Ontario kamalizwa kishamba mno!

Ontario kamalizwa kishamba mno!

Mbona mnaficha mapungufu yake makubwa.
Templefx ana Margin Level kubwa sana.
I mean marginal call yake ni 80% wakati brokers wengi (mfano JP) Marginal Call zao ni 50% mpaka 40%.

Sasa kwa Templefx balance yako ikishuka tu mpaka ikafika 80% tayari unapigiwa kipenga. Muda si muda anaanza ku liquidate positions zako.

Hapo tu ndipo palinifanya niachane nao.
Huyu JP ana spreads kubwa mno iwe mchana iwe usiku , kuna muda yule mentor wenu anashindwa kutoa call coz ya spread kubwa anasubr zipungue kidogo ndo atoe call,, broker gan kutoa hela hadi uandike barua za maelezo Mara hela yako ipitie jaging plaza process kibao km hela za EPA
 
Hizi ni sababu 6 za kumtumia Templer FX Trader kama broker wako kwa hapa Tanzania

Hellow champions! kutokana na changamoto za kimaendeleo inayoikabili nchi yetu kwa muda mrefu sasa hasa katika sekta nzima ya miundombinu na mawasiliano wafanyabiashara wengi Wa forex hapa Tz wamekuwa wakipata wakati mgumu sana linapokuja suala LA broker gani wamtumie, kutokana na bank nyingi sana za hapa Tz kushindwa kutoa huduma nzuri kwa forex traders. Hata hivyo kuna banks chache zinasupport biashara ya forex lakini hazijaenea nchi nzima , 90% zina matawi DSM, Na majiji makubwa makubwa kama mwanza, mbeya na Arusha. Hii inawapa changamoto kubwa sana fx traders Wa mikoani kufanya biashara hii kwa Uhuru zaidi. Wengi wanalazimika kusafiri kitambo kirefu kufwata bank iliko kuweza kufanya mihamala yake ya kipesa.

Sasa basi Templer ni broker Wa UK(Uingereza), wana ofisi hapa Tanzania.
Kifupi ni broker mzuri anaendana na mazingira ya watanzania tulio wengi.

Kwanini nasema ni broker mzuri?
1.Ni rahisi kufungua akaunti na kupata uthibitisho (verification) kwa haraka.
>Ili kufungua akaunti templer unahitaji kuwa na moja kati ya vitambulisho vifuatavyo
*°Kitambulisho cha Taifa*
*°Kitambulisho cha kupigia kura*
*°Leseni ya udereva*
*°Passport ya kusafiria.*
Kumbuka sio vyote, ukiwa nacho kimoja basi mchezo umeisha.
Pia wanahitaji Email yako na Namba yako ya Simu (ni vizuri iwe ya voda). Baada ya masaa 24 unapata real akaunti ukiwa chumbani kwako.

2.Njia Rahisi ya kutuma na kutoa Pesa zako.
>>>Templer wana njia nyingi za kufanya transactions ya hela yako, ila hapa nitaelezea njia yao moja Ya M-Pesa. Kifupi unaweka hela yako na kutoa kwa njia ya M-Pesa muda wowote unapohitaji na ni simple kabisa tena bila makato. Yani ukitoa $100 kutoka kwa broker,kwenye laini yako itaingia $100 kama ilivyo na kuweka tena hivyo hvyo ni bure. Inachukua Maximum Dakika 30 hela yako kuonekana kwenye MT4 akaunti yako baada ya kuweka. Pia inachukua Dakika 30 hadi SAA 1 kuipata hela yako baada ya kutoa.Huhitaji kusafiri au kwenda kupanga foleni Bank mambo yote unamaliza chumbani.

3.Kiwango rafiki cha kuweka na kutoa hela (Minimum deposit and Withdraw)
>Guys brokers wengi wana minimum deposit and withdraw wengine ni $500, wengine ni $200 wengine $100. Sio watanzania wote tunaweza tukaafford viwango walivyotuwekea , lakini Templer minimum deposit ni $1=Tsh 2,240/= kumbukeni $1 unaweza kufungua trade 1 chini ya Big Risk management, kwa wale magwiji Wa fx wanauwezo Wa kukuza $1 hadi kufika $100. (Nimesema magwiji) pia kutoa ni kuanzia $1=Tsh2,240 yani hata hela ya vocha unaitoa bila tatizo lolote.

