Ontario kamalizwa kishamba mno!

Ontario kamalizwa kishamba mno!

Nina wasiwasi na uyu jestikila
Logically nikifatilia text zako kuna contradiction nyng sana

Amna mtamzania anaetetea ktu kama hauna maslai nacho
Upo bize huwez kufanya analysis, ila 27hours unashilik katka kulimwaga povu humu!!

Muwaonee huruma watanzania wenzenu, life n gumu na hali n tete sana
Maana mnawafksha points of no return ad wanaitwa mazezeta

Binafs forex n ujanja kama janja zngne

KUUNGUZA ACCOUNT NDIO KUIJUA FOREX
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]

Niko likizo Ndugu yangu Dakar ungejua kazi ninayofanya atleast usingekaa kufuatilia Jes anaandika nin humu Jf na we muda wote mpaka ukajua 27hrs nipo humu ni kwamba huna kaz naitetea biashara ya Forex as Forex ila sina affiliation yoyote na hii bizness Tz kwahyo basi.mtu akifanya kitu msimwite tapeli au mwizi sabab hakumshikia mtu panga akasome alipe 200k kusoma pale punguzeni ujinga mara nyingine.
 
Hii nguvu mnayotumia kumwita ontario Tapeli mngeitumia kuwangoa mafisadi wa CCM nadhani Nch ingekua mbali sana lingekua taifa Bora hapa Duniani lakini mmebakia mnapambana kusaka maji safi shule hazina vyoo mnasubiria ela za makinikia mkiaminishwa zitanunua noah kila mtu mkatapeliwa wakasema balimi 3 kila mtu ikaota mbawa sasa hiv mnapambana na kununua madiwan na wabunge
 
Kwanza namshukuru Sana kijana mwenzangu kwa kunipa mwanga wa maisha. Kupitia ONTARIO sasa natengeneza mil 7 hadi 10 kwa mwezi. Simjui ONTARIO na wala hanijui na sijawahi kumwona.

Niliwahi kusikia habari za Forex kabla ONTARIO hajaleta mada humu lakini nilipuuza, naomba nikiri kwamba baada ya ONTARIO kuleta habari za Forex humu jamvini, ndio niligutuka kutoka usingizini kuwa nimechelewa. Nilichofanya ni kuanza kujisomea kwa kasi ili niijue Forex huku nikifanya mazoezi kwenye Demo account, wakati huo Nilikuwa Nairobi nikiwa nafanya biashara zangu.

Nilitafuta Broker mwenyewe, Broker bora kabisa, mara ya Kwanza nikaweka pesa ili ni trade, nikala loss, nikatafuta tena Broker mwingine mzuri zaidi, nikaweka pesa ili ni trade nikala loss, nikaweka tena, bado nikala loss, nikarudi kufanya mazoezi Demo account, hapo nikabaini kumbe Nilikuwa sijaiva vizuri kwenye Forex trading ,nilipokuja kuweka pesa tena, oooh nilipiga faida nzuri, hakika Forex ni tamu Sana ukiijua vyema. Na hadi sasa bado napiga pesa nzuri mno, sikosi mil 7 kwa mwezi, hii ni kwa sababu ya Mungu kumtuma ONTARIO.

Turudi kwenye mada.
Ili upige faida Forex ni lazima uwe na Broker mzuri, Broker anayepigiwa debe na ONTARIO hayupo kabisa ktk list ya ma-Broker bora duniani, hapo ndo ONTARIO alichemka sana na kuonekana kumbe alikuwa anapigania maslahi yake binafsi tu na ndio maana nimekuwa kimya tangu alipotuhumiwa humu nikadhani pengine angekuja kujitetea lakini wapi, ni kwa sababu na yeye anajua kuwa alikuwa akitumika kuunguza pesa za watu kwa maslahi yake.

Ndo maana amejikuta akimalizwa kishamba Sana. Endapo angetuliza kichwa, na kuwa na hekima angekuwa balozi mzuri Sana wa Forex Tanzania.

Jambo lingine ni kwamba hakusoma akili za ndugu zake watanzania, hatuna tabia ya kujisomea, tunapenda kutafuniwa na kulishwa, watu wengi walitegemea TMT ndo ingewafanya waijue Forex na siyo sehemu nyingine yoyote na ndio maana walichaguliwa Broker wa hovyo kabisa, scam Broker, hata kuumiza kichwa tu kwamba, je? Hakuna Broker bora kuliko huyu duniani? South Africa hawana ma Broker wazuri wa Forex. Ma Broker bora wa Forex wapo Cyprus na Israel .

