Ontario kamalizwa kishamba mno!

Ontario kamalizwa kishamba mno!

Pigweni tu maana hamna namna, Mungu katupa akili muda mwingine tunaruhusu kushikiwa akili zetu. watu wanaendaa tu km makondoo

Haya Series inaendelea kitakachofuata ni Ontario
1-ile ofisi pale Jangidi kafungua sehem mbaya
2-kuna mataa halafu n
3-karibu na St.Peters hatupend kukaa karibu na kanisa,
4-ziko karibu na wale CIA wa Tz tunawaogopa
5-wataanza kwanin asiweke Moroco pale n karibu na daladala zote za mjini na sehem ya jiji.
6-utaskia halafu kwanin kaweka ofisi yake 2nd Floor tunachoka kusubiria lift pale [emoji3]
7-mara ooh Polisi oysterbay tunawaogopa

Mwaka huu kazi ipo Forex sio ya watu mazezeta ina watu wake mtulie dawa iingie Young Guy 23 anatengeneza pesa kubwa sana mmebakia na vijiba vya roho tu umri mkubwa still mnakaa kwenu bado mnagombea rimoti ya startimes na watoto wa shemeji.
HahahhahH....we binti unanifurahisha sana.

Join the Most trustworthy broker!!!
Templerfx!!!!
- Easy to Deposit your investment capital by Mobile Money Transfer (M-Pesa, Airtel Money) Just less than an hour, your account will be funded.
- Easy to withdraw you money(M-Pesa, Airtel Money) less than an hour your money will be in your phone ready to get from WAKALA!!
-Quick and Easy customer services.

Very Easy to join!!!
Click on the link below open account
TemplerFX | Promo

Kwa wale Wa forex templerfx ni broker mzuri sana kwa mazingira yetu ya bongo , ni rahisi kujisajili lakini pia njia za kutuma na kupokea Pesa yako ni rahisi mno!

[quote uid=264964 name="Mr Suprize" post=25776008]Join the Most trustworthy broker!!!

Kwa wale Wa forex templerfx ni broker mzuri sana kwa mazingira yetu ya bongo , ni rahisi kujisajili lakini pia njia za kutuma na kupokea Pesa yako ni rahisi mno![/QUOTE]Acha usengee wako huu tapeli wewe. Ardhi ipo ya kutosha Tanzania tuelekee shamba tukalime hakuna pesa ya bure kwa hizi shortcut zenu pumbavu kabisa. Ukiona mbongo anakuitia fursa basi ujuwe wewe ndio fursa yenyewe.

[quote uid=264964 name="Mr Suprize" post=25776008]Join the Most trustworthy broker!!!
Templerfx!!!!
- Easy to Deposit your investment capital by Mobile Money Transfer (M-Pesa, Airtel Money) Just less than an hour, your account will be funded.
- Easy to withdraw you money(M-Pesa, Airtel Money) less than an hour your money will be in your phone ready to get from WAKALA!!
-Quick and Easy customer services.

Very Easy to join!!!
Click on the link below open account
TemplerFX | Promo

Kwa wale Wa forex templerfx ni broker mzuri sana kwa mazingira yetu ya bongo , ni rahisi kujisajili lakini pia njia za kutuma na kupokea Pesa yako ni rahisi mno!
Acha usengee wako huu tapeli wewe. Ardhi ipo ya kutosha Tanzania tuelekee shamba tukalime hakuna pesa ya bure kwa hizi shortcut zenu pumbavu kabisa. Ukiona mbongo anakuitia fursa basi ujuwe wewe ndio fursa yenyewe.[/QUOTE]
Povu sana mkuu, nilikuwa nahitaji povu la kusafishia choo asubuhi hii nashukuru nimelipata.. Nikuambie kitu kutrade forex haimainishi hufanyi kazi zingine kama zilivyo za kilimo,ufugaji na za ofisini, smart people wanafanya yote hawapo tayari kutegemea kipato sehemu moja,
Ili maisha yako yasiwe na stressed jishughulishe na fursa nyingi zinazojitokeza.
Watu tunapiga forex, mazao yapo shamban yanastawi, mifugo ipo kama kawaida , na kazi zetu kwa muhindi tunawajibika kama kawa. Life linaenda ,

