SON OF THE LAND
JF-Expert Member
- Oct 7, 2015
- 204
- 210
Mililion 50 ni kiasi cha jumla za clients wote wa TMT? Kama ni hivyo basi watu wameunguza akaunt sana maana nakumbuka deposit walikuwa wanasajesti walau $100, sasa na ile idadi ya wanafunzi duu.
Wewe na wenzako ni wajinga wa kiwango cha Standard Gauge hivi mnajiitaje well trained forex trader huku mkifanya maamuzi ya kudeposit pesa zenu kwenye account ya company tmt na sio liquidity supplier!!!!!!katika mijitu pumbavu wewe ni mmoja wapo kiazi kabisa kama hujui si utulie tu, eti cre shenzi kabisa cre mwanamme sio kama huyo dogo kakimbia kapotea, cre bado yuko pale na anaendelea kutafuta salution za watu at least unaweza mpa credit, huyu ndugu yako jeff yuko wapi, sisi wakati tunaingia kwenye hii kitu cre alikuwepo au wewe ulikua unamjua, ni nani aliekua anaandika ma article makuuubwa hapa kuconvice watu wajiunge na huo upatu wake halafu unakuja kutuambia dogo anasingiziwa yuko wapi leo kwa nini kaenda mafichoni, hivi kama wewe una issues na directors wenzako hapo wateja na mali zao zinaingiaje umechukua mpaka hela za wateja umekimbia unasema hana kosa how about us hela zetu tumeambiwa hatupewi sababu dogo kachukua zote kwa acc hakuna hela ya ku withdraw kwa client
pumbafu kabisa we man
Raman ilikua iv
Apo mwanzo Ontario alitekwa na mtu aliefahamiana nae uko SA akijulikana kama createn kwa fursa ya forex, kwel Ontario alielewa somo na akaanza movements
Kwakua hii movements uwe katka usalama zaid inabd usimame kama mentor (kwa sababu kutrade kuna loss/profit ila mentor utakua na uhakika mzur tu wa mkwanja) bas Ontario akayajenga vzur na createn ampge tafu hii movements aieneze bongo
Kwa kias kikubwa createn ndio alisimamie TmT kufkia pale na conditions moja wamtumie yeye as a brokers kama JP market
Ili uwateke vzur wabongo Ontario alijua inabd angalau wasauz (cree na rea) lakn pia wakachukuliwa sehem ya kampun kwa kupewa share
Kikos mtu nne
Ontario as a masterplan
Createn as a mastermind
Rea as a psychologist ( soften mind)
Crea events planner(kuchezesha akil za wabongo)
Sku za mwanzo profit flows ilikua nzur sana, apo inamaana mkwanja unatoka kwa createn uku Ontario akizd kuwashawsh watu na rea akzd kuwa soften mind (kaz ya Crea bado apo)
The time to get back, wakaanza kuwayumbsh faida ya sku 6 inapotea ndan ya sku moja (ijumaa) na cha nyongeza juu
Kwasabab waliandaliwa psychological ilikua ngum kusanuka mapema,
Rea alimalza kaz yake akarud SA, Crea anaanza kaz yake ya events planner anatengeneza drama ili kuwaaminsha watu( yan ugomv wa kampun na vtu kama hvyo)
Ontario anavuta mkwanja wake anaenda SA
Bado crea anawatengenezea drama (events planner)
Kwaio mtu tatu tayar wapo SA, bado Crea tu
Na Crea tym yoyote kutoka sasa ataingia SA ambapo mtu nne watakutana tena pale Jo'burg vit virefu na mtoto Ontario mpenda kula kula uku clients wakitumiwa screenshots za drama
Hakuna kesi ya utapeli, na utapel unasomewa kabisa.
Wangeshamkata miguu[emoji3] [emoji3] [emoji3]Dogo yupo bongo anatumia hela za misukule
We mkorea umenifungua nilipokuwa sijastuka!Raman ilikua iv

Nimeunganisha dots ad nimepata Raman nzma, uo n mchezo wa watu wanne yan lao n moja tu[emoji3] [emoji3] [emoji3]We mkorea umenifungua nilipokuwa sijastuka!
Hakika...ila why all these drama? Kuna watu bado wanaendelea kuamini kuwa watapiga pesa tmt! KhaaaNimeunganisha dots ad nimepata Raman nzma, uo n mchezo wa watu wanne yan lao n moja tu[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Kikos cha mtu nne kinavutia timing tu wawaachie manyoya, apo ndio kwsha habarHakika...ila why all these drama? Kuna watu bado wanaendelea kuamini kuwa watapiga pesa tmt! Khaaa
Hata mimi nimemuelewa sana hapo kwenye alieleta broker. Amekosea kujitoa bila kuweka hili wazi kwa wana TMT ndo aondoke na chakeMkitulia na kumsoma Ontario vizuri mtapata majibu na kwanini kachukua hio 50m(kwa maoni yangu ni kosa).
Kuanzia November 2017 walikuwa wanapoteza hela kwa kasi ya 5g. Wanapata kwa 10pips ila wanapoteza kwa 100pips....does it ring the bell?
Kwa IQ yangu ya 25 nafikiri alichokuwa anatuhumiwa kufanya Ontario ndio na yeye alikuwa anafanyiwa au anahisi anafanyiwa.
