae dune zima umekalia kusogoa na wana wake habari za kujichokonoa...
Huoni aibu mkuu?????
Watu wako serious na business matters, story za ushoga sio mahala pake hapa.
Wanaume wenzio wote tunakushangaa.
Au wewe ni mwanamke???
Kuna mahakama JF siku hizi.Hamna lolote ingekuwa katawapeli mngemshitaki acheni tupige soga
Sio kweli kama ilikuwa makini kwenye kutumia mpesa ulipaswa urudi katika member area yako kule u click "COMPLETE TRANSACTION " na pssa yako ingesoma in minutes .Templer ni broker wa hovyo kwenye upande wa customer service, kuweni makini sana. Nimedeposit hela tangu wiki iliyopita kwa kutumia Vodacom il haijasoma.
Kila siku wananizungusha. Wao templer na ipay africa hawajanisaidia chochote na sijapata msaada wowote kutoka templer zaidi ya kupigwa sound tu.
Please kuweni makini na templer hii sio mara ya kwanza kusumbuliwa. Ni broker tunaepaswa kufanya nae kazi kwa jicho la tahadhari kubwa mno.
Mwisho wa siku watanzania tutafute broker makini hawa wakina templer ipo siku tutakuja kusaga meno.
Wana hasiraaaaa.. kama walitumwa vile. Watuache wakitaka tusiandike wakalalamike kwenye group zao za forexBahati mbaya leo nina furaha, i won't mind you!.. Pole kwa kuibiwa
Kuna watu wana panic bana, wamegraduate na First Class Engineering wamekuja pigwa na dogo!. Kawahubirie Forex is not for everyone!.Amen
HahahaNi vya ke hivi. Me nendeni mkabet na forex
Forex is not for everyone π[emoji23]Wana hasiraaaaa.. kama walitumwa vile. Watuache wakitaka tusiandike wakalalamike kwenye group zao za forex
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Nachoshangaa wanataka tuhuzunike nao.Kuna watu wana panic bana, wamegraduate na First Class Engineering wamekuja pigwa na dogo!. Kawahubirie Forex is not for everyone!.
Acha wachekwee hakuna namnaKuna mahakama JF siku hizi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Forex is not for everyone π[emoji23]
Siamin kama huyo kaka kakasirika hivyo wakati nikikumbuka tambo zakeWana hasiraaaaa.. kama walitumwa vile. Watuache wakitaka tusiandike wakalalamike kwenye group zao za forex
Haahahahahahahah hivi ni yeye injinia kweli au nimemfananisha mi nilidhania atafrahiaKuna watu wana panic bana, wamegraduate na First Class Engineering wamekuja pigwa na dogo!. Kawahubirie Forex is not for everyone!.
Only for chosen oneForex is not for everyone π[emoji23]
Yajayo hayafurahishiSiamin kama huyo kaka kakasirika hivyo wakati nikikumbuka tambo zake