Ontario adaiwa kusepa na Mamilioni ya Wana-Forex

uliponyeka kwenye mdomo wa mamba...shukuru mizimu ya kwenu...haha haaa
 
Inawezekana ikawa ni mtu mmoja mwenye zile ID mbili
 
Mkuu wale wote Janja Janja...huo Uzi wa the bold anaosema kuwa alifika o'bey akiwa na t-shirt ya jeshi kisha akaenda kwa police na kumuomba koti lake ili ile t-shirt yke "" ya kijeshi isipate kuonekana hahaaa"" yaani nilipokuwa na soma ule waraka nilivyokuja kufikia hapo tu "" nikaona kuwa hawa wote wezi ..na wanatumia ujinga wawabongo "" kuweza kuwarubuni
 
Ni huyu hapa Ndezi mmoja hivi Ushauri: Mimi mwajiriwa serikalini, nataka nichukue mkopo (kwa kutumia ajira yangu) kisha niache kazi

Kasome thread zake ucheke upasuke kama ana undugu na Deo kisandu vile.
Mkuu jamaa ana akili za darasani but tukija kwenye elimu ya dunia Mheshimiwa hapo kafyata mkia....

Mtaani hakuitaji A na GPA kubwa sasa hivi kitaa kinampa fundisho....

Zile A zacheti na First class ni chuoni huku ulimwenguni kuna elimu kubwa zaidi ya hayo makaratasi....
 
Inawezekana ikawa ni mtu mmoja mwenye zile ID mbili
Napata wasiwasi huo pia maana hao wote 2 wana share 1 common intetests ni "story tellers " wazuri.

Lkn nahisi ni watu 2 tofauti pia sababu huyo Habib alishaandika story zake humu baadae akasema gazeti nadhani la MTanzania walikuja kuiiba hio story bila copyrights lkn akaenda akamalizana nao,so huko kwny hilo gazeti identity yake halisi watakua wanaijua mkuu.
 
haha hahaa "" analeta ujuaji mtaani acha wamnyooshe ...Ontario akili kubwa ile ...wameibiwa kina .ruge " Ay na max"" yeye nani sasa !?
 
wale niwatu differ kabisa mkuu"" sema nachoweza kukisema "" nikuwa the bold alikuwa anatumika katika kuandaa essay " za Ontario ili aweze kuja kuwaumiza watu Humu """
 
Wakuu hawanaga dogo humu walizaa nae fasta kibichikoma.

Ukiumaliza huo nakutag mwingine. Huo ndio katandikwa balaa na wadau. Ahahaha.
watu wengi wana mchukulia ontario kama broker hapo ndo wana changanya, ontario hata akiondoka na ma bilioni client hawezi kudhurika hata kidogo labda tu kwenye ku deposit na ku withdraw kwa njia ambayo ameizoea. sasa kama jamaa kasepa inabidi waangalie option nyingine ya kutoa na kuweka, naona niko sahihi?
 
hahhhahah na kweli mkuu nilikuwa naipenda mno forex lakini swala la kulazimishwa kutrade kwa broker wao lilinipa sana ukakasi nikaamua achana nao kabisa
haha haha sasa hilo suala ndio lilokuwa linamuingizia Jamaa wa TMT pesa sasa...maana walikuwa wanatoa mafundisho haba makusudi ili victims waunguze acc ...zao makusudi na wao wapate kuingiza percent zao kwa broker wao "" na hayo ndio yalikuwa makubaliano yao ""
 
ha ha ha ha tuliitwa haters enzi zetu na wazee wa ma screen shot ya kudownload hela
Wadau mmeimba weee lakini wapi. Leo watu ndio wanajifanya, "ayaaaaaaaaaaaaaaa . kumbeeeeeeeee" mazafanting!
 
wale niwatu differ kabisa mkuu"" sema nachoweza kukisema "" nikuwa the bold alikuwa anatumika katika kuandaa essay " za Ontario ili aweze kuja kuwaumiza watu Humu """
Hahah aisee basi jamaa walijipanga fresh ku piga hela za "wanyonge" kwa akili sana aisee.
 
Hahah aisee ngoja kwanza nikarudie kale kastory maana hapo kwny t-shirt ya jeshi mara koti la polisi ulikua ni uongo mtupu huo mkuu.
 
Teach me forex dear
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…