Alonso14
JF-Expert Member
- Aug 6, 2017
- 1,785
- 1,817
Nimemuuliza wapi nilipotukana mkuu?mbona matusi makubwa namna hii? kanakwamba hatuna sheria zinazo tuongoza? wapi @inviceble
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimemuuliza wapi nilipotukana mkuu?mbona matusi makubwa namna hii? kanakwamba hatuna sheria zinazo tuongoza? wapi @inviceble
[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]nilienda kuona mazingira nilimpeleka mdogo wangu akasome na akanipa mrejesho na matunda nayaona juzi tu nimetumiwa $2000 akasema Kunywa maji hiyo
Jestina J.H.
Hivi forex wa kwanza ni nani. Fedha zinakusanywa kwa nani. Kwani Bureau de change wa kwanza ni nani. Haina wa kwanza wala wa mwisho ukiwa smart kichwani.Hizi mambo sijui Forex mara Bitclub zinanichanganya sana,mtu unaweza weka pesa mfano Bitclub halafu ukajikuta unapoteza kama ilivyokuwa kwa Deci maana wale wa mwanzo always ndio huwa wanufaika wa smart projects kama hii.
Kinachotuumiza wengi ni kutaka mafanikio ya haraka tena kirahisi,na hapa ndio tunapopasuliwa kweli,na tusipobadilika tutapasuka sana na kupasuka kwetu ndio kutajirika kwa wachache. Acheni tu mimi nikalime pilipili na vitunguu.
C mchezo mkuuu yaan n pata poteaaa.. sometimes n kama gambling.. sometimes n kama trading.. kazi kwel kwelinaelekea kupata pesa forex ni TIMING kama kumchinja kobe
Mkuu nipo,Kesho nitakuwa Calabash mida ya jioniHah hah hah hah we Steve mwehu kweli. Hatuonani sikuhizi kaka
Yamtokayo mtu mdomoni ndio wazazi wake walivyo, Sikulaumu wewe nahisi hilo neno ulilotumia kutukana "Mama "yako ndio yupo hivyoNimekutapeli nini ndugu?
Kuwa na Kauli zenye hekima, TMT naisikia tu kwenye mitandao, siijui Kama ambavyo wewe sikujui, Unataka Identity yangu original ili iweje?
Sitangazi biashara hapa na wala sijasema nipewe pesa sasa tatizo lako nini?
Hatuwezi kukaa kimya watu wakipoteza pesa ili yeye afanikiwe na wenzake waharibikiwe, hebu jaribu kuficha upumbavu wako.
I'll see how to meet you bro. Nakuja PM tuyajengeMkuu nipo,Kesho nitakuwa Calabash mida ya jioni
Uzuri wa Dar ndio huo, hukawii kustukiwa ukija na zako za kitapeli, Forex ipo Duniani kote, kama kawaida yetu sisi tunakuwaga wamwisho kwenye mambo kama haya..Ila jamaa inabidi apige pige na mikoani hapa Dar wajanja wameanza kustuka
Poa kiongozi tupo nimekusoma kule inboboI'll see how to meet you bro. Nakuja PM tuyajenge
7nu667(uUzuri wa Dar ndio huo, hukawii kustukiwa ukija na zako za kitapeli, Forex ipo Duniani kote, kama kawaida yetu sisi tunakuwaga wamwisho kwenye mambo kama haya..
Ontaria kazitafuna na anaendelea kuishi maisha ya Bling Bling ile mbaya sababu ya mazuzu wanaonguza akaunti zao..
Forex iko complex, ni biashara ngumu mno, wewe unashindana na wale wenye Software, wewe unataka hela zao na wao wanataka uunguze akaunti watajirike, hapo sasa, tukumbuke hakuna pesa rahisi duniani, ukiingia kichwa kichwa lazima uungue tu..LAZIMA..
Watanzania wengi wetu tunamatatizo na mpaka dk hii nashindwa kuelewa yanasababishwa na nini kati ya malezi,elimu au uzao .yaani tuna chuki na husda mpaka zinatuingizia sumu ndani ya miwili yetu.Ingekuwa tunajadili maendeleo ya nchi yetu kwa upana na kwa undani km tunavyojadili hii forex tungekuwa hatua nyingi mbele kimaendeleo
Asee mbona umeandika kisanii sana hata majina ya Brokers hao hujaweka njoo na ushahidi wa kutosha by the way forex haita waacha watu salama mpaka hao Broker walizike na faida ingawaje wanapata cmtion.
