Ontario kamalizwa kishamba mno!


Niko likizo Ndugu yangu Dakar ungejua kazi ninayofanya atleast usingekaa kufuatilia Jes anaandika nin humu Jf na we muda wote mpaka ukajua 27hrs nipo humu ni kwamba huna kaz naitetea biashara ya Forex as Forex ila sina affiliation yoyote na hii bizness Tz kwahyo basi.mtu akifanya kitu msimwite tapeli au mwizi sabab hakumshikia mtu panga akasome alipe 200k kusoma pale punguzeni ujinga mara nyingine.
 
Hii nguvu mnayotumia kumwita ontario Tapeli mngeitumia kuwangoa mafisadi wa CCM nadhani Nch ingekua mbali sana lingekua taifa Bora hapa Duniani lakini mmebakia mnapambana kusaka maji safi shule hazina vyoo mnasubiria ela za makinikia mkiaminishwa zitanunua noah kila mtu mkatapeliwa wakasema balimi 3 kila mtu ikaota mbawa sasa hiv mnapambana na kununua madiwan na wabunge
 
Mku nakushukuru kwa u uchambuzi mzuri lakini sio kwamba ONTARIO kakimbia bali kaamua kuwapuuza waliokuwa wakimlaumu kwa ujumla pasipo kufafanua lawama zao na bila chembe ya ushahidi. Tukubaliane kwamba kila biashara ina changamoto zake na halikuwa lengo la ONTARIO kuchoma acc za watu kwa kuwa hana maslahi yoyote na uchomwaji huo.
 
Nia yake mumuulize haya maswali ili awaingize mjini vizuri, wabongo akili ndogo kweli mtaendelea kulizwa sana kwa njaa zenu. Kalaghabaho!
Sasa Mdau sasa hilo swali limekuuliza ww na tukilizwa hizo pesa tulizipata kutoka kwako kuwa smart kukaa kimya ni jambo jema aise.
 
Ukichoma akaunt ni furaha kwa broker (humo humo Ontario anachukua chake). What a business! Bravo Ontario kula hela za wajinga kabla hawajastuka

Hata ukila ela broker anachukua chake so sioni tatizo
 
Nakutaka kimapenzi nikuoe
 
Ukichoma akaunt ni furaha kwa broker (humo humo Ontario anachukua chake). What a business! Bravo Ontario kula hela za wajinga kabla hawajastuka
Mkuu inaonekana hii biashara huijui vizuri. Kwa hiyo kazi ya broker ni kuunguza acc za watu? Sasa inakuwaje useme huyu broker ni mzuri na huyu ni mbaya? Ina maana ma broker wazuri hawaijui "kazi" yao vizuri ama?
 
Mkuu inaonekana hii biashara huijui vizuri. Kwa hiyo kazi ya broker ni kuunguza acc za watu? Sasa inakuwaje useme huyu broker ni mzuri na huyu ni mbaya? Ima maana ma broker wazuri hawaijui "kazi" yao vizuri ama?

Achana na waswahili hawa wana matatizo yao makubwa sana kutwa kuyahamishia humu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Achana na waswahili hawa wana matatizo yao makubwa sana kutwa kuyahamishia humu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila inasikitisha sana watu kuvamia biashara wasiyoijua vizuri halafu wanakuja humu kumwaga mapovu yao. Hawajui kila biashara ina risks and uncertainities!!!!!
 
Ila inasikitisha sana watu kuvamia biashara wasiyoijua vizuri halafu wanakuja humu kumwaga mapovu yao. Hawajui kila biashara ina risks ans uncertainities!!!!!

Hili la Forex hua nacheka sana wengi wao hata ukiwauliza Spreads Pips,hangman Kangaroo tail,Lask kiss,Big shadow hawajui n nini na n terms za kwenye forex maarufu sana lakin wanavotema mate humu kama wanaijua forex kama Periodic table[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Wakuu tafadhali punguzeni munkari kwanza tupate muafaka mwelekeo wa sintofahamu hii.

Hua wananichokoza nikiwatukania mama zao wanaenda kwa mods kulia nipigwe ban niachieni hawa najua kudeal nao nimepigwa ban kisa hawa watu zaid ya mara 5. Ila hua nawakomesha na wengine wanakuja kulia PM kwanin nawatukania wazaz wao.
 
Hahahaha! Haya ndio madhara ya kuingia kwenye biashara kichwakichwa kabla hujafahamu vizuri sheria zake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…