4.Huduma nzuri kwa wateja.
>>>Templer wanacustomer care nzuri kwa wateja lakini kizuri zaidi kutoka Templer kwa watanzania unahudumiwa na watanzania wenzako sio lazima uwacheki kwa email, unawacheki kwa WhatsApp au kwa kuwapigia live faster unahudumiwa na unatumia lugha yetu ya Taifa Kiswahili.
>>>Pia Guys tukumbuke kupata loss au kuunguza akaunt kwenye forex ni jambo LA kawaida sana, linaweza kusababishwa na vitu vingi sana ili kikubwa ni kutokuzingatia Risk management. Sasa TemplerFx wakati akaunti yako IPO hatarini kuungua wanakutumia ujumbe kwa Email na Text kwa njia ya kawaida kupitia namba yako ya simu kukujilisha akaunti yako iko hatarini kuungua tafadhali nenda kaicheki, Hapo kama ulizima data unaweza kuopen faster na kwenda kuokoa akaunti yako japo kiwango kidogo kuliko kuungua jumla. Hii ni tofauti kwa brokers wengine ukiplace order hafu akaunti ikawa hatarini hupewi notification yoyote , utakapofungua badae unakuta Mt4 inasoma Zero balance. Kati ungepewa taarifa mapema ungeweza kuokoa hela za upande kwa kucut loss.

6.Spreads ndongo.
Kwa kifupi Spreads ni tofauti kati ya bei ya kuuza na kununua, Spreads ni eneo la kwanza ambalo broker anapata faida kupitia trades zako, kila broker ana spreads zake kwa kila pair, spreads kubwa inamaana broker anachukua pakubwa, na spreads ndogo inamaana broker anachukua padogo Kwa kawaida brokers wengi sana huwa wanaongeza spreads muda Wa usiku na muda Wa News, lakini wengine muda wote spreads zao ni kubwa sana haijalishi mchana au usiku hii inaumiza sana kwa trades ambao mitaji yetu ni ya kuungaunga. sasa Templer ni broker mwenye spreads ndogo katika pairs zake hasa muda Wa asubuhi hadi jioni spreads zinacheza kuanzia 3 hadi 12. Usiku zinaongezwa kidogo na muda Wa news. Sio mbaya sana ukilinganisha na brokers wengine ambapo spreads muda Wa asubuh hadi jioni unakuta zinacheza kuanzia 25 hadi 70, hapo ikifika muda Wa news unaweza kukuta spread inacheza 100++,.

Boooonge la Promo et ukuze $1 unaweza fika mpaka $100 hata G.soros baba wa forex hii hawezi et customer care tanzania.??? Mara spread sijui mara unapgiwa sim na email kama akaunt inaungua kwan broker gan hakupi warning au wengine kabisa kukulatalia kutrade kama akaunt iko down.
 
Ongea kiuanaume mzee. Acha kuongea km mwimba tarabu , pangilia hoja tukuelewe .
 
Naona watu washatoka utumwani Misri na kwenda Israel.
Lakini wanataka kurudi tena utumwani uko Misri.
Forex ni uhuni.
kaka sidhani kama ni uhuni, ila kuna wahuni ndani yake na hili ndio tatizo linafanya mi nazidi kuisoma hii kitu bila kujaribu kwanza hahaha, ila naambiwa ndio nnavypishana na hela, kama now watu wanapiga cryptocurrency mie bado nasoma kwanza, Mungu atatnisaidia tu
 
