Ontario adaiwa kusepa na Mamilioni ya Wana-Forex

Ontario adaiwa kusepa na Mamilioni ya Wana-Forex

Jiulize upoje wewe, nashangaa povu jingi wakati sili kwako Dada yangu

Unatrade forex... kama unamake money referral links za nini kama siyo njaa zimepanda kichwani??? Jiheshimu we mwanamke. after all hauna jeuri ya kula kwangu
 
I Just share the Love, Good services from best broker in Tz only Templerfx
 
Safii sana..

Siku zote matajiri wanatajirika kwa kuwanyang'anya maskini.. It's either clean or dirty.

ONTARIO nimeipenda mentality yako. Utajiri hauji kizembezembe..
We mchaga mwenzangu wewe
 
CCNP Engineer Naona umehamia kwenye kubett tena yaani we boya hukomi tu kutandikwa kizembe!? Unadanganywa kama wale watoto waliokuwa wakimuona Le mutuz amevaa shati lake lile kubwa la njano wanamkibilia wanadhani School Bus imefika kumbe njemba Le mutuz inakatiza. Ahahaha! Usione kila hela ukadhani zinachukuliwa kiwepesi sometimes ni akina Le mutuz wanakatiza we boya na mashati yao ya njano makubwa! Ahahaha

Mattet of fact, kuna time huwa napitia kusoma comments zako hadi nalazimika kuhoji juu ya uzima wa akili yako? Wewe injinia majalala huko timamu kweli?

Haya vipi umeshaacha kubett kama watoto wa La NNE B? Yaani eti injinia mzima anabett...we fala usiniquotes tena maandishi yangu maana unastahili kuargue na watoto wenzio wa Mwaneromango!

Blalifuli porokodiomadonna!
Ha haa utampandisha mwenzio bp mpumzishe kidogo
 
Nilijarbu kupnga mtazamo wa pesa za kirahis lakn matus niliyoyapata nayakumbuka ad kesho
1. You are not smart enough in the world of forex( yan ad napata degree inamaanisha mm n mbumbumbu, niliumia sana)

2.subir kupokonyana remote control na wadogo zako, et naish kwa wazaz forex hauiwez
3.subir kulelewa na shemej yako

[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] najiona shujaa kwa kwel
Hahahahha pole sana walijiona wamefika. Ulitakiwa uwe na degree ya Forex 😛 😛 😛
 
kama yohana mbatizaji alivyokuja muandalia bwana Yesu njia ndivyo the bold alivyomuandalia ontario mwanya wa kuwapiga watu sasa mission yao imekamilika haonekani mtu
😀😀😀😀
dadeki!!!!
 
Back
Top Bottom