Uzuri wa Dar ndio huo, hukawii kustukiwa ukija na zako za kitapeli, Forex ipo Duniani kote, kama kawaida yetu sisi tunakuwaga wamwisho kwenye mambo kama haya..
Ontaria kazitafuna na anaendelea kuishi maisha ya Bling Bling ile mbaya sababu ya mazuzu wanaonguza akaunti zao..
Forex iko complex, ni biashara ngumu mno, wewe unashindana na wale wenye Software, wewe unataka hela zao na wao wanataka uunguze akaunti watajirike, hapo sasa, tukumbuke hakuna pesa rahisi duniani, ukiingia kichwa kichwa lazima uungue tu..LAZIMA..
Uzuri wa Dar ndio huo, hukawii kustukiwa ukija na zako za kitapeli, Forex ipo Duniani kote, kama kawaida yetu sisi tunakuwaga wamwisho kwenye mambo kama haya..
Ontaria kazitafuna na anaendelea kuishi maisha ya Bling Bling ile mbaya sababu ya mazuzu wanaonguza akaunti zao..
Forex iko complex, ni biashara ngumu mno, wewe unashindana na wale wenye Software, wewe unataka hela zao na wao wanataka uunguze akaunti watajirike, hapo sasa, tukumbuke hakuna pesa rahisi duniani, ukiingia kichwa kichwa lazima uungue tu..LAZIMA..
KWA KWELI UCHAWI SIYO LAZIMA UWE NA TUNGULI. HVI HAWA MNAOSEMA WALILAZIMISHWA NA ONTARIO WATUMIE BROKER FULANI MPAKA SASA WANAMTUMIA HUYO BROKER NA NI LAZIMA? HVI WEWE NI MAMBO MANGAPI MAISHANI ULISHAELEKEZWA NA WALIMU WAKO, NDUGU ZAKO NA WATU WENGINE MBALIMBALI JE BADO YOTE ULIYOELEKEZWA UNAYAFANYA HIVYOHIVYO MPAKA LEO? BINADAMU SISI TUPO DYNAMIC SANA, LEO NAWEZA KUFANYA BIASHARA FULANI KWA NJIA FULANI LAKINI KESHO NIKAONA NIIFANYE BIASHARA HIYOHIYO KWA NJIA NYINGINE TOFAUTI.TULISHASEMA, WAJINGA NDIYO WALIWAO, TUKAONEKANA TUNA NONGWA.
SASA KAMA ANAWALAZIMISHA HADI KUCHAGUA MABROKER INA MANA KESHAWAONA NYIE WAJINGA KAWASHKA AKILI HUKU YEYE ANAPATA KAMISHEN YAKE KUTOKA KWA BROKER ANAYEMTUMIA KUWAPGA LOSE NA WAKAT HUOHUO ANAFYONZA ADA ZA MAFUNZO, YAN ANAKUPGA HUKU NA HUKU. HUU NDIYO UTAPELI TULIOMAANISHA, AKAJA ANA HOJA NYEPES ETI AMESAJILIWA, HV NAN KASEMA TAPELI HASAJILIWI?
Wote ni matapeli huna loloteNgumu kumeza...crystal palace atanguliwe kufungwa na city alafu arudish goli na kuongeza
sawq mkuu
Inategemea huyo broker ni Dealing Desk au Non Dealing Desk. Siyo kila Broker ukichoma akaunti yako anafaidika. Kuna wengine wanfaidi tu commision au wanapata kutoka na spread. Suala la kuchoma akaunti kwa kiasi kikubwa linategemea na wewe trader unavyotrade au unavyofanya analysis zako, risk management, yako na trading saikoloji yako. Wengi tunauunguza au kuchoma akaunti zetu kwa hizo sababu. Hata mimi nilishawahi kuchoma akaunti mara mbili japo si hela nyingi sana ila nilichokuja kugundua makosa yangu makubwa ni hayo hapo matatu ambayo naamini traders wengi wa forex wapya ndio yanayopekea kuunguza akaunti zao fasta. Uroho wa kutaka kupata hela nyingi haraka. kulazimisha kutrade hata kama unaona hakuna mazingira mazuri ya kutrade wakati huo n.kUkichoma akaunt ni furaha kwa broker (humo humo Ontario anachukua chake). What a business! Bravo Ontario kula hela za wajinga kabla hawajastuka