James88
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 1,700
- 1,761
Hapa kuna makundi matatu, yaani TMT, Clients na JP markets.
Nmesikiliza wakati yule msukuma anaongea na mtu wa JP markets kwa njia ya simu, naona kwa maelezo ya yule dada ni kama JP markets wamejiondoa kwenye responsibility ambayo ilikuwa ni ya kwao, and the reason behind ni kwasababu wao wanazo hela za clients ndio maana hilo jukumu la kuopen legal case wamewaachia clients wenyewe kitu ambacho sidhani kama kimekaa sawa.
Wa kuopen Case alikuwa ni Cre lakini kama ni kweli kuna gari la TMT analishikilia kama lake, sioni akitoboa kwenye hiyo case.
Labda naomba naomba niwaulize swali moja clients ambao mlikuwa bado mpo TMT, Ninachokumbuka kwenye kudeposit tulikuwa tunatumia account ya TMT je na kuwithdraw mlikuwa mnachukua hela kutoka kwenye hiyo account ya TMT??? Kama jibu ni hapana, basi JP markets hawakutakiwa kufreeze account zenu sababu the contract was between yeye na TMT naa siyo nyinyi clients.