Ontario adaiwa kusepa na Mamilioni ya Wana-Forex

Kaka shikamooo
Forex is not for everyone
 
Hizo kitu inaitwa Rea inafanana na ule mpango wa kupeleka umeme wa REA huko vijijini aisee.
 
Nilijua tuu... Nikiwapa challenge hii lazima mle chocho.
Tena mmekula chocho wotee. Hakuna hata mmoja alionesha dalili ya kutunisha msuli.
Kelele nyingi mkiambiwa twende kwa evidence mnaanza kujinyea.
Point yako ya kitoto sana!!... Sawa basi ngoja na mie nidownload hela za Forex nije kukuonyesha!.
 
Sawa kwa siku unqpata ngapi kweli
 
Aisee kama ni kweli basi tutajuwa huyu dogo siyo wa kawaida, kazisomba za ukweli, mie nilikuwa nashangaa na matangazo yake, ukimpinga watu wanakuja juu mno, sasa kama hii ni ya ukweli basi watasaga meno...
Waliokuwa wanakuja juu leo wapolee na wakali kweli
 
In fact wewe bado ni kilaza wa grade ya taifa
 
TMT for no reason-David Mchambuzi

Huyo jamaa alikuwa anapenda kuchagiza namna ile kwenye zile threads sijajua na yeye alikuwa sehemu ya wajanja au Ni walewale cheerleaders.
Halaf daudi leo simuoni kabisaa
 
Sasa eti wamekasirika wanataka na sisi mbumbumbu tukasirike nao pamoja ni haki kweli wakati walishasema forex is not for everyone
Naona wamesahau
Kutapeliwa is not for everyone

Kitovu changu kipo muhimbil, borntown since day 1, alafu kapumbavu flan cha matombo sijui kingeniingiza town walai ningehama mji[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…