Niongezee povu mkuu choo bao hakijatakata

Kama sio kamari kwann ukiijua upoteze hata hiyo 40℅?!
Nashindwa hata nikujibuje, kwa sababu unaonekana wewe ni mfanyakazi, hujui biashara na maishani mwako hujawahi kufanya biashara.
Umezoea kukuta umewekewa pesa Benk bila kujua mwajiri wako alikula loss au alipata faida kwa huo mwezi.
Forex ni biashara Kama zilivyo biashara nyingine zote.
Nature ya biashara yoyote ile duniani ni kupata faida na hasara pia.
Sasa wewe unataka anayefanya biashara ya Forex eti asipate hasara hata ya 40%,akipata hasara ni kamari.
Unaweza kuniambia ni biashara gani hapa duniani isiyokuwa na hasara?
Kwa hiyo wanaofanya biashara na kupata hasara huwa wanacheza kamari?
Niambie ni biashara gani yenye faida tu 100% bila hasara popote duniani?
Aisee wewe ni mtu wa ajabu sana, tena wa ajabu hasa, kama bwana yule mkazi wa magogoni.

Hizi ni sababu 6 za kumtumia Templer FX Trader kama broker wako kwa hapa Tanzania

Hellow champions! kutokana na changamoto za kimaendeleo inayoikabili nchi yetu kwa muda mrefu sasa hasa katika sekta nzima ya miundombinu na mawasiliano wafanyabiashara wengi Wa forex hapa Tz wamekuwa wakipata wakati mgumu sana linapokuja suala LA broker gani wamtumie, kutokana na bank nyingi sana za hapa Tz kushindwa kutoa huduma nzuri kwa forex traders. Hata hivyo kuna banks chache zinasupport biashara ya forex lakini hazijaenea nchi nzima , 90% zina matawi DSM, Na majiji makubwa makubwa kama mwanza, mbeya na Arusha. Hii inawapa changamoto kubwa sana fx traders Wa mikoani kufanya biashara hii kwa Uhuru zaidi. Wengi wanalazimika kusafiri kitambo kirefu kufwata bank iliko kuweza kufanya mihamala yake ya kipesa.

Sasa basi Templer ni broker Wa UK(Uingereza), wana ofisi hapa Tanzania.
Kifupi ni broker mzuri anaendana na mazingira ya watanzania tulio wengi.

Kwanini nasema ni broker mzuri?
1.Ni rahisi kufungua akaunti na kupata uthibitisho (verification) kwa haraka.
>Ili kufungua akaunti templer unahitaji kuwa na moja kati ya vitambulisho vifuatavyo
*°Kitambulisho cha Taifa*
*°Kitambulisho cha kupigia kura*
*°Leseni ya udereva*
*°Passport ya kusafiria.*
Kumbuka sio vyote, ukiwa nacho kimoja basi mchezo umeisha.
Pia wanahitaji Email yako na Namba yako ya Simu (ni vizuri iwe ya voda). Baada ya masaa 24 unapata real akaunti ukiwa chumbani kwako.

2.Njia Rahisi ya kutuma na kutoa Pesa zako.
>>>Templer wana njia nyingi za kufanya transactions ya hela yako, ila hapa nitaelezea njia yao moja Ya M-Pesa. Kifupi unaweka hela yako na kutoa kwa njia ya M-Pesa muda wowote unapohitaji na ni simple kabisa tena bila makato. Yani ukitoa $100 kutoka kwa broker,kwenye laini yako itaingia $100 kama ilivyo na kuweka tena hivyo hvyo ni bure. Inachukua Maximum Dakika 30 hela yako kuonekana kwenye MT4 akaunti yako baada ya kuweka. Pia inachukua Dakika 30 hadi SAA 1 kuipata hela yako baada ya kutoa.Huhitaji kusafiri au kwenda kupanga foleni Bank mambo yote unamaliza chumbani.

3.Kiwango rafiki cha kuweka na kutoa hela (Minimum deposit and Withdraw)
>Guys brokers wengi wana minimum deposit and withdraw wengine ni $500, wengine ni $200 wengine $100. Sio watanzania wote tunaweza tukaafford viwango walivyotuwekea , lakini Templer minimum deposit ni $1=Tsh 2,240/= kumbukeni $1 unaweza kufungua trade 1 chini ya Big Risk management, kwa wale magwiji Wa fx wanauwezo Wa kukuza $1 hadi kufika $100. (Nimesema magwiji) pia kutoa ni kuanzia $1=Tsh2,240 yani hata hela ya vocha unaitoa bila tatizo lolote.