Nakushuru Sana mkuu ONTARIO kwa kuniongezea kipato, ila omba Sana Mungu akupe hekima utafika mbali Sana, kinyume cha hapo, you will end up being a looser!
Mku nakushukuru kwa u uchambuzi mzuri lakini sio kwamba ONTARIO kakimbia bali kaamua kuwapuuza waliokuwa wakimlaumu kwa ujumla pasipo kufafanua lawama zao na bila chembe ya ushahidi. Tukubaliane kwamba kila biashara ina changamoto zake na halikuwa lengo la ONTARIO kuchoma acc za watu kwa kuwa hana maslahi yoyote na uchomwaji huo.
 
Nia yake mumuulize haya maswali ili awaingize mjini vizuri, wabongo akili ndogo kweli mtaendelea kulizwa sana kwa njaa zenu. Kalaghabaho!
Sasa Mdau sasa hilo swali limekuuliza ww na tukilizwa hizo pesa tulizipata kutoka kwako kuwa smart kukaa kimya ni jambo jema aise.
 
Ukichoma akaunt ni furaha kwa broker (humo humo Ontario anachukua chake). What a business! Bravo Ontario kula hela za wajinga kabla hawajastuka

Hata ukila ela broker anachukua chake so sioni tatizo
 
Ilikua lazima uje hiv kinyume nyume KUMBE HUJUI KITU UNABWATA BWATA KA MBWA ALIEKOSA SINDANO ZA KICHAA. kila bizness ina terms and Conditions sometimes uwe unatembela Brela pale upate elimu ndio mana TMT hawakupanga pale Jangid kwa kua wanapesa walipewa T&C za mwenye jengo pia wakapewa T&C na brela kufungua ofisi yao.Watz mshazoea kuish maisha yasio na utaratibu ndio maana ukaungua [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]SMH
Nakutaka kimapenzi nikuoe
 
Ukichoma akaunt ni furaha kwa broker (humo humo Ontario anachukua chake). What a business! Bravo Ontario kula hela za wajinga kabla hawajastuka
Mkuu inaonekana hii biashara huijui vizuri. Kwa hiyo kazi ya broker ni kuunguza acc za watu? Sasa inakuwaje useme huyu broker ni mzuri na huyu ni mbaya? Ina maana ma broker wazuri hawaijui "kazi" yao vizuri ama?
 
Mkuu inaonekana hii biashara huijui vizuri. Kwa hiyo kazi ya broker ni kuunguza acc za watu? Sasa inakuwaje useme huyu broker ni mzuri na huyu ni mbaya? Ima maana ma broker wazuri hawaijui "kazi" yao vizuri ama?

Achana na waswahili hawa wana matatizo yao makubwa sana kutwa kuyahamishia humu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Achana na waswahili hawa wana matatizo yao makubwa sana kutwa kuyahamishia humu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila inasikitisha sana watu kuvamia biashara wasiyoijua vizuri halafu wanakuja humu kumwaga mapovu yao. Hawajui kila biashara ina risks and uncertainities!!!!!
 
Ila inasikitisha sana watu kuvamia biashara wasiyoijua vizuri halafu wanakuja humu kumwaga mapovu yao. Hawajui kila biashara ina risks ans uncertainities!!!!!

Hili la Forex hua nacheka sana wengi wao hata ukiwauliza Spreads Pips,hangman Kangaroo tail,Lask kiss,Big shadow hawajui n nini na n terms za kwenye forex maarufu sana lakin wanavotema mate humu kama wanaijua forex kama Periodic table[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Wakuu tafadhali punguzeni munkari kwanza tupate muafaka mwelekeo wa sintofahamu hii.

Hua wananichokoza nikiwatukania mama zao wanaenda kwa mods kulia nipigwe ban niachieni hawa najua kudeal nao nimepigwa ban kisa hawa watu zaid ya mara 5. Ila hua nawakomesha na wengine wanakuja kulia PM kwanin nawatukania wazaz wao.
 
Hili la Forex hua nacheka sana wengi wao hata ukiwauliza Spreads Pips,hangman Kangaroo tail,Lask kiss,Big shadow hawajui n nini na n terms za kwenye forex maarufu sana lakin wanavotema mate humu kama wanaijua forex kama Periodic table[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hahahaha! Haya ndio madhara ya kuingia kwenye biashara kichwakichwa kabla hujafahamu vizuri sheria zake.
 
Back
Top Bottom