PlayBoyMwema
JF-Expert Member
- Jul 27, 2014
- 1,714
- 1,829
Nimekuwa inspired kuwa forex trader kutoka kwa ontario lakin kwa hiki kinachoendelea sasa nimebaki kusikitika tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata mi najiuliza?!Wit kwanini huyo mwenzao aliebaki asiende kufungua kesi? Au ndo mambo kama alosema mkorea?
Jiandae kuanza kutrade online!Nimevutika na nini?
Haahahha, wewe umemchangia Dollar ngapi mkuu?We Ontario rudisha pesa ,hayo maneno yako ya kwenye kanga hatuyataki
Habari yako Son of the land,katika mijitu pumbavu wewe ni mmoja wapo kiazi kabisa kama hujui si utulie tu, eti cre shenzi kabisa cre mwanamme sio kama huyo dogo kakimbia kapotea, cre bado yuko pale na anaendelea kutafuta salution za watu at least unaweza mpa credit, huyu ndugu yako jeff yuko wapi, sisi wakati tunaingia kwenye hii kitu cre alikuwepo au wewe ulikua unamjua, ni nani aliekua anaandika ma article makuuubwa hapa kuconvice watu wajiunge na huo upatu wake halafu unakuja kutuambia dogo anasingiziwa yuko wapi leo kwa nini kaenda mafichoni, hivi kama wewe una issues na directors wenzako hapo wateja na mali zao zinaingiaje umechukua mpaka hela za wateja umekimbia unasema hana kosa how about us hela zetu tumeambiwa hatupewi sababu dogo kachukua zote kwa acc hakuna hela ya ku withdraw kwa client
pumbafu kabisa we man
Ontario ilitakiwa amdai Cre hilo gari lao...Sio kuchukua pesa za wateja wake....Wana TMT hawakudeposit Gari, wali invest pesa zao ndio hizo tunataka zirudi...Huyu dogo ajiandae kwenda jela watu wana hasira nae kishenziHabari yako Son of the land,
Kwanza kabla ya yote naamini uko na siku njema. Twende kwenye mada.
Naona umeandika kwa hasira na gadhabu kubwa as if mimi ndio Ontario au mimi ndio TMT. Naomba punguza jazba kwasababu wahenga siku zote wanasema don't make a decision when you are angry 'cause at the end of the day you may do or say things and end up regretting later.
Umeniita mpumbavu sawa, ila we ungekua na akili usingekua umepigwa hela na kuja kulia lia hapa JF. Maybe nikuulize kitu: Je Createn ana gari la TMT au hana?
Ukinijibu nitag mkuu.
Cheers
Habari yako Son of the land,
Kwanza kabla ya yote naamini uko na siku njema. Twende kwenye mada.
Naona umeandika kwa hasira na gadhabu kubwa as if mimi ndio Ontario au mimi ndio TMT. Naomba punguza jazba kwasababu wahenga siku zote wanasema don't make a decision when you are angry 'cause at the end of the day you may do or say things and end up regretting later.
Umeniita mpumbavu sawa, ila we ungekua na akili usingekua umepigwa hela na kuja kulia lia hapa JF. Maybe nikuulize kitu: Je Createn ana gari la TMT au hana?
Ukinijibu nitag mkuu.
Cheers
Huu muandiko naufananisha kwa 95 %, maneno kama naysayers na blah blah,wishing you productive week , I know Tanzanians!Humu naona watu wengi wanaocomment kwa hasira bila hata kuwa na abc ya tukio wala kufahamu chochote.
Binafsi sijafungamana na upande wowote ila mbona wote mnaonyesha hasira na dogo Ontario? Mbona sijaona mtu alieonyesha hasira kwa Createn?
Tatizo watanzania ni wavivu wa kufikiri so mtu akisikia tu kichaa flani anasema Ontario kakimbia na hela zetu naye analibeba hivyo hivyo without processing or filtering the info using his/her f* brains.
I have been watching this saga for a while without saying a word but today I have personally decided with my rightful mind to give my opinions on this matter. Though I know a lot of naysayers will start coming with blah blahs.