4.Huduma nzuri kwa wateja.
>>>Templer wanacustomer care nzuri kwa wateja lakini kizuri zaidi kutoka Templer kwa watanzania unahudumiwa na watanzania wenzako sio lazima uwacheki kwa email, unawacheki kwa WhatsApp au kwa kuwapigia live faster unahudumiwa na unatumia lugha yetu ya Taifa Kiswahili.
>>>Pia Guys tukumbuke kupata loss au kuunguza akaunt kwenye forex ni jambo LA kawaida sana, linaweza kusababishwa na vitu vingi sana ili kikubwa ni kutokuzingatia Risk management. Sasa TemplerFx wakati akaunti yako IPO hatarini kuungua wanakutumia ujumbe kwa Email na Text kwa njia ya kawaida kupitia namba yako ya simu kukujilisha akaunti yako iko hatarini kuungua tafadhali nenda kaicheki, Hapo kama ulizima data unaweza kuopen faster na kwenda kuokoa akaunti yako japo kiwango kidogo kuliko kuungua jumla. Hii ni tofauti kwa brokers wengine ukiplace order hafu akaunti ikawa hatarini hupewi notification yoyote , utakapofungua badae unakuta Mt4 inasoma Zero balance. Kati ungepewa taarifa mapema ungeweza kuokoa hela za upande kwa kucut loss.

6.Spreads ndongo.
Kwa kifupi Spreads ni tofauti kati ya bei ya kuuza na kununua, Spreads ni eneo la kwanza ambalo broker anapata faida kupitia trades zako, kila broker ana spreads zake kwa kila pair, spreads kubwa inamaana broker anachukua pakubwa, na spreads ndogo inamaana broker anachukua padogo Kwa kawaida brokers wengi sana huwa wanaongeza spreads muda Wa usiku na muda Wa News, lakini wengine muda wote spreads zao ni kubwa sana haijalishi mchana au usiku hii inaumiza sana kwa trades ambao mitaji yetu ni ya kuungaunga. sasa Templer ni broker mwenye spreads ndogo katika pairs zake hasa muda Wa asubuhi hadi jioni spreads zinacheza kuanzia 3 hadi 12. Usiku zinaongezwa kidogo na muda Wa news. Sio mbaya sana ukilinganisha na brokers wengine ambapo spreads muda Wa asubuh hadi jioni unakuta zinacheza kuanzia 25 hadi 70, hapo ikifika muda Wa news unaweza kukuta spread inacheza 100++,.

[quote uid=264964 name="Mr Suprize" post=25776008]Join the Most trustworthy broker!!!
Templerfx!!!!
- Easy to Deposit your investment capital by Mobile Money Transfer (M-Pesa, Airtel Money) Just less than an hour, your account will be funded.
- Easy to withdraw you money(M-Pesa, Airtel Money) less than an hour your money will be in your phone ready to get from WAKALA!!
-Quick and Easy customer services.

Very Easy to join!!!
Click on the link below open account
TemplerFX | Promo

Kwa wale Wa forex templerfx ni broker mzuri sana kwa mazingira yetu ya bongo , ni rahisi kujisajili lakini pia njia za kutuma na kupokea Pesa yako ni rahisi mno!
Acha usengee wako huu tapeli wewe. Ardhi ipo ya kutosha Tanzania tuelekee shamba tukalime hakuna pesa ya bure kwa hizi shortcut zenu pumbavu kabisa. Ukiona mbongo anakuitia fursa basi ujuwe wewe ndio fursa yenyewe.[/QUOTE]
mkuu vipi na wewe uligeuzwa fursa.

Join the Most trustworthy broker!!!
Templerfx!!!!
- Easy to Deposit your investment capital by Mobile Money Transfer (M-Pesa, Airtel Money) Just less than an hour, your account will be funded.
- Easy to withdraw you money(M-Pesa, Airtel Money) less than an hour your money will be in your phone ready to get from WAKALA!!
-Quick and Easy customer services.

Very Easy to join!!!
Click on the link below open account
TemplerFX | Promo

Kwa wale Wa forex templerfx ni broker mzuri sana kwa mazingira yetu ya bongo , ni rahisi kujisajili lakini pia njia za kutuma na kupokea Pesa yako ni rahisi mno!
Huyu ndo broker wetu kwa sisi walala hoi

Mbona mnaficha mapungufu yake makubwa.
Templefx ana Margin Level kubwa sana.
I mean marginal call yake ni 80% wakati brokers wengi (mfano JP) Marginal Call zao ni 50% mpaka 40%.

Sasa kwa Templefx balance yako ikishuka tu mpaka ikafika 80% tayari unapigiwa kipenga. Muda si muda anaanza ku liquidate positions zako.

Hapo tu ndipo palinifanya niachane nao.
We katika brokers na JP yupo? Kwan huyu broker Wa wap? MPE pro tumfahamu

Yan unamtumia broker ambaye hata wazawa wenyewe hawamtambui[emoji16] [emoji16]

Back
Top Bottom