hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,678
- 63,304
uliponyeka kwenye mdomo wa mamba...shukuru mizimu ya kwenu...haha haaadah kila nikiona nyuzi kama hizi nakumbuka nilienda Jangid plaza na hela yangu ya training, sikutaka mtumia JP market nikamwambia dada ongea na jamaa nilipie training tu alivyompigia simu jamaa akakaza nikasema potelea mbali nikaweka pesa yangu mfukoni nikatimka sasa hivi hizi habari zinanifanya nigundue yale hayakutokea bahati mbaya