Ontario adaiwa kusepa na Mamilioni ya Wana-Forex

Huu Uzi unafafanua kwa kina namna upigaji ulivyokuwa unafanyika TMT.

Mwanzoni jamaa walioniona mnafiki but Leo nimegeuka Nabii kwenye magroup yao ya telegram na WhatsApp... I exactly prophesied this scenario..Inayoendelea leo hapa.

Hii hapa isome kwa kujiongezea ufahamu na namna matapeli wa Forex wanavyojipekecha kimkakati Hivi ndivyo tulivyotapeliwa na Ontario wa TMT kwenye Forex

Enlightened!
 
Uzi umevamiwa na wanawake mashankupe wanaojua nothing about Forex.
Wamekalia kuleta soga za kujichokonoa, na baadhi ya wanaume wanashangilia.
This is crazy. Very crazy.
 
Uzi umevamiwa na wanawake mashankupe wanaojua nothing about Forex.
Wamekalia kuleta soga za kujichokonoa, na baadhi ya ya wanaume wanashangilia.
This is crazy. Very crazy.
Tulia we fala ushapigwa ka mkopo kako kasaccos kaa kimya. JF jukwaa huru hili kila mtu ana haki ya kuchangia sredi yeyote ile regardless what.

Anyways who gives you that right to call our sister mashankupe? Maisha umeyavuruga mwenyewe unamkasirikia nani mzee Baba? Pambana na hali yako si una vyeti vya uingineer?

Najua una solid depression and killer anxiety zinazosababisha hasira kali kwa sasa that's why unawageukia innocent sisters wa JF kumalizia hasira zako. Teteteh!

Kafie nchi za nje kinyerezi we ndezi. Ahahaha
 
Seriously!? He's so stupid
 
Ngoja nisikujibu ujinga wako Soma hii
 
Ile wako washroom sijui? Aliipost mwenyewe insta. Mtoto mzuri kama yule watu wazima kibao wanaishia kumuona kwa dogo mjanja Ontario [emoji23][emoji23][emoji23]. Wamegeuzwa fursa dogo akaenda jikamatia mtoto mzuri
Huyu mtoto ni nani? [emoji23] [emoji23]
 
Most of them forex wameijua kupitia Ontario kwahyo haipingiki watu wamepigwa coz walikuwa kwenye njia zake,
NB: watu walishauriwa sana kuhusu tmt ya Ontario kuwa ilenge uhalisia isiwe Janja janja
Mi pia mmoja wao ambao nimeijua forex trading kupitia ontario kuna group la telegram lina traders zaid 1200 uliza ambao walikuwa wanatrade na ontario mpaka muda huu walikuwa wangapi? Kusema kuwa mil 50 alizosepa nazo huyo ontario ni za wanaforex wote wa tz huu ni uzushi
 
Nachoshangaa mm humu wana-MMU kuihusisha wana forex wote wa tz na ontario kiasi cha kwamba kila anayedeal na forex hapa basi katepiliwa na ontario.
Nani hao wanaosema hivyo? Basi vilaza toleo la kwanza
 
Anhaaaa. Kumbe na wao hata baada ya kuelewa somo wakawa wanamtegemea Ontario awape signals? Basi wanastahili walichokipafa. Yani baada ya kufundishqa bado wanasubiri kulishwa. Spoon feeding haiwez isha kama mtu mpaka pesa yako unataka ufanyiwe spoon feeding
 
Nakubaliana na wewe hapa. Ontario aongelee lolote kumaliza hili na watu wake wa karibu waache kudhihaki watu wanaoamini wamepigwa pesa zao.
 
Uzi umevamiwa na wanawake mashankupe wanaojua nothing about Forex.
Wamekalia kuleta soga za kujichokonoa, na baadhi ya wanaume wanashangilia.
This is crazy. Very crazy.
Tafuteni majukwa yenu ya chumbani mkalilie huko uone kama kuna mtu ataandika. Hakuna jukwaa walilochaguliwa watu fulani kuandika. Ukitaka jukwaa la forex fungua forum yako muongelee huko. Hasira zako za kupenda kutafuniwa mpaka signals usituletee haoa eboo
 
Na uongo. Ontario alikua na broker wake huyo sijui JP. Ina maaana forex traders wote wa bongo broker wao alikua JP?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…