Ontario adaiwa kusepa na Mamilioni ya Wana-Forex

Ontario adaiwa kusepa na Mamilioni ya Wana-Forex

Engineer unataka Balance za Bank au za Forex!?..
Halafu hata tukiweka utaamini vipi ni zetu/zako as long hatujuani hakuna prove ya kitakachoweza kukuaminisha/kutuaminisha badala yake utakuja na jibu lingine tena!.
Sisi tumetumia scenario zako, ambazo kwa akili ya kawaida tu wewe ni Mpumbavu huwezi ukajisifu unapiga 1mil kwa siku halafu unaleta tena thread ya kutaka ushauri wa kuiibia bank 5 mil hela ambayo mwenzio haiwezi nisaidia pata hata product 1 nayouza!..
For your info nauza products above 7 mil per each sasa ile 5 mil ety ukaiibie bank ujishushie heshima nikaku undervalue as F..
Siwezi shabikia kuweka bank account without proof whether ni yako au ya mjomba wako huko ulipo!..
Kaka shikamooo
Forex is not for everyone
 
TMT sio ya Ontario alikuwa tu mwenyeji wa Rea naamini Ontario akija kuna watu watakimbia humu, ukijaribu kukipa kichwa chako zoezi dogo ukaenda kwenye IG page ya Rea utaona kabisa yeye ni Jp Markets partner kwa hiyo hata yeye alipokuja tz alikuja kumtangaza broker.
Na ninaamini huyu msouth alikuwa akipiga pesa kwa siri ontario alipokuja kugundua na yeye akachota alichoona kinamtosha, hata huu ujumbe aliosema kila mteja atatumiwa na Jp Markets inaonekana ni watu wanaojuana wapo kimkakati. Kama anataka wateja wao wamuamini aonyeshe bank statement ya withdrawals zote zilizofanywa kama atawaonyesha.
Utabiri wangu kutokana na the bold alivyokuja Jf naona kuna madudu mengi yaliyofanywa na huyu msouth na yeye anayajua kiundani, ujio wa Ontario kujibu tuhuma hizi tutayajua mengi.
Niwasihi tu enedeleeni kutuma complaints zenu kwa regulator wa south FSCA link hii hapa chini haki yenu mtaipata
Complaints-Compliments-Feedback
au kupitia mawasiliano haya
View attachment 778945
Hizo kitu inaitwa Rea inafanana na ule mpango wa kupeleka umeme wa REA huko vijijini aisee.
 
Nilijua tuu... Nikiwapa challenge hii lazima mle chocho.
Tena mmekula chocho wotee. Hakuna hata mmoja alionesha dalili ya kutunisha msuli.
Kelele nyingi mkiambiwa twende kwa evidence mnaanza kujinyea.
Point yako ya kitoto sana!!... Sawa basi ngoja na mie nidownload hela za Forex nije kukuonyesha!.
 
Hahaha h ha wewe kweli muuza madela nani kakwambia leo ndio mwisho wa siku,


Forex is 24/5 business bado nipo sokoni , ni kazi juu ya kazi ***** kwa volatility ya leo ya EUR/USD ninaweza nikakuhonga kama si kukuongezea hela ya mtaji wa madela umuhufumie Sabrina vizuri.


Pole sana
Sawa kwa siku unqpata ngapi kweli
 
Aisee kama ni kweli basi tutajuwa huyu dogo siyo wa kawaida, kazisomba za ukweli, mie nilikuwa nashangaa na matangazo yake, ukimpinga watu wanakuja juu mno, sasa kama hii ni ya ukweli basi watasaga meno...
Waliokuwa wanakuja juu leo wapolee na wakali kweli
 
Watu walimtukuza Ontario kama malaika, yan walituona vilaza grade ya taifa iv kabisa inaitajika kunishawish ilinipate utajir !!!

[HASHTAG]#make[/HASHTAG] money with no reason
[HASHTAG]#the[/HASHTAG] money team
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] nasema tupo pamoja
In fact wewe bado ni kilaza wa grade ya taifa
 
TMT for no reason-David Mchambuzi

Huyo jamaa alikuwa anapenda kuchagiza namna ile kwenye zile threads sijajua na yeye alikuwa sehemu ya wajanja au Ni walewale cheerleaders.
Halaf daudi leo simuoni kabisaa
 
Sasa eti wamekasirika wanataka na sisi mbumbumbu tukasirike nao pamoja ni haki kweli wakati walishasema forex is not for everyone
Naona wamesahau
Kutapeliwa is not for everyone

Kitovu changu kipo muhimbil, borntown since day 1, alafu kapumbavu flan cha matombo sijui kingeniingiza town walai ningehama mji[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Back
Top Bottom