Ontario adaiwa kusepa na Mamilioni ya Wana-Forex

Kwa jins bank zilivyo na njaa sasa hiv,mtu hawez toa pesa kama sio zake..kutoa mil10 maswal lukuk sembuse hyo 50..huyo alieandika na kulalama sjui director na ontario watakua wanajua walichofanya,na kama ni partners,hawez toa mpunga peke yake,so kama katoa huo mpunga bas ni pesa yake
 
Taratibu za kugawana hisa za kampuni ndio zinakuwa za kienyeji hivyo?

Kampuni kama ina madeni je?
 
Taratibu za kugawana hisa za kampuni ndio zinakuwa za kienyeji hivyo?

Kampuni kama ina madeni je?
Kama MuSouth alitaka kusepa na hela njia ilikuwa ni kuchukua kilicho chako kabla hakijakwapuliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…