Good Father
JF-Expert Member
- Feb 28, 2014
- 10,321
- 18,574
Mlipoonywa mlishupaza shingo zenu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Namba imewekwa hapo, mtextmie nitajuaje hio message ni original na sio imetungwa kumchafua mtu wa watu?
naaam uko deep "" hao wote matapeli tu ""Internal control ya acc ndo iwe weak kiasi hicho.??? NO WAMEWAPIGA WATZ THEN WAMETENGENEZA MGOGORO FAKE
he he he..kweliMmoja kabaki kwenye system ili kupaka girisi na kuwa peti peti wateja wao wasistuke mapema
nilikuwa na kutag...hahhaa Mara umeshafika !!?Ohooo!! Shiit! I'm I late?
Ahahaha!! Usijali mkuu coincidence hizi au déjà vu zinatokea sana.nilikuwa na kutag...hahhaa Mara umeshafika !!?
Niliwambia watu kwenye thread moja kua kitendo cha kukubali kutrade na JP market kwa kupitia middle man aka introducing broker, IB ambaye ni TMT ni kutafuta matatizo pale watakavyokua na mgogoro wa kimaslahi ila watu wakaleta kejeli kwa kupost blue screenshots kama wenyewe wanavyoita. Sasa kwa heshma na taadhima wakapambane na hali zao pumbav
Jose likizo lini?mmmmh ya kweli hayo??
Bmw ilikua ya kampuni? [emoji26]Kwa kifupi Ontario wametibuana na ceo na mentor wake, kilichotokea msouth kaondoka na bmw ya kampuni na akamblock Ontario kwenye simu zote na amemtoa kwenye magroup yote.
Sasa baada ya kumtoa ndipo akaanza kurusha hizi tuhuma.
Swali
Kwani amwondoe ndipo amtuhumu?
Watu wanamwambia mrudishe ajibu hataki, je ataminika?
Mleta uzi kakurupuka