Ontario adaiwa kusepa na Mamilioni ya Wana-Forex

Pale unapoitwa kwenye fursa na wewe ndio fursa yenyewe ya hao waliokuita (bila kujua au unahisi hivyo ila bado waenda kindezi). Acha "wafu wazikane wenyewe"

Harafu mtu mmoja anawezaje kuprocess na kusepa na mpunga wote huo? Kama ni usanii, alianza mazingira zamani.
 
Niliwambia watu kwenye thread moja kua kitendo cha kukubali kutrade na JP market kwa kupitia middle man aka introducing broker, IB ambaye ni TMT ni kutafuta matatizo pale watakavyokua na mgogoro wa kimaslahi ila watu wakaleta kejeli kwa kupost blue screenshots kama wenyewe wanavyoita. Sasa kwa heshma na taadhima wakapambane na hali zao pumbav
 
Achana na ile BMW 0 km, hivi majuzi mshkaji kavuta apartment mpya huko kwa Madiba.

Hela ndogo ndogo za maskini ndio zinaletaga utajiri...muulize Mo au Bakhresa kama walishapiga hela za matajiri? Wanapigaga hizi ndogo ndogo za maskini.

Heko mentor mwenye panki kama shabaranksi.
 
Hebu acheni utani mnatuweka kwenye hali mbaya sana tunaomtumia broker JP Market.
 


Mkuu kua na huruma kidogo basi, pamoja na kua walikukejeli lakini sasa hivi wana maumivu mkuu.
 
Bmw ilikua ya kampuni? [emoji26]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…