And For this who will think I have personal interests with TMT, the truth is I have never been in or associated in any way with TMT. I have decided to make my self clear on that coz I know Tanzanians.
Cheers[emoji178]
Wishing y'all a productive week
XTAPER.
Ontario rudisha pesa za wateja wakoHabari yako Son of the land,
Kwanza kabla ya yote naamini uko na siku njema. Twende kwenye mada.
Naona umeandika kwa hasira na gadhabu kubwa as if mimi ndio Ontario au mimi ndio TMT. Naomba punguza jazba kwasababu wahenga siku zote wanasema don't make a decision when you are angry 'cause at the end of the day you may do or say things and end up regretting later.
Umeniita mpumbavu sawa, ila we ungekua na akili usingekua umepigwa hela na kuja kulia lia hapa JF. Maybe nikuulize kitu: Je Createn ana gari la TMT au hana?
Ukinijibu nitag mkuu.
Cheers
Wewe una uhakika gani hizo 50 M ni hela za clients? Au kwa vile Cre amesema ni hela za clients basi na wewe umeshikilia?YEA nilikua na jazba kweli
halafu hilo swali lako sasa ndio sijaelewa nianzie wapi kukuelewesha, hivi kampuni inafunguliwa mpo wewe na mwenzio mmejiita ma director then mkaja mkapata wateja wa hio biashara baada ya muda nyie ma director mkagombana na wakati mnagombana wateja wenu hawajui maaba hawashindi ofisini kwenu wako sehemu mbalimbali wakiendelea na biashara, then baada ya figisu zenu sijui kama mmepigana hela na ni nani kapigwa hizo hela kama nilivyosema hatukuwepo kwenye hizo ofis zao kujua shida zao then wewe at the same time unajua kua wateja wako wame depositi 50m na wewe katika investment zako za share ukaona may be hakuna kitu cha haraka cha kuchukua ku recover your investment ukaamua kwenda kuchukua fedha za hao wateja kama ndio gawio lako na kuacha wateja na wafanyakazi wake bila mshahara miezi mitatu na kukimbia mafichoni hi wewe umeona ni sahihi
umeona BOT ilichokifanya kwenye ma bank ambayo yalikua yanakaribia kufa au kama kidogo ungekua unajua company law ungeweza kutambua nani ni wa kwanza kupata fedha na nani ni wa mwisho, unapaswa kutambua jeff ni ordinary share holder kwa hio huyu ni wa mwisho kabisa kuchukua fedha kwa company ambayo inaenda kufa
i hope nimejibu swali la gari sisi hatujui maana tutaanza kuulizwa hata maswali ya kinyumba kuhusu hao watu which is non of our business
Mimi sio Ontario mkuu.Ontario rudisha pesa za wateja wako
Ni maneno tu hayo mkuu.Huu muandiko naufananisha kwa 95 %, maneno kama naysayers na blah blah,wishing you productive week , I know Tanzanians!
Kila la heri
Then nawashangaa watu waliokomalia kusema wametapilowa 50M. You can't judge a case by listening only a single side. Tanzanians please don't be biased. Afterall this movement was meant to be a financial freedom creator but it turned out to be some peoples' way of showing their hate to kid OntarioNatamani kuongea kila kitu ila ngoja ninyamaze
Maskini Ontario kijana mwerevu amechezewa akili na msouth mwenye trick ya kuwatumia jp markets kuwaibia waTz ambao kijana alitaka kuwapa Financial freedom.
Maoni yangu Ontario usirudishe pesa kwani yeye kapiga ngapi akikudanganya ni za broker???
ramadhan kareem
Who is going to open a legal case against Ontario??? Nataka nimjue kwanza ili msije mkaenda mahakamani halafu dispute yenu ikatupwa huko mkabaki mnalialia....Ontario ilitakiwa amdai Cre hilo gari lao...Sio kuchukua pesa za wateja wake....Wana TMT hawakudeposit Gari, wali invest pesa zao ndio hizo tunataka zirudi...Huyu dogo ajiandae kwenda jela watu wana hasira nae kishenzi