Hellow wakuu!
Kwa wale wanaoumizwa na makato ya benk pale unapoweka hela na kutoa kutoka kwa broker , nawashauri wamtumie huyu broker Templer FX Trader , yeye anakubali transactions kwa njia ya M-PESA means unadeposit na kuwithdraw kwa M-pesa bila kupitia Bank, hafu no makato ... Ukiwa na $50 kwa broker unahitaji kuzitoa utapokea kwa kila dola 1 thamani ya Tsh 2,230/= so piga hesabu $50 zidisha kwa 2230 utapokea Tsh 111,500/= .. Tofauti na ukipitia bank , ,, mfano bank ya FNB Ukihitaji uweke kwa broker isome $100 inabidi udeposit maxmum $125 , hapo kwa mt4 yako itaonekana $100,,, hyo inayobaki ni makato pamoja na exchange rate yao kwa siku hyo,,

Bank ya equity wanakata km Tsh 18,000/= ($8.1) kwa transaction yoyote utakayoifanya kwenda na kutoka kwa broker,,

Haya makato unaweza kuyakwepa kwa kumtumia huyu broker Templer FX Trader ambapo transactions zote utazifanya kwa njia ya M-pesa bila makato yoyote na kwa muda mfupi.
Pia minimum deposit ni $1 pia minimum withdraw ni $1 kwa M-pesa.
Hasumbui kuverify documents zako inachukua around 24hours utakuwa verified . unachohitaji kuwa nacho ni kitambulisho kimojawapo kati ya hivi (cha kura,uraia,passport, au lessen)
Unaweza kumcheck kupitia website yake hii Templer FX Trader then unaingia open account , .. Huyu ni broker mzur kwa wale wanasumbuka na mitaji , pia hata km huna akaunt bank you can trade forex bila matatizo........
 
tag
 
Bantu trade
Trade hints za Mchana leo
Screenshot_2018-03-19-16-41-39.png
Screenshot_2018-03-19-16-41-33.png
Screenshot_2018-03-19-16-41-25.png
Screenshot_2018-03-19-16-41-07.png
Screenshot_2018-03-19-16-40-34.png
 
Bantu trade tupo kwa Ajili ya kuhahakisha unalinda Fedha zako, haupotezi kwa kukupatia Hints za Signals kila muda.
Tupigie simu 0787 833 585, Tukuunge kwenye Group letu la kupata Signals za kila siku
 
Kwa wale Trader ambao wangependa kumtumia broker Templerfx.

Broker huyu anakuwezesha kuweka PESA na kutoa kwa njia ya M-PESA.

Kujisajili ni rahisi sana kwa kutumia kitambulisho chako cha kupigia kura, namba yako ya simu utakayotumia kuweka na kutoa pesa kwa broker pamoja na E-mail.

Ni broker pekee ambae anayekuwezesha kuweka kiasi kidogo kuanzia dollar ($) 1 kwenye akaunti yako ,pia vilevile ana huduma ya haraka sana wakati wa kutoa pesa yako, dakika 15-30 tiyari pesa inakuwa imeshatumwa kwenye account yako.

BAADA YA KUJISAJILI

Ndani ya saa 72 au chini ya hapo unakuwa na akaunti yako tiyari na kuanza kuitumia.

JISAJILI SASA
Wasiliana na mimi PM kwa msaada zaidi BURE.

TemplerFX | Promo
 
Jamaa si anakula commission kwa;
1. Kuwaletea FNB na JP markets wateja;
2. Mazzezzeta kuunguza akaunti. He has nothing to loose
Siku zote watu hawajui kufanya biashara. Ili ufanikiwe kwenye biashara au kazi yyte lazima uwe muaminifu. Ukishindwa kuwa muaminifu ni bora ukafunga hiyo biashara tu sbb wateja watakuhama
 
Kwa wale wanaohitaj bonus za kuanza kutrade ni pm nitakudirect namna ya kupata ni rahic n wala hauhitaj kudeposit ili uweze kutoa faida yako....ukiishapata faida unatoa hela yako kiulaini kabisa..unaweza kuitumia kwa matumizi yako au kutransfer to another trading account...
 
hapo kwenye bonus mm nili trade na insta forex nikatengeneza pesa nzuri but kutoa sasa ndo issue
 
Back
Top Bottom