Hint: Partner wake msauzi alilazimisha JP Markets ndio watumike.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]Kikos cha mtu nne kinavutia timing tu wawaachie manyoya, apo ndio kwsha habar
Yan apartment pale jangid plaza hakuna zwazwa wa kuchangia tena kodi
My guess wanaweza wakaja na online training, kama mazwazwa wakiwa bado vchwa maj
Bado unavutika kama RRONDO?Hata mimi nimemuelewa sana hapo kwenye alieleta broker. Amekosea kujitoa bila kuweka hili wazi kwa wana TMT ndo aondoke na chake
Wit kwanini huyo mwenzao aliebaki asiende kufungua kesi? Au ndo mambo kama alosema mkorea?Bado unavutika kama RRONDO?
Createn ndio Cre, kwa hiyo ni watatu na si wanne .Kikos cha mtu nne kinavutia timing tu wawaachie manyoya, apo ndio kwsha habar
Yan apartment pale jangid plaza hakuna zwazwa wa kuchangia tena kodi
My guess wanaweza wakaja na online training, kama mazwazwa wakiwa bado vchwa maj
kumbe uhalisia ni 10 pips in 100 pips out dadeki.Na zile 40M walizokuwa wanaingiza kwa kila week wakitrade?
Njia ya muongo fupi!
hasa na wewe createn ndio huyo crea unaokoteza stori na wewe.Raman ilikua iv
Apo mwanzo Ontario alitekwa na mtu aliefahamiana nae uko SA akijulikana kama createn kwa fursa ya forex, kwel Ontario alielewa somo na akaanza movements
Kwakua hii movements uwe katka usalama zaid inabd usimame kama mentor (kwa sababu kutrade kuna loss/profit ila mentor utakua na uhakika mzur tu wa mkwanja) bas Ontario akayajenga vzur na createn ampge tafu hii movements aieneze bongo
Kwa kias kikubwa createn ndio alisimamie TmT kufkia pale na conditions moja wamtumie yeye as a brokers kama JP market
Ili uwateke vzur wabongo Ontario alijua inabd angalau wasauz (cree na rea) lakn pia wakachukuliwa sehem ya kampun kwa kupewa share
Kikos mtu nne
Ontario as a masterplan
Createn as a mastermind
Rea as a psychologist ( soften mind)
Crea events planner(kuchezesha akil za wabongo)
Sku za mwanzo profit flows ilikua nzur sana, apo inamaana mkwanja unatoka kwa createn uku Ontario akizd kuwashawsh watu na rea akzd kuwa soften mind (kaz ya Crea bado apo)
The time to get back, wakaanza kuwayumbsh faida ya sku 6 inapotea ndan ya sku moja (ijumaa) na cha nyongeza juu
Kwasabab waliandaliwa psychological ilikua ngum kusanuka mapema,
Rea alimalza kaz yake akarud SA, Crea anaanza kaz yake ya events planner anatengeneza drama ili kuwaaminsha watu( yan ugomv wa kampun na vtu kama hvyo)
Ontario anavuta mkwanja wake anaenda SA
Bado crea anawatengenezea drama (events planner)
Kwaio mtu tatu tayar wapo SA, bado Crea tu
Na Crea tym yoyote kutoka sasa ataingia SA ambapo mtu nne watakutana tena pale Jo'burg vit virefu na mtoto Ontario mpenda kula kula uku clients wakitumiwa screenshots za drama
Hakuna kesi ya utapeli, na utapel unasomewa kabisa.
Anawatombea mademu zaoDogo yupo bongo anatumia hela za misukule
Nina $ 500 ya kuchezea,bado niko ktk kujifunza ,mpk sasaCreaten ndio Cre, kwa hiyo ni watatu na si wanne .
Kwa kutumia my other sense Crea namuona ana utapeli kwa 99%na baada ya kukamilisha lengo lake la scam yeye amekuwa wa kwanza kutengeneza mgogoro,ili watu wajiongeze kwa kuachana na Tmt na yeye yuko na mipango aende akaanzishe kitu kama hiki sehemu nyingine kwa kumtumia same broker,na sasa anajiandaa kwenda kuendeleza uhuni kama aliofanya hapa Tz huko Kenya kwa kushirikiana na mtangazaji wa radio kipindi cha mseto.
Forex ni halali na ina hela ukiilewa Ila sio rahisi hata kidogo yaani kwa kutegemea mteremko wa kuambiwa buy or sell pair fulani na mtu ambaye hujui ana malengo gani,na wala si ndugu yako kwamba anaupendo sana na wewe. Ni taaluma inayohitaji angalau kuanzia mwaka mmoja wa kujielemisha na practice na kujifunza kwake ni endelevu.
kifupi broker na wanaoshirikiana nao si wa kuwaamini ktk ushauri wao kwamba ununue au uuze kwa sababu broker ambaye ni market maker kama alivyo jpmarkets anatrade against clients so ukiwa tegemezi wa calls za za broker na mbia wake unanafasi ya kupata 20% na kupoteza 80%.
Kifupi forex ni msitu ,inahitaji mtu ambae ana extra sensory perception vinginevyo inaweza kukufanya ukawa maskini maradufu.
Nimevutika na nini?Bado unavutika kama RRONDO?