Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 40,828
- 99,523
Nikama naona vile suzi limepata mjambaji tu.... tehteehhhYou made my day [emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikama naona vile suzi limepata mjambaji tu.... tehteehhhYou made my day [emoji23]
Tulia we fala ushapigwa ka mkopo kako kasaccos kaa kimya. JF jukwaa huru hili kila mtu ana haki ya kuchangia sredi yeyote ile regardless what.Uzi umevamiwa na wanawake mashankupe wanaojua nothing about Forex.
Wamekalia kuleta soga za kujichokonoa, na baadhi ya ya wanaume wanashangilia.
This is crazy. Very crazy.
Huyu fala nilimsanua mapema nikampa lonja juu ya utapeli wa dogo way back sana huyu fala akaniona mnafiki sitaki maendeleo yake akuishia hapo akaona amepata job full time akaacha na kibarua chake cha uinjinia majalala akakopa milion tano akazama TMT akausake utajiri..Jeff alivyo komando kipensi akamtengenezea na desk la kuwa anatredia pale jangid full time ili azae nae vizuri. Baada ya hapo the rest is history ya maumivu na umaskini. Nilimwambia dogo unakopa million tano unakimbia kazi unaenda kutrade...nilijua itafika kipindi dogo atatambua kwanini IDD Amini aliitwa Dada ilhali ni wakiume.. Ahahaha! Jeff piga umbwa hii. Hii hapa sredi ya ushauri wa mkopo Ushauri: Mimi mwajiriwa serikalini, nataka nichukue mkopo (kwa kutumia ajira yangu) kisha niache kazi
Sasa ana hasira yaani kama Nesi wa wodi ya wazazi... Ahahaha! Dogo tulia haya maisha tu..you lose some you win some.
Mshike mshike ndege tunduni sisi wajanja tulikimbia.
Ngoja nisikujibu ujinga wako Soma hiiTMT sio ya Ontario alikuwa tu mwenyeji wa Rea naamini Ontario akija kuna watu watakimbia humu, ukijaribu kukipa kichwa chako zoezi dogo ukaenda kwenye IG page ya Rea utaona kabisa yeye ni Jp Markets partner kwa hiyo hata yeye alipokuja tz alikuja kumtangaza broker.
Huyu mtoto ni nani? [emoji23] [emoji23]Ile wako washroom sijui? Aliipost mwenyewe insta. Mtoto mzuri kama yule watu wazima kibao wanaishia kumuona kwa dogo mjanja Ontario [emoji23][emoji23][emoji23]. Wamegeuzwa fursa dogo akaenda jikamatia mtoto mzuri
cc: Mr KipagoHuu Uzi unafafanua kwa kina namna upigaji ulivyokuwa unafanyika TMT.
Mwanzoni jamaa walioniona mnafiki but Leo nimegeuka Nabii kwenye magroup yao ya telegram na WhatsApp... I exactly prophesied this scenario..Inayoendelea leo hapa.
Hii hapa isome kwa kujiongezea ufahamu na namna matapeli wa Forex wanavyojipekecha Hivi ndivyo tulivyotapeliwa na Ontario wa TMT kwenye Forex
Enlightened!
usinitag popote samahani sibishani na wapvmbavv
Dah!..Nimejizuia kukutukana tusi kubwa sana!. usirudie kuniquote nyuzi zangu!.usinitag popote samahani sibishani na wapvmbavv
Mi pia mmoja wao ambao nimeijua forex trading kupitia ontario kuna group la telegram lina traders zaid 1200 uliza ambao walikuwa wanatrade na ontario mpaka muda huu walikuwa wangapi? Kusema kuwa mil 50 alizosepa nazo huyo ontario ni za wanaforex wote wa tz huu ni uzushiMost of them forex wameijua kupitia Ontario kwahyo haipingiki watu wamepigwa coz walikuwa kwenye njia zake,
NB: watu walishauriwa sana kuhusu tmt ya Ontario kuwa ilenge uhalisia isiwe Janja janja
Nani hao wanaosema hivyo? Basi vilaza toleo la kwanzaNachoshangaa mm humu wana-MMU kuihusisha wana forex wote wa tz na ontario kiasi cha kwamba kila anayedeal na forex hapa basi katepiliwa na ontario.
Anhaaaa. Kumbe na wao hata baada ya kuelewa somo wakawa wanamtegemea Ontario awape signals? Basi wanastahili walichokipafa. Yani baada ya kufundishqa bado wanasubiri kulishwa. Spoon feeding haiwez isha kama mtu mpaka pesa yako unataka ufanyiwe spoon feedingBaada ya mafunzo wanawekwa kwenye hayo magroup halafu wanakuwa wanapewa mikakati ya kuinvest, sasa hiyo mikakati ndio wizi ulipokuwa unafanyika mfano mnaambiwa soko lipo njema invest mkiweka kinaliwa kumbe mnapoliwa nyie hao mawakala kwao sherehe!!.. Na walikuja mtyt huyo dogo na akakubali.
Lakini hili la kuiba hela huyo ONTARIO badala ya kuja tolea ufafanuzi watu wajue mbivu anaemploy kukaa kimya bila tambua ndio kifo cha TMT!.. Ukikaa kimya ni sawa na huna jibu la kutoa wizi umefanyika.
Nakubaliana na wewe hapa. Ontario aongelee lolote kumaliza hili na watu wake wa karibu waache kudhihaki watu wanaoamini wamepigwa pesa zao.TMT sio ya Ontario alikuwa tu mwenyeji wa Rea naamini Ontario akija kuna watu watakimbia humu, ukijaribu kukipa kichwa chako zoezi dogo ukaenda kwenye IG page ya Rea utaona kabisa yeye ni Jp Markets partner kwa hiyo hata yeye alipokuja tz alikuja kumtangaza broker.
Na ninaamini huyu msouth alikuwa akipiga pesa kwa siri ontario alipokuja kugundua na yeye akachota alichoona kinamtosha, hata huu ujumbe aliosema kila mteja atatumiwa na Jp Markets inaonekana ni watu wanaojuana wapo kimkakati. Kama anataka wateja wao wamuamini aonyeshe bank statement ya withdrawals zote zilizofanywa kama atawaonyesha.
Utabiri wangu kutokana na the bold alivyokuja Jf naona kuna madudu mengi yaliyofanywa na huyu msouth na yeye anayajua kiundani, ujio wa Ontario kujibu tuhuma hizi tutayajua mengi.
Niwasihi tu enedeleeni kutuma complaints zenu kwa regulator wa south FSCA link hii hapa chini haki yenu mtaipata
Complaints-Compliments-Feedback
au kupitia mawasiliano haya
View attachment 778945
"Ontario kasepa na mamilioni ya wana forex"Nani hao wanaosema hivyo? Basi vilaza toleo la kwanza
Tafuteni majukwa yenu ya chumbani mkalilie huko uone kama kuna mtu ataandika. Hakuna jukwaa walilochaguliwa watu fulani kuandika. Ukitaka jukwaa la forex fungua forum yako muongelee huko. Hasira zako za kupenda kutafuniwa mpaka signals usituletee haoa ebooUzi umevamiwa na wanawake mashankupe wanaojua nothing about Forex.
Wamekalia kuleta soga za kujichokonoa, na baadhi ya wanaume wanashangilia.
This is crazy. Very crazy.
Hata sijui sema kazuri.Huyu mtoto ni nani? [emoji23] [emoji23]
Na uongo. Ontario alikua na broker wake huyo sijui JP. Ina maaana forex traders wote wa bongo broker wao alikua JP?Mi pia mmoja wao ambao nimeijua forex trading kupitia ontario kuna group la telegram lina traders zaid 1200 uliza ambao walikuwa wanatrade na ontario mpaka muda huu walikuwa wangapi? Kusema kuwa mil 50 alizosepa nazo huyo ontario ni za wanaforex wote wa tz huu ni uzushi
Basi wewe ndo hukuelewa. Wameongelewa wana forex wa TMT waliokua chini ya Ontario"Ontario kasepa na mamilioni ya wana forex"
Umeilewa hii title na ukiongeza ambacho mnakijadili humu.
HaaahaaaLakini pia CCNP Engineer ndie Padri Mcharo kama ulikua hujui zamani Padri alijiita Chief engineer....
CC
witnessj
@witinessj