Ontario kamalizwa kishamba mno!

nilienda kuona mazingira nilimpeleka mdogo wangu akasome na akanipa mrejesho na matunda nayaona juzi tu nimetumiwa $2000 akasema Kunywa maji hiyo


Jestina J.H.
[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
 
[QUOTE="tpaul, post: 25382316, member: 9021 Ina maana ma broker wazuri hawaijui "kazi" yao vizuri ama?[/QUOTE]
Kasome vitabu, Acha uvivu
 
Hivi forex wa kwanza ni nani. Fedha zinakusanywa kwa nani. Kwani Bureau de change wa kwanza ni nani. Haina wa kwanza wala wa mwisho ukiwa smart kichwani.
 
Yamtokayo mtu mdomoni ndio wazazi wake walivyo, Sikulaumu wewe nahisi hilo neno ulilotumia kutukana "Mama "yako ndio yupo hivyo

Pole sana ni madhara ya wazazi kama ulivyotamka wazazi wako "wapumbavu "maana limtokalo mtu mdomoni limesababishwa na mzazi

Pole sana naona umeota ndevu ila heshimu huyo "Mama yako mpumbavu "kwa upumbavu wake na wewe amekusababishia kuita watu wapumbavu "You and your mother are all idiots shame on you "Child like Mother "
 
Ila jamaa inabidi apige pige na mikoani hapa Dar wajanja wameanza kustuka
Uzuri wa Dar ndio huo, hukawii kustukiwa ukija na zako za kitapeli, Forex ipo Duniani kote, kama kawaida yetu sisi tunakuwaga wamwisho kwenye mambo kama haya..
Ontaria kazitafuna na anaendelea kuishi maisha ya Bling Bling ile mbaya sababu ya mazuzu wanaonguza akaunti zao..
Forex iko complex, ni biashara ngumu mno, wewe unashindana na wale wenye Software, wewe unataka hela zao na wao wanataka uunguze akaunti watajirike, hapo sasa, tukumbuke hakuna pesa rahisi duniani, ukiingia kichwa kichwa lazima uungue tu..LAZIMA..
 
Asee mbona umeandika kisanii sana hata majina ya Brokers hao hujaweka njoo na ushahidi wa kutosha by the way forex haita waacha watu salama mpaka hao Broker walizike na faida ingawaje wanapata cmtion.
 
Watanzania wengi wetu tunamatatizo na mpaka dk hii nashindwa kuelewa yanasababishwa na nini kati ya malezi,elimu au uzao .yaani tuna chuki na husda mpaka zinatuingizia sumu ndani ya miwili yetu.Ingekuwa tunajadili maendeleo ya nchi yetu kwa upana na kwa undani km tunavyojadili hii forex tungekuwa hatua nyingi mbele kimaendeleo
 
5Tyr 0880ll0r?4
7nu667(u

Asee mbona umeandika kisanii sana hata majina ya Brokers hao hujaweka njoo na ushahidi wa kutosha by the way forex haita waacha watu salama mpaka hao Broker walizike na faida ingawaje wanapata cmtion.


 
KWA KWELI UCHAWI SIYO LAZIMA UWE NA TUNGULI. HVI HAWA MNAOSEMA WALILAZIMISHWA NA ONTARIO WATUMIE BROKER FULANI MPAKA SASA WANAMTUMIA HUYO BROKER NA NI LAZIMA? HVI WEWE NI MAMBO MANGAPI MAISHANI ULISHAELEKEZWA NA WALIMU WAKO, NDUGU ZAKO NA WATU WENGINE MBALIMBALI JE BADO YOTE ULIYOELEKEZWA UNAYAFANYA HIVYOHIVYO MPAKA LEO? BINADAMU SISI TUPO DYNAMIC SANA, LEO NAWEZA KUFANYA BIASHARA FULANI KWA NJIA FULANI LAKINI KESHO NIKAONA NIIFANYE BIASHARA HIYOHIYO KWA NJIA NYINGINE TOFAUTI.

HIVYO KUKARIRI KWAMBA ONTARIO ALIWAMBIA WANUFUNZI WAKE WATUMIE BROKER FULANI NI UPPUZI MTUPU. JE HAO WANAFUNZI WA ONTARIO WO NI ROBOTS HAWAWEZI KUFIKIRIA NA KUAMUA VINGINEVYO. HAWAJUI KUSOMA WALA KUANDIKA? KAMA NI HIVYO WATAKUWA WANAFUNZI WA AJABU SANA HAPA DUNIANI!

TUACHANE NA HUU UPUUZI. FOREX IPO KUNA WANAOPIGA PESA NA KUNA WANOPOTEZA PESA KAMA BIASHARA NYINGINEYOYOTE ILE. NARUDIA TENA HAKUNA BIASHARA INAYOLIPA TU MUDA WOTE KWA KILA ANAYEIFANYA PERIOD!
 
Ukichoma akaunt ni furaha kwa broker (humo humo Ontario anachukua chake). What a business! Bravo Ontario kula hela za wajinga kabla hawajastuka
Inategemea huyo broker ni Dealing Desk au Non Dealing Desk. Siyo kila Broker ukichoma akaunti yako anafaidika. Kuna wengine wanfaidi tu commision au wanapata kutoka na spread. Suala la kuchoma akaunti kwa kiasi kikubwa linategemea na wewe trader unavyotrade au unavyofanya analysis zako, risk management, yako na trading saikoloji yako. Wengi tunauunguza au kuchoma akaunti zetu kwa hizo sababu. Hata mimi nilishawahi kuchoma akaunti mara mbili japo si hela nyingi sana ila nilichokuja kugundua makosa yangu makubwa ni hayo hapo matatu ambayo naamini traders wengi wa forex wapya ndio yanayopekea kuunguza akaunti zao fasta. Uroho wa kutaka kupata hela nyingi haraka. kulazimisha kutrade hata kama unaona hakuna mazingira mazuri ya kutrade wakati huo n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…