Raman ilikua iv
Apo mwanzo Ontario alitekwa na mtu aliefahamiana nae uko SA akijulikana kama createn kwa fursa ya forex, kwel Ontario alielewa somo na akaanza movements
Kwakua hii movements uwe katka usalama zaid inabd usimame kama mentor (kwa sababu kutrade kuna loss/profit ila mentor utakua na uhakika mzur tu wa mkwanja) bas Ontario akayajenga vzur na createn ampge tafu hii movements aieneze bongo
Kwa kias kikubwa createn ndio alisimamie TmT kufkia pale na conditions moja wamtumie yeye as a brokers kama JP market
Ili uwateke vzur wabongo Ontario alijua inabd angalau wasauz (cree na rea) lakn pia wakachukuliwa sehem ya kampun kwa kupewa share
Kikos mtu nne
Ontario as a masterplan
Createn as a mastermind
Rea as a psychologist ( soften mind)
Crea events planner(kuchezesha akil za wabongo)
Sku za mwanzo profit flows ilikua nzur sana, apo inamaana mkwanja unatoka kwa createn uku Ontario akizd kuwashawsh watu na rea akzd kuwa soften mind (kaz ya Crea bado apo)
The time to get back, wakaanza kuwayumbsh faida ya sku 6 inapotea ndan ya sku moja (ijumaa) na cha nyongeza juu
Kwasabab waliandaliwa psychological ilikua ngum kusanuka mapema,
Rea alimalza kaz yake akarud SA, Crea anaanza kaz yake ya events planner anatengeneza drama ili kuwaaminsha watu( yan ugomv wa kampun na vtu kama hvyo)
Ontario anavuta mkwanja wake anaenda SA
Bado crea anawatengenezea drama (events planner)
Kwaio mtu tatu tayar wapo SA, bado Crea tu
Na Crea tym yoyote kutoka sasa ataingia SA ambapo mtu nne watakutana tena pale Jo'burg vit virefu na mtoto Ontario mpenda kula kula uku clients wakitumiwa screenshots za drama
Hakuna kesi ya utapeli, na utapel unasomewa kabisa.