Jiulize upoje wewe, nashangaa povu jingi wakati sili kwako Dada yanguPeleka njaa zako huko. Sijui watanzania tupoje.
Jiulize upoje wewe, nashangaa povu jingi wakati sili kwako Dada yangu
We mchaga mwenzangu weweSafii sana..
Siku zote matajiri wanatajirika kwa kuwanyang'anya maskini.. It's either clean or dirty.
ONTARIO nimeipenda mentality yako. Utajiri hauji kizembezembe..
Ha haa utampandisha mwenzio bp mpumzishe kidogoCCNP Engineer Naona umehamia kwenye kubett tena yaani we boya hukomi tu kutandikwa kizembe!? Unadanganywa kama wale watoto waliokuwa wakimuona Le mutuz amevaa shati lake lile kubwa la njano wanamkibilia wanadhani School Bus imefika kumbe njemba Le mutuz inakatiza. Ahahaha! Usione kila hela ukadhani zinachukuliwa kiwepesi sometimes ni akina Le mutuz wanakatiza we boya na mashati yao ya njano makubwa! Ahahaha
Mattet of fact, kuna time huwa napitia kusoma comments zako hadi nalazimika kuhoji juu ya uzima wa akili yako? Wewe injinia majalala huko timamu kweli?
Haya vipi umeshaacha kubett kama watoto wa La NNE B? Yaani eti injinia mzima anabett...we fala usiniquotes tena maandishi yangu maana unastahili kuargue na watoto wenzio wa Mwaneromango!
Blalifuli porokodiomadonna!
Hata kutrade forex nayo ni kazi. Kikubwa ni kuamini kile unachoweza kufanya kupata pesa.Rahisi gharama. Ukiona unaitiwa fursa ujuwe wewe ndiyo fursa. Wajinga ndio waliwao. Kazi ndiyo njia pekee ya kupata kipato.
Hahahahha pole sana walijiona wamefika. Ulitakiwa uwe na degree ya Forex 😛 😛 😛Nilijarbu kupnga mtazamo wa pesa za kirahis lakn matus niliyoyapata nayakumbuka ad kesho
1. You are not smart enough in the world of forex( yan ad napata degree inamaanisha mm n mbumbumbu, niliumia sana)
2.subir kupokonyana remote control na wadogo zako, et naish kwa wazaz forex hauiwez
3.subir kulelewa na shemej yako
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] najiona shujaa kwa kwel
😀😀😀😀kama yohana mbatizaji alivyokuja muandalia bwana Yesu njia ndivyo the bold alivyomuandalia ontario mwanya wa kuwapiga watu sasa mission yao imekamilika haonekani mtu
😀😀😀😀CCNP Engineer Naona umehamia kwenye kubett tena yaani we boya hukomi tu kutandikwa kizembe!? Unadanganywa kama wale watoto waliokuwa wakimuona Le mutuz amevaa shati lake lile kubwa la njano wanamkibilia wanadhani School Bus imefika kumbe njemba Le mutuz inakatiza. Ahahaha! Usione kila hela ukadhani zinachukuliwa kiwepesi sometimes ni akina Le mutuz wanakatiza we boya na mashati yao ya njano makubwa! Ahahaha
Mattet of fact, kuna time huwa napitia kusoma comments zako hadi nalazimika kuhoji juu ya uzima wa akili yako? Wewe injinia majalala huko timamu kweli?
Haya vipi umeshaacha kubett kama watoto wa La NNE B? Yaani eti injinia mzima anabett...we fala usiniquotes tena maandishi yangu maana unastahili kuargue na watoto wenzio wa Mwaneromango!
Blalifuli porokodiomadonna!
kama ameweza toa hela basi zitakuwa zake.
Ndipo walipoingizwa kingi mkuu teh tehForex biashara ambayo mabenki haitaki muijue...[emoji23][emoji23][emoji23]
Hapo ndio usanii ulipoanzia
.......macho kodo kodo!Ntataja list ya matapeli wa Forex very soon...
Keep macho kodo here!
pole sana ,shostiNtataja list ya matapeli wa Forex very soon...
Keep macho kodo here!
Pole ya nini?pole sana ,shosti
kutapeliwa forex,au nimekuelewa vibaya?Pole ya nini?
Umeelewa vibayakutapeliwa forex,au nimekuelewa vibaya?
sory mamiloooUmeelewa vibaya