Humble African
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 4,781
- 14,415
Ahahaha!! Usinchekeshe na hili baadae akatafuta ushauri amroge mtu kisa katokomea na kilo kadhaa.. Eti engineer? Injinia achukue mkopo wa milion 5 akimbie kazi?Juzi juzi alikuwa anatafuta mkopo wa milioni 5 sijui alifanikiwa??
Labda injinia wa kushona viatu posta mpya?