Ontario adaiwa kusepa na Mamilioni ya Wana-Forex

Nimekuwa inspired kuwa forex trader kutoka kwa ontario lakin kwa hiki kinachoendelea sasa nimebaki kusikitika tu
 
Nimesoma hu uzi mwanzo mwisho.
Nilichobaini wadau wengi humu WAMEPIGWA, TENA WANAMACHUNGU YA KUFA MTU, ila ndio hivyo tena hawana la kufanya.
Poleni sana wahanga wote. Bola shaka mmejifunza.
 
toeni conclusion basi wakuu na nin kifanyike ili kuwapoza wahanga wa ilo janga mambo ya kushtaki ayo toeni
embu wakiri je wameibiwa na wameibiwaje vipi hela zao kwenye akaunt za kutrade zimefungiwa ama laah kama zimefungiwa means walilengwa kuibiwa
 
Habari yako Son of the land,

Kwanza kabla ya yote naamini uko na siku njema. Twende kwenye mada.

Naona umeandika kwa hasira na gadhabu kubwa as if mimi ndio Ontario au mimi ndio TMT. Naomba punguza jazba kwasababu wahenga siku zote wanasema don't make a decision when you are angry 'cause at the end of the day you may do or say things and end up regretting later.

Umeniita mpumbavu sawa, ila we ungekua na akili usingekua umepigwa hela na kuja kulia lia hapa JF. Maybe nikuulize kitu: Je Createn ana gari la TMT au hana?

Ukinijibu nitag mkuu.

Cheers
 
Ontario ilitakiwa amdai Cre hilo gari lao...Sio kuchukua pesa za wateja wake....Wana TMT hawakudeposit Gari, wali invest pesa zao ndio hizo tunataka zirudi...Huyu dogo ajiandae kwenda jela watu wana hasira nae kishenzi
 

YEA nilikua na jazba kweli
halafu hilo swali lako sasa ndio sijaelewa nianzie wapi kukuelewesha, hivi kampuni inafunguliwa mpo wewe na mwenzio mmejiita ma director then mkaja mkapata wateja wa hio biashara baada ya muda nyie ma director mkagombana na wakati mnagombana wateja wenu hawajui maaba hawashindi ofisini kwenu wako sehemu mbalimbali wakiendelea na biashara, then baada ya figisu zenu sijui kama mmepigana hela na ni nani kapigwa hizo hela kama nilivyosema hatukuwepo kwenye hizo ofis zao kujua shida zao then wewe at the same time unajua kua wateja wako wame depositi 50m na wewe katika investment zako za share ukaona may be hakuna kitu cha haraka cha kuchukua ku recover your investment ukaamua kwenda kuchukua fedha za hao wateja kama ndio gawio lako na kuacha wateja na wafanyakazi wake bila mshahara miezi mitatu na kukimbia mafichoni hi wewe umeona ni sahihi

umeona BOT ilichokifanya kwenye ma bank ambayo yalikua yanakaribia kufa au kama kidogo ungekua unajua company law ungeweza kutambua nani ni wa kwanza kupata fedha na nani ni wa mwisho, unapaswa kutambua jeff ni ordinary share holder kwa hio huyu ni wa mwisho kabisa kuchukua fedha kwa company ambayo inaenda kufa

i hope nimejibu swali la gari sisi hatujui maana tutaanza kuulizwa hata maswali ya kinyumba kuhusu hao watu which is non of our business
 
Huu muandiko naufananisha kwa 95 %, maneno kama naysayers na blah blah,wishing you productive week , I know Tanzanians!
Kila la heri
 
kiufupi kwa hapa walipofikia TMT ni purely ponzi scheme, sifa za ponzi schemes zote na strategies za ponzi hawa TMT wameshizifanya na zinajionyesha dhahiri.waathiriwa waangalie utaratibu wa kisheria kama pesa zitakuwa bado haziwafikii.
Ponzi scheme - Wikipedia
 
Ontario rudisha pesa za wateja wako
 
Busara za Mr Kipago zidumu niliwahi kuwaonya na mchezo mchafu mnaofanyiwa.
Nimefanikiwa kusoma case study nyingi kuhusiana na watu kupigwa na mentors wao pamoja na broker.
 
Natamani kuongea kila kitu ila ngoja ninyamaze

Maskini Ontario kijana mwerevu amechezewa akili na msouth mwenye trick ya kuwatumia jp markets kuwaibia waTz ambao kijana alitaka kuwapa Financial freedom.

Maoni yangu Ontario usirudishe pesa kwani yeye kapiga ngapi akikudanganya ni za broker???
ramadhan kareem
 
Wewe una uhakika gani hizo 50 M ni hela za clients? Au kwa vile Cre amesema ni hela za clients basi na wewe umeshikilia?
 
Then nawashangaa watu waliokomalia kusema wametapilowa 50M. You can't judge a case by listening only a single side. Tanzanians please don't be biased. Afterall this movement was meant to be a financial freedom creator but it turned out to be some peoples' way of showing their hate to kid Ontario
 
Ontario ilitakiwa amdai Cre hilo gari lao...Sio kuchukua pesa za wateja wake....Wana TMT hawakudeposit Gari, wali invest pesa zao ndio hizo tunataka zirudi...Huyu dogo ajiandae kwenda jela watu wana hasira nae kishenzi
Who is going to open a legal case against Ontario??? Nataka nimjue kwanza ili msije mkaenda mahakamani halafu dispute yenu ikatupwa huko mkabaki mnalialia....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…