Ontario adaiwa kusepa na Mamilioni ya Wana-Forex

Ontario adaiwa kusepa na Mamilioni ya Wana-Forex

Kwa mantiki hiyo 5 days hata sio intro. Bali kuandikishana majina na kufahamiana hahahahaha daaahh kuna watu wanamahesabu ya kuzimu walhi
Five days hazitoshi kabisa aisee unahitaji muda a lot of sacrifice sio easy easy kama jamaa walivyokuwa wanafanya .

Pale TMT walienda kuwashangaa wasauzi na kula sambusa na juice ila sio kujifunza forex .

80% ya forex utajifunza mwenyewe kwa kusoma vitabu na 20% ni za pro mentor wa kukuongoza na lazima awe mentor kweli sio kanjanja kama yule msauzi Creaton.

Halafu baada ya kupata ujuzi sasa katika trading kuna asllimia zake
[emoji117] saikolojia ni 50%

[emoji117] technical analysis ni 30%

[emoji117] fundamental analysis ni 20%

Sasa mpka hapo utajua ugumu wa forex Uko wapi hasa

Na ndio ule msemo wa forex is not for everyone una apply .

Hii gemu ni nzito na inahitaji akili zaidi na kadri unaikamatia kadri siku zinavyoenda una grow up .

Watu wasifikiri forex ni kama michezo ya vikoba .

Akili za vikoba hazihitajiki huku.
 
Unastahili kila aina ya tusi,


Bora baba yako angepiga punyeto shahawa zikaenda mitaroni kuliko kuzaliwa Raia wa hovyo ukanda mzima wa nchi za maziwa makuu.
Ni mjinga tu ambaye anaweza waleta wazazi kwenye mada kama hizi but kwa vile me na wewe hatujaanzia mbali mjadala sitakujibu unavyotaka!.
You ain't worth my comments!.
 
Nilijarbu kupnga mtazamo wa pesa za kirahis lakn matus niliyoyapata nayakumbuka ad kesho
1. You are not smart enough in the world of forex( yan ad napata degree inamaanisha mm n mbumbumbu, niliumia sana)

2.subir kupokonyana remote control na wadogo zako, et naish kwa wazaz forex hauiwez
3.subir kulelewa na shemej yako

[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] najiona shujaa kwa kwel
Sasa eti wamekasirika wanataka na sisi mbumbumbu tukasirike nao pamoja ni haki kweli wakati walishasema forex is not for everyone
 
Mwanaume hana muda wa kujichokonoa.
Mwanaume ni mtu wa facts. Tuache kuchokonoana, maana mwisho wa siku mwanaume na mwanamke wanapochokonoana madhara yanajulikana yatabaki kwa nani kati yao...

Tufanye hivi, tuweke hapa screenshot za Balance ya Bank Accounts zetu hapa...
Mimi naweka Trading account yangu moja tu ya Tickmill (nitaconvert hizo USD to TZS).
Wewe weka Account zako zote, jumlisha na za Humble African (LINAFIKI), Mama Sabrina na Palantir
Then tuone mimi na nyie wote kwa pamoja nani Analia njaa...

Are you ready for the challenge Madam Shankupe???
Mkuu ulipata ule mkopo wa million 5 uliokuwa unataka ili uache Kazi serekalini.???
 
Engineer unataka Balance za Bank au za Forex!?..
Halafu hata tukiweka utaamini vipi ni zetu/zako as long hatujuani hakuna prove ya kitakachoweza kukuaminisha/kutuaminisha badala yake utakuja na jibu lingine tena!.
Siwezi shabikia kuweka bank account without proof whether ni yako au ya mjomba wako huko ulipo!.
.


Nilijua tuu... Nikiwapa challenge hii lazima mle chocho.
Tena mmekula chocho wotee. Hakuna hata mmoja alionesha dalili ya kutunisha msuli.
Kelele nyingi mkiambiwa twende kwa evidence mnaanza kujinyea.
 
Sasa eti wamekasirika wanataka na sisi mbumbumbu tukasirike nao pamoja ni haki kweli wakati walishasema forex is for everyone
Mwanzoni waliambiwa wakabisha.....Acha waisome # tena namba ya kirumi
Wapambane na hali Zao tu

Ova
 
Shankupe + LINAFIKI = Unpredictable Cirmustance
Nimewapa challenge wewe, Mama Sabrina, mzigua 90 na Palantir tuweke hapa screeenshots za Bank Accounts zetu.
Mimi niweke Trading Account yangu moja tu ya Tickmill.
Nyie na mashankupe wenu wote muweke vi accounts vyenu vyote vya NMB tuone nani anapaswa kulia njaa!!!
Chakushangaza wote mmekula chocho...
Acheni kuchokonoa chokonoa profiles za watu mtakuja kushika mavi.
Hizo bank account kamuonyeshe Ontario pia ili ziweze kuongezeka zaidii
 
Yaan leo imekuwa dola 17 kwelii???
Hahaha h ha wewe kweli muuza madela nani kakwambia leo ndio mwisho wa siku,


Forex is 24/5 business bado nipo sokoni , ni kazi juu ya kazi ***** kwa volatility ya leo ya EUR/USD ninaweza nikakuhonga kama si kukuongezea hela ya mtaji wa madela umuhufumie Sabrina vizuri.


Pole sana
 
Aisee kama ni kweli basi tutajuwa huyu dogo siyo wa kawaida, kazisomba za ukweli, mie nilikuwa nashangaa na matangazo yake, ukimpinga watu wanakuja juu mno, sasa kama hii ni ya ukweli basi watasaga meno...
 
Sirjeff is a man...

Nyie pigeni kelele yeye anazama zake Ibiza Vacation na babe. Akitoka huko anapitia Russia kuangalia mechi mbili za kombe la dunia.. Akirudi anarudi na project na fursa mpya anaendelea kupiga pesa..

Maisha yanataka nini zaidi... hehehehehehehee
 
Back
Top Bottom