Ontario adaiwa kusepa na Mamilioni ya Wana-Forex

Ontario adaiwa kusepa na Mamilioni ya Wana-Forex

mie nitajuaje hio message ni original na sio imetungwa kumchafua mtu wa watu?
Namba imewekwa hapo, mtext
IMG_20180514_135007.jpg
 
Pale unapoitwa kwenye fursa na wewe ndio fursa yenyewe ya hao waliokuita (bila kujua au unahisi hivyo ila bado waenda kindezi). Acha "wafu wazikane wenyewe"

Harafu mtu mmoja anawezaje kuprocess na kusepa na mpunga wote huo? Kama ni usanii, alianza mazingira zamani.
 
Niliwambia watu kwenye thread moja kua kitendo cha kukubali kutrade na JP market kwa kupitia middle man aka introducing broker, IB ambaye ni TMT ni kutafuta matatizo pale watakavyokua na mgogoro wa kimaslahi ila watu wakaleta kejeli kwa kupost blue screenshots kama wenyewe wanavyoita. Sasa kwa heshma na taadhima wakapambane na hali zao pumbav
 
Achana na ile BMW 0 km, hivi majuzi mshkaji kavuta apartment mpya huko kwa Madiba.

Hela ndogo ndogo za maskini ndio zinaletaga utajiri...muulize Mo au Bakhresa kama walishapiga hela za matajiri? Wanapigaga hizi ndogo ndogo za maskini.

Heko mentor mwenye panki kama shabaranksi.
IMG_20180514_140133_309.JPG
 
Hebu acheni utani mnatuweka kwenye hali mbaya sana tunaomtumia broker JP Market.
 
Niliwambia watu kwenye thread moja kua kitendo cha kukubali kutrade na JP market kwa kupitia middle man aka introducing broker, IB ambaye ni TMT ni kutafuta matatizo pale watakavyokua na mgogoro wa kimaslahi ila watu wakaleta kejeli kwa kupost blue screenshots kama wenyewe wanavyoita. Sasa kwa heshma na taadhima wakapambane na hali zao pumbav

Mkuu kua na huruma kidogo basi, pamoja na kua walikukejeli lakini sasa hivi wana maumivu mkuu.
 
Kwa kifupi Ontario wametibuana na ceo na mentor wake, kilichotokea msouth kaondoka na bmw ya kampuni na akamblock Ontario kwenye simu zote na amemtoa kwenye magroup yote.
Sasa baada ya kumtoa ndipo akaanza kurusha hizi tuhuma.
Swali
Kwani amwondoe ndipo amtuhumu?
Watu wanamwambia mrudishe ajibu hataki, je ataminika?

Mleta uzi kakurupuka
Bmw ilikua ya kampuni? [emoji26]
 
Back
Top Bottom