Ontario kamalizwa kishamba mno!

Binadamu kamwe hawezi kumwambia mtu asiye nduguye na au asiyemfahamu chanzo cha fedha, utajiri au mali, anaweza kufanya hivyo pale tu ambapo yeye ana maslahi makubwa kuliko utakayopata wewe unayetambulishwa.
 
haka kashankupe kanachojiita Jestikila kana maneno yashombo kama kamemeza choo
 
Mtengeneza faida anakuja humu kutoa siri ya jinsi ya kutengeneza hiyo faida,kama sio janja ya kugeuza hao watu faida kwake?

Hii dunia hii!

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji27][emoji27]
 
Nae huyu utasikia kupitia uzi huu kapata wanafunzi....anaanza kupiga pesa za darasa la forex.
.
.
Daaaaaaah bongo bhana!!


Mkuu ni mwendo wa kugeuzana fursa to each other!

Wana Forex ni watu wa sanaa mno!
 
Unasema Mungu kamleta then hapo hapo unasema anampromote scam broker kwa faida yake binafsi then una unarudi kumshukuru tena.Hueleweki umesimama wapi, kwakifupi wewe ni mnafiki.
 
Wewe Forex huijui hata kidogo, Forex siyo kamari, kwenye kamari kupoteza pesa ni 100%,wakati FOREX ukiijua kupoteza pesa ni 40%.
Usipotoshe watu, ni bora ukae kimya .
Nadhani siku mwalimu wako anafundisha asilimia ulitega shule, sasa kama kamari kuliwa ingekuwa 100% nani angecheza, kama kuliwa ni 100% ina maana hakuna mtu hata mmoja aliyewahi kula, wacha urongo.
 
Kama ni bado ni kijana mdogo usimlaumu sana kwa maana vijana kupitia chamgamoto kama hizi ni kawaida sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…