Ontario adaiwa kusepa na Mamilioni ya Wana-Forex

We jamaa nikisoma comments zako naburudika tuu

Una uandishi flani amazing[emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Rea ua Cre?
 
Haaa haaaaa....we jamaa full burudani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Tafuteni majukwa yenu ya chumbani mkalilie huko uone kama kuna mtu ataandika. Hakuna jukwaa walilochaguliwa watu fulani kuandika.


Mwanaume hana muda wa kujichokonoa.
Mwanaume ni mtu wa facts. Tuache kuchokonoana, maana mwisho wa siku mwanaume na mwanamke wanapochokonoana madhara yanajulikana yatabaki kwa nani kati yao...

Tufanye hivi, tuweke hapa screenshot za Balance ya Bank Accounts zetu hapa...
Mimi naweka Trading account yangu moja tu ya Tickmill (nitaconvert hizo USD to TZS).
Wewe weka Account zako zote, jumlisha na za Humble African (LINAFIKI), Mama Sabrina na Palantir
Then tuone mimi na nyie wote kwa pamoja nani Analia njaa...

Are you ready for the challenge Madam Shankupe???
 
Sina huo muda kaka shankupe. Halafu haya matatizo yenu mmeyaleta humu. Mngemaliza kwenye group zenu za forex mashankupe tusingejua. Kwa kuwa mmeyaleta humu tutaandika hamtaki kafeni mbele.
 
Watu wanaizungumzia tmt members sio forex traders
 
Nakupenda sana humble,yaan tena wasirudie yalokukuta yanatosha kabisa na haurudi nyuma kamwee
Umenichekesha eti mabaunsa wa nyuma ya keyboard wanaonea mama sabrina hajai hata mkononi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uko poa sana watuachee na ukija Mwanza naenda kukulisha sangara yule mkubwa sana na sato juuu
 
Uzi umevamiwa na wanawake mashankupe wanaojua nothing about Forex.
Wamekalia kuleta soga za kujichokonoa, na baadhi ya wanaume wanashangilia.
This is crazy. Very crazy.
sasa na wew hasira za nini sasa kama umeshapigwa amini umeliwa jamaa anatumia madusco yenu chaka huko ,ni mara mia pesa zako ungeziweka hd leo ukacheze single bet Mamelody sundowns Vs Barca ungepata faida ya almost 25% ya pesa yako kw short time ,kweli wajinga mutaendelea kuwepo, POLE
 
Ni za